Swali gumu kidogo: Kwanini Urusi iliyosambaratika na dhaifu kuliko USSR inawasumbua sana NATO?

Pickup new modelView attachment 1490694
images%20(18).jpeg
images%20(17).jpeg

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Hivi unaamini kabisa kwamba serikali ya Assad na wale Wakurdi wangeweza kupigana na ISIL bila msaada wa Urusi na Irani ?
Kabisa wangeweza, kumbuka hao Isil chimbuko lao Kwanza siyo Syria ni Iraq ila walitumia udhaifu uliokuwepo huko Iraq (mgogoro wa kimadhehebu) na baadae walijitanua mpaka Syria baada ya maandamano dhidi ya Assad kugeuka Vita vya wenyewe kwa wenyewe.

Jaribu kuangalia hata kabla Isis haijafika kwenye kelele chake cha udhibiti maeneo huko Syria (2013-2015) hapo nyuma kidogo yaani (2012-2013) Assad alikuwa amelemewa sana na baadhi ya nchi zilitabiri anguko lake lilikuwa limefika.

Baada ya Isis kuibuka hata kampeni dhidi ya Assad ilififia na hata Urusi iliutumia mwanya huo huo kujiingiza huko Syria, hao waasi wa FSA walikosa nguvu maana walishinikizwa na Marekani waachane mapambano dhidi ya Assad na wapambane na Isis waliposhindwa ikabidi Marekani iwapokee Wakurdi kama washirika wapya japo baadae iliwatosa.
 
Walienda kusambaratisha kambi za Alqaeda, Jambo ambalo walifanikiwa.
mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBAN

Kama huwezi kushindana nao basi walau uungane nao......
 
Tatizo una ushabiki mwingi anyway amini unachoona ni sahihi kwako.
Mkuu jamaa c kaleta ushahidi wapic hapo ushabiki unatokea wpi ?

Kupambana na ISIS kiukwel nikisanga MKUU maana nidhahiri wanaonesha wana watu nyuma maana sio kwasilaha wanazozimiliki wale wauaji aseeeee....
 
mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBAN

Kama huwezi kushindana nao basi walau uungane nao......
Taleban waliwapa hifadhi magaidi (Alqaeda).
 
Mkuu jamaa c kaleta ushahidi wapic hapo ushabiki unatokea wpi ?

Kupambana na ISIS kiukwel nikisanga MKUU maana nidhahiri wanaonesha wana watu nyuma maana sio kwasilaha wanazozimiliki wale wauaji aseeeee....
Kama ni Kisanga mbona hao Isis wamesambaratishwa?
 
mmmh walienda kupambana na Ugaidi MKUU magaidi wenyewe wakiongozwa na TALEBAN

Kama huwezi kushindana nao basi walau uungane nao......
...😂😂😂... Mkuu uko nchi gani kwa sasa? Au bado hujaondoka huko Tehran?
 
Kabisa wangeweza, kumbuka hao Isil chimbuko lao Kwanza siyo Syria ni Iraq ila walitumia udhaifu uliokuwepo huko Iraq (mgogoro wa kimadhehebu) na baadae walijitanua mpaka Syria baada ya maandamano dhidi ya Assad kugeuka Vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Ukinijibu maswali haya nadhani ntaweza kuendelea kufanya huu mjadala na wewe:
1. Kwanini unasema ISIL hawakuwa na nguvu kama zile za FSA ?
2. Kwanini ISIL walifanikiwa kupata maeneo makubwa ndani ya muda mfupi kuliko hata FSA ?
3. Walifanikiwaje kupata maeneo makubwa vile wakati yalikuwa yako chini ya Assad na FSA ?
4. Chanzo cha nguvu cha FSA hadi kufanya wamshinde Assad kilikuwa ni nini ?
5. Malengo ambayo kikundi cha ISIL yalikuwa ni yapi haswa ?

NB: Naomba unijibu haya maswali kwa kuweka ushahidi kwa kila jibu utakalotoa.
 
Nitahitaji muda mrefu kuyajibu hayo yote ila Isil lengo lao kuu lilikuwa kuunda dola ya kiislamu, hao FSA awali walionekana kumshinda Assad baada ya kupata msaada mkubwa toka Uturuki, mataifa ya ghuba ,Marekani na nchi nyingine wafadhili.

Isil wao walipata nguvu maana pia hapo awali walinufaika na huo ufadhili uliokuwa ukitolewa kwa wapinzani wa Assad na mataifa makubwa na ya kiarabu hasa Saudia na Qatar ambao walimsaidia kila aliyempinga Assad bila kujali alikuwa nani.
 
Sawa mkuu nasubiri umalize maswali yote..
 
Kwa hiyo picha za vifaru ndio nguvu kubwa za kijeshi ? Mbona wamesambaratishwa sasa?

Kwani walikuwa hawana pickup?
Wamesambaratishwa na nani kama sio na wenye nguvu.we unafikiri tungeachiwa sisi huku africa tungewaweza.

Pickup ni gari ya usafiri kama gari zingine tu, aliyepanda pickup na aliyepanda iveco za jwtz wote wapo sawa tu wala hakuna utofauti
 
Back
Top Bottom