Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Ukosefu wa umoja na uoga wetu una madhara makubwa sana kwa maendeleo ya taifa letu
 
Kinachofanyika ni kundi dogo la watu kumiliki njia zote kuu za uchumi kisha kuweka kila kitu chini ya himaya yao! Kuanzia viongozi mpaka vyombo vya ulinzi kishapo wanakuwa na kauli ya mwisho kwenye kila jambo
 
Mhh kwahiyo wakishakamilisha kumiliki itakuwa hakuna tena kuficha makucha kama kumteka mtu wao wataua mbele za watu? πŸ₯Ί
 
Kwani Spika wa bunge Ndugai alisema je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…