MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
- Thread starter
- #81
Sikuisoma hii coment vizuri.Eneo ambalo urusi litamsumbua sana kuweza kumfikia Marekani ni Propaganda, Intelligency na Millitari/War strategies.
Maeneo yote hayo matatu ndiyo yanampa nguvu sana Marekani na yamekua nguzo sababu ya financial Power aliyonayo.
Russia inabidi afanye ku customise hayo maeneo ili yaweze kumsaidia.
Mkuu mimi nikajua kwamba kwenye Military Industrial Complex, Intelligence na Propaganda Urusi ndiyo atamsumbua sana Marekani. Lakini Marekani amemshinda Urusi kwenye Economy, Soft-Power, Institutional Power, Civilian Super Technology and a Massive Network of Alliances.