mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,258
- 22,552
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wangeweza, kumbuka hao Isil chimbuko lao Kwanza siyo Syria ni Iraq ila walitumia udhaifu uliokuwepo huko Iraq (mgogoro wa kimadhehebu) na baadae walijitanua mpaka Syria baada ya maandamano dhidi ya Assad kugeuka Vita vya wenyewe kwa wenyewe.Hivi unaamini kabisa kwamba serikali ya Assad na wale Wakurdi wangeweza kupigana na ISIL bila msaada wa Urusi na Irani ?
Tatizo una ushabiki mwingi anyway amini unachoona ni sahihi kwako.Ndo maana nikakwambia kuwa unaongelea Isis wa chanika, ila sio ninaowajua mimi.naona toyota wametoa pickup new modelView attachment 1490687View attachment 1490688View attachment 1490689
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Walienda kusambaratisha kambi za Alqaeda, Jambo ambalo walifanikiwa.Sasa walienda kufanya nini wakati njia ya Amani wanaijua
Ushabiki gani wakati nimekuwekea ushahidi.sasa izo ni pickup?Tatizo una ushabiki mwingi anyway amini unachoona ni sahihi kwako.
mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBANWalienda kusambaratisha kambi za Alqaeda, Jambo ambalo walifanikiwa.
Mkuu jamaa c kaleta ushahidi wapic hapo ushabiki unatokea wpi ?Tatizo una ushabiki mwingi anyway amini unachoona ni sahihi kwako.
Kwa hiyo picha za vifaru ndio nguvu kubwa za kijeshi ? Mbona wamesambaratishwa sasa?Ushabiki gani wakati nimekuwekea ushahidi.sasa izo ni pickup?
Taleban waliwapa hifadhi magaidi (Alqaeda).mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBAN
Kama huwezi kushindana nao basi walau uungane nao......
Kama ni Kisanga mbona hao Isis wamesambaratishwa?Mkuu jamaa c kaleta ushahidi wapic hapo ushabiki unatokea wpi ?
Kupambana na ISIS kiukwel nikisanga MKUU maana nidhahiri wanaonesha wana watu nyuma maana sio kwasilaha wanazozimiliki wale wauaji aseeeee....
...😂😂😂... Mkuu uko nchi gani kwa sasa? Au bado hujaondoka huko Tehran?mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBAN
Kama huwezi kushindana nao basi walau uungane nao......
Ukinijibu maswali haya nadhani ntaweza kuendelea kufanya huu mjadala na wewe:Kabisa wangeweza, kumbuka hao Isil chimbuko lao Kwanza siyo Syria ni Iraq ila walitumia udhaifu uliokuwepo huko Iraq (mgogoro wa kimadhehebu) na baadae walijitanua mpaka Syria baada ya maandamano dhidi ya Assad kugeuka Vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Nitahitaji muda mrefu kuyajibu hayo yote ila Isil lengo lao kuu lilikuwa kuunda dola ya kiislamu, hao FSA awali walionekana kumshinda Assad baada ya kupata msaada mkubwa toka Uturuki, mataifa ya ghuba ,Marekani na nchi nyingine wafadhili.Ukinijibu maswali haya nadhani ntaweza kuendelea kufanya huu mjadala na wewe:
1. Kwanini unasema ISIL hawakuwa na nguvu kama zile za FSA ?
2. Kwanini ISIL walifanikiwa kupata maeneo makubwa ndani ya muda mfupi kuliko hata FSA ?
3. Walifanikiwaje kupata maeneo makubwa vile wakati yalikuwa yako chini ya Assad na FSA ?
4. Chanzo cha nguvu cha FSA hadi kufanya wamshinde Assad kilikuwa ni nini ?
5. Malengo ambayo kikundi cha ISIL yalikuwa ni yapi haswa ?
NB: Naomba unijibu haya maswali kwa kuweka ushahidi kwa kila jibu utakalotoa.
Sawa mkuu nasubiri umalize maswali yote..Nitahitaji muda mrefu kuyajibu hayo yote ila Isil lengo lao kuu lilikuwa kuunda dola ya kiislamu, hao FSA awali walionekana kumshinda Assad baada ya kupata msaada mkubwa toka Uturuki, mataifa ya ghuba ,Marekani na nchi nyingine wafadhili.
Isil wao walipata nguvu maana pia hapo awali walinufaika na huo ufadhili uliokuwa ukitolewa kwa wapinzani wa Assad na mataifa makubwa na ya kiarabu hasa Saudia na Qatar ambao walimsaidia kila aliyempinga Assad bila kujali alikuwa nani.
Hata TALEBAN wenyewe nao nimagaidi according to USTaleban waliwapa hifadhi magaidi (Alqaeda).
Sio kusambaratishwa wamesambaratishwa nanani ?!Kama ni Kisanga mbona hao Isis wamesambaratishwa?
Sipo TEHRAN mzee ila nipo nchi flan flan tu hapa.......[emoji23][emoji23][emoji23]... Mkuu uko nchi gani kwa sasa? Au bado hujaondoka huko Tehran?
Wamesambaratishwa na nani kama sio na wenye nguvu.we unafikiri tungeachiwa sisi huku africa tungewaweza.Kwa hiyo picha za vifaru ndio nguvu kubwa za kijeshi ? Mbona wamesambaratishwa sasa?
Kwani walikuwa hawana pickup?
Yaaaa ni 21 mjadala uendelee2021....