Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Diamond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu ni waislamu. Roma, Stamina, Professor Jay n.k ni Wakristo
Kwahiyo vipindi vya miziki vikiwekwa pale TBC watu wananengua, hao wakristo na waislamu huoni nao wanaona Kodi zao hazitumiki vizuri?.Kistaarabu wanahama chanel kusubiri kipindi wanachopenda.Huo ndio Utanzania.Ndio maana naamini umetumwa kupima maji.Safari hii hamtoboi.