Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Inchi haiwez kuuzwa maana thamani yake hakuna pesa itatosha kuinunua

Fikiria upigiwe hesabu za mawe mpaka na mchanga wa nchi nzima bado miti hyo gharama yake sio mchezo
 
Inchi haiwez kuuzwa maana thamani yake hakuna pesa itatosha kuinunua

Fikiria upigiwe hesabu za mawe mpaka na mchanga wa nchi nzima bado miti hyo gharama yake sio mchezo
Asante mkuu kwahiyo hizi kauli za kuuzwa kwa nchi huwa hasira ila hazina mantiki yoyote?
 
Alaska ilikuwa sehemu ya Urusi ikauzwa kwa Wamarekani
 
Nchi ipi au nchi kavu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…