Kwahiyo vipindi vya miziki vikiwekwa pale TBC watu wananengua, hao wakristo na waislamu huoni nao wanaona Kodi zao hazitumiki vizuri?.Kistaarabu wanahama chanel kusubiri kipindi wanachopenda.Huo ndio Utanzania.Ndio maana naamini umetumwa kupima maji.Safari hii hamtoboi.
Mama Amon ameshindwa kuelewa katiba sijuwi labda anamatatizo ya lugha.
Kuendesha shughuli za dini ni tafauti na kuonesha au kureport
Vipindi vya miziki ya watu wananengua vikiwekwa pale TBC , wakristo na waislamu hawaoni kama Kodi zao zinatumika vibaya, kwani nao huvifurahia. Anayehama chanel kusubiri kipindi anachopenda sio kwa sababu kipindi hicho hakikubaliki kimaadili, bali ni tofauzi za hobby tu. Lakini ni jambo tofauti kama TBC wakiwema mkanda wa XXX. Huo ndio Utanzania. Ndio maana naamini wewe umetumwa kuvuruga mjadala. Mbele ya Mama Amon hautoboi.Analeta siasa za udini kwa kivuli cha katiba.
Wanapoweka habari za waislam huwa wanaweka habari za wahindu na za wakatoliki.
Waache waislam wasikilize vipindi vyao nao ni walipa kodi kama wewe.Vipindi vya miziki ya watu wananengua vikiwekwa pale TBC , wakristo na waislamu hawaoni kama Kodi zao zinatumika vibaya, kwani nao huvifurahia. Anayehama chanel kusubiri kipindi anachopenda sio kwa sababu kipindi hicho hakikubaliki kimaadili, bali ni tofauzi za hobby tu. Lakini ni jambo tofauti kama TBC wakiwema mkanda wa XXX. Huo ndio Utanzania. Ndio maana naamini wewe umetumwa kuvuruga mjadala. Mbele ya Mama Amon hautoboi.
Hakuna kosa lolote, kama Haya kuhusu badili tu Chanel maana na hao wenye kujadiliana masuala ya dini yao unapofika muda wa dini yako kuwa na vipindi vya dini, wao pia hubadili Chanel.Kuna tofauti ya kuweka habari inayohusu dini fulani na kuigeuza TV au redio kuwa jukwaa la mahubiri ya dini fulani.
Tuvumiliane: Kwa kutumia mwongozo gani?Jamii pana yenye makabila 120 haiwezi kuwa na hulka, Mila, dini na tabia zenye kufanana ni lazima tuvumiliane.
Waache waislam wasikilize vipindi vyao nao ni walipa kodi kama wewe.
Jamii pana yenye makabila 120 haiwezi kuwa na hulka, Mila, dini na tabia zenye kufanana ni lazima tuvumiliane.
Soma bandiko vizuri.Makafiri uwa hawana uvumilivu kabisa pale nchi inapoongozwa na muislamu watafanya vibweka vya kila aina ili mradi wamghasighasi huyo kiongozi ndio inakuwa furaha yao,mbona maswali haya hayakuwepo wakati wa Magufuli ambapo takriban kila jumapili tbc walikuwa wakionesha alipokuwa kanisani? Lakini pia vipindi mbalimbali vya dini ya kikristo vimekuwa vikioneshwa tbc,Ushauri wangu kwenu kwa kuwa mpo wengi kwenye vyombo vya maamuzi pitisheni sheria inayotambua kuwa nchi hii ni ya kikristo na dini nyingine haziruhusiwi ili mfurahishe roho zenu kuliko kuishi kwa maumivu kwenye nafsi zenu.
Hujasikia nyimbo za Injili zenye melody ya Ndombolo ya Solo?Aliye kuambia mlokole anataka rhumba nani? Au mwislamu anataka rege nani kakuambia.Wacha watanzania tuishi kama tulivyo.Sisi tuna furahia vipindi vya TBC .
Kwahiyo wanaimba mahubiri ya kiislamu na kikristo?Diamond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu ni waislamu. Roma, Stamina, Professor Jay n.k ni Wakristo
Kwahiyo wanaimba mahubiri ya kiislamu na kikristo?
Kwahiyo wanaimba mahubiri ya kiislamu na kikristo?
Unaongelea SECULER STATES gani ?
Nimetowa mfano wa secular countires kama BBC, FRANCH 24 , RT zote hizo ni mali ya nchi za secula. nabado wanareport vipindi vya Dini.
Mashindano ya quraan ambayo Wazir mkuu na Rais wanahudhuria itakuwa ni ujinga kukata ku report kwa madai ya Dini
Hembu acheni ujinga tuangalie mambo muhimu
Hakuna haja ya kunielewa.Nikuelewe nini mbaguzi mshenzi tu kama wewe.
Taarifa ya habari inayohusu tukio la kidini ni suala tofauti na tukio la kidini kuwe sehemu ya programu ya kituo cha luninga. Huko BBC, FRANCH 24 , na RT hawana kipindi cha kiongozi wa dini kuketi hapo na kuanza kuhubiri watu wasiojulikana ni kina nani na wako wapi. Hasa huu ndio ujinga unaopingwa hapa.Unaongelea SECULAR STATES gani ? Nimetowa mfano wa secular countires kama BBC, FRANCH 24 , RT zote hizo ni mali ya nchi za secula. nabado wanareport vipindi vya Dini. Mashindano ya quraan ambayo Waziri mkuu na Rais wanahudhuria itakuwa ni ujinga kukataa kuya-report kwa madai ya Dini. Hebu acheni ujinga tuangalie mambo muhimu
1. Nilichokisema mimi ni kwamba dini/imani ni sehemu ya utamaduni wa watu/walipakodi.Maneno "dini au imani ni sehemu ya utamaduni" yana utata.
Dini unayoitaja ni sehemu ya utamaduni wa kabila au ni sehemu ya utamaduni wa Taifa?
Tanzania tuna utamaduni wa kitaifa.
Lakini, Tanzania hatuna dini ya kabila.
Pia, Tanzania hatuna dini yaTaifa.
Kwa hiyo, hoja yako hapo juu unapata ubutu mkubwa, na kimsingi inakufa.
Irekebishe.
1. Usiwachukie Wakristo, wasaidie waondokane na huo unafiki unaouona kwa Wakristo.Nawachukia wakristo kwa sababu wanajali dini yao kuliko watu, wamejaa unafiki. Akitawala mkristo hata akiua wanakaa kimya, watu wakipotea wanakaa kimya. Lakini mama ametufanya tutabasamu nyinyi mnanuna, alafu wanatulazimisha tusiyaone mema anayotutendea bali tumtazame kama muislamu na hivyo kumchukia yeye na mema yake.