Polisi gani iliyorusha, weka hizo source.Ndio picha zilizorushwa wakati Polisi wakitangaza kukamatwa kwake......nenda kwenye sources zote video siku ya kukamatwa.
Au polisi walituuza?
Sheria zetu hukumu utegemea na pesa umaarufu na we ni nani nchi hii.
Thus fisad analipa faini kibaka anakula mvua
Hehehe zilizoonekana nyumbani kwake? Soma muhitasari wa mashtaka risasi 200+Polisi gani iliyorusha, weka hizo source.
Hio picha za kupamba tu,
View attachment 2766809
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimhukumu kifungo cha miaka mitatu na siku 14 jela, Mchungaji anayeitwa Mbarikiwa Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi kazi cha Injili kabla ya kupata usajili kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kama sheria ya vyama vya kijamii inavyotaka.
Hukumu hiyo ilitolewa chini ya kifungu cha 25(1) cha sheria ya vyama vya kijamii. Kifungu kinatoa fursa ya kulipa faini u kifungu, au vyote kwa pamoja. Mahakama imeamua kutoa adhabu ya kifungo.
Mchungaji Mwakipesile amekuwa anaituhumu serikali kwamba inawaona wanachi kama nyani au kenge. Yeye ni baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”,
View attachment 2766819
Lakini, kumbukumbu zinaonyesha kwamba, Akram Aziz, mdogo wake Ristam Aziz, alikabiliwa na kesi ya mashtaka 75 ya uhujumu uchumi kwa kukutwa na nyara za Serikali, silaha za aina mbali mbali na risasi zake (tazama Kkiambatanisho hapa chini). Kesi yake iliendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mwishowe alitozwa faini, badala ya kifungo.
View attachment 2766818
Undumilakuwili huu unazitia doa mahakama za Tanzania, ambazo utendaji kazi wake unasimamiwa na Jaji Mkuu.
Mahakama inayomheshimu jangili na kumtweza mchungaji ni mahakama yanhovyo sana. Mahakama inayomheshimu mwarabu mwenye asili ya Iran na kumtweza Mbantu wa Mbeya haina haki ya kuitwa mahakama. Mahakama inayowatukuza wenye mali na kuwakandamiza kabwela sio mahakama kamwe. Mahakama inayokumbatia kanuni ya umachiveli, isemavyo kwamba "good ends may justify any means, including evil means," haitakiwi nchini Tanzania.
Hivyo, tunatoa wito kwako Mheshimwa Jaji Mkuu: tunaomba ulinde heshima ya Mhimili muhimu unaoitwa Mahakama kwa kuchukua hatua stahiki za kufuta undumilakuwili huu.
============KIAMBATANSHO KUHUSU KESI YA MDOGO WAKE ROSTAM AZIZI==================
View: https://youtu.be/-FWpqOItZrIMnamo 30 Oktoba 30 2018, saa 7 mchana maeneo ya Msasani, Jijini Dar, Akram Aziz, mdogo wake Rostam Aziz, alikamatwa na vyombo vya dola akiwa na nyara mbalimbali za serikali zikiwemo Pembe za ndovu.
MUHTASARI WA KESI YA MDOGO WAKE BILIONEA ROSTAM AZIZ
Ilithibika kuwa Akram (Iqram) ni jangili wa muda mrefu na upekuzi uliofanyika nyumbani kwake ulibaini kuwa Akram anamiliki silaha nyingi kinyume cha sheria, pamoja na mihuri mingi bandia ya taasisi za serikali ambapo alikutwa na “vibali feki” vya uwindaji vingi sana.
Ilifahamika kuwa amekuwa ni “Mastermind” wa ujangili nchini kwa muda mrefu sana na ndiye kinara wa mauaji ya tembo na wanyama wengine kwenye mbuga zetu.
Taarifa za uhakika zilisema kuwa mtandao huo wa ujangili ulikuwa unasimamiwa na Kaka yake Rostam Aziz pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa vyama vya siasa na serikali katika awamu zilizopita. Hatimye Akram alitiwa hatiani na kupewa adhabu ya kulipa faili badala ya kifungo. Picha zifuatazo ni baadhi ya silaha alizokamatwa nazo:
Mama Amon
Mkurugenzi Mtendaji
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
"Sumbawanga Town"
S.L.P. P/Bag
Sumbawanga
30 Sep 2023
Tena kwa sasa jela zinavyojaa kuna msisitizo wa hukumu kwa kesi kama hiyo ya mchungaji kupewa kifungo cha nje au faini. Hukumu kama ile ya ikram rostam ndio mtu angefungwa jela bila mbadala wa faini. Binafsi naamini ikram baada ya kulipa faini hakuachana na uwindaji haramu. Alienda likizo tu na hatimae alibadili mbinu au kuendelea kama kwanza.View attachment 2766809
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimhukumu kifungo cha miaka mitatu na siku 14 jela, Mchungaji anayeitwa Mbarikiwa Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi kazi cha Injili kabla ya kupata usajili kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kama sheria ya vyama vya kijamii inavyotaka.
Hukumu hiyo ilitolewa chini ya kifungu cha 25(1) cha sheria ya vyama vya kijamii. Kifungu kinatoa fursa ya kulipa faini u kifungu, au vyote kwa pamoja. Mahakama imeamua kutoa adhabu ya kifungo.
Mchungaji Mwakipesile amekuwa anaituhumu serikali kwamba inawaona wanachi kama nyani au kenge. Yeye ni baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”,
View attachment 2766819
Lakini, kumbukumbu zinaonyesha kwamba, Akram Aziz, mdogo wake Ristam Aziz, alikabiliwa na kesi ya mashtaka 75 ya uhujumu uchumi kwa kukutwa na nyara za Serikali, silaha za aina mbali mbali na risasi zake (tazama Kkiambatanisho hapa chini). Kesi yake iliendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mwishowe alitozwa faini, badala ya kifungo.
View attachment 2766818
Undumilakuwili huu unazitia doa mahakama za Tanzania, ambazo utendaji kazi wake unasimamiwa na Jaji Mkuu.
Mahakama inayomheshimu jangili na kumtweza mchungaji ni mahakama yanhovyo sana. Mahakama inayomheshimu mwarabu mwenye asili ya Iran na kumtweza Mbantu wa Mbeya haina haki ya kuitwa mahakama. Mahakama inayowatukuza wenye mali na kuwakandamiza kabwela sio mahakama kamwe. Mahakama inayokumbatia kanuni ya umachiveli, isemavyo kwamba "good ends may justify any means, including evil means," haitakiwi nchini Tanzania.
Hivyo, tunatoa wito kwako Mheshimwa Jaji Mkuu: tunaomba ulinde heshima ya Mhimili muhimu unaoitwa Mahakama kwa kuchukua hatua stahiki za kufuta undumilakuwili huu.
============KIAMBATANSHO KUHUSU KESI YA MDOGO WAKE ROSTAM AZIZI==================
View: https://youtu.be/-FWpqOItZrIMnamo 30 Oktoba 30 2018, saa 7 mchana maeneo ya Msasani, Jijini Dar, Akram Aziz, mdogo wake Rostam Aziz, alikamatwa na vyombo vya dola akiwa na nyara mbalimbali za serikali zikiwemo Pembe za ndovu.
MUHTASARI WA KESI YA MDOGO WAKE BILIONEA ROSTAM AZIZ
Ilithibika kuwa Akram (Iqram) ni jangili wa muda mrefu na upekuzi uliofanyika nyumbani kwake ulibaini kuwa Akram anamiliki silaha nyingi kinyume cha sheria, pamoja na mihuri mingi bandia ya taasisi za serikali ambapo alikutwa na “vibali feki” vya uwindaji vingi sana.
Ilifahamika kuwa amekuwa ni “Mastermind” wa ujangili nchini kwa muda mrefu sana na ndiye kinara wa mauaji ya tembo na wanyama wengine kwenye mbuga zetu.
Taarifa za uhakika zilisema kuwa mtandao huo wa ujangili ulikuwa unasimamiwa na Kaka yake Rostam Aziz pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa vyama vya siasa na serikali katika awamu zilizopita. Hatimye Akram alitiwa hatiani na kupewa adhabu ya kulipa faili badala ya kifungo. Picha zifuatazo ni baadhi ya silaha alizokamatwa nazo:
View attachment 2766815
View attachment 2766816
View attachment 2766817

Yaani wewe bibi huwa unashmgilia chochote kinachofanywa na Mwarabu/ Muislam..Wote tunajua kuwa ndugu yake Rostam alishikwa Kwa ujangili...na ndipo USWAHIBA wa Rostam na CCM ya Magufuli uliponzia .Sometimes uwe hata unatuliza tu makalio badala ya kunyanyuka kuchangia kila mada Kwa mwelekeo wa kidini!Hizo picha ulizoweka ni uongo mtupu, defamation.
Nenda kaisome sheria ya "olea bargain", kama wewe a mchungaji wako mmeshindwa na hamkujuwa kuitumia, wenzenu walijuwa kuitumia.
Ndugu yako wewe akifanya kosa uhukumiwe wewe au sivyo?
Sema kwa africaMatajiri wote hawafungwi miaka.....hata mimi sijawahi kuona.
hiki kitabu cha huyu bwana kiliwahi pigwa marufuku kwenye badhi ya nchi“All animals are equal, but some are more equal” — Animal Farm by George Orwell
Kesi ya mdogo wake Rostam ilikuwa kwa ajili ya kumrudisha Rostam nchini baada ya mwendazake kuona hela inaisha na hakuna mtu wa kuzungusha. Na alivyokuja baada ya muda mfupi akafungua Taifa gas na Mwenda zake akampa kiwanda Morogoro.View attachment 2766809
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma
Mheshimiwa Jaji Mkuu,
Tarehe 29 Septemba 2023, Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya ilimhukumu kifungo cha miaka mitatu na siku 14 jela, Mchungaji anayeitwa Mbarikiwa Mwakipesile (39), baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi kazi cha Injili kabla ya kupata usajili kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kama sheria ya vyama vya kijamii inavyotaka.
Hukumu hiyo ilitolewa chini ya kifungu cha 25(1) cha sheria ya vyama vya kijamii. Kifungu kinatoa fursa ya kulipa faini u kifungu, au vyote kwa pamoja. Mahakama imeamua kutoa adhabu ya kifungo.
Mchungaji Mwakipesile amekuwa anaituhumu serikali kwamba inawaona wanachi kama nyani au kenge. Yeye ni baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”,
View attachment 2766819
Lakini, kumbukumbu zinaonyesha kwamba, Akram Aziz, mdogo wake Ristam Aziz, alikabiliwa na kesi ya mashtaka 75 ya uhujumu uchumi kwa kukutwa na nyara za Serikali, silaha za aina mbali mbali na risasi zake (tazama Kkiambatanisho hapa chini). Kesi yake iliendeshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Mwishowe alitozwa faini, badala ya kifungo.
View attachment 2766818
Undumilakuwili huu unazitia doa mahakama za Tanzania, ambazo utendaji kazi wake unasimamiwa na Jaji Mkuu.
Mahakama inayomheshimu jangili na kumtweza mchungaji ni mahakama yanhovyo sana. Mahakama inayomheshimu mwarabu mwenye asili ya Iran na kumtweza Mbantu wa Mbeya haina haki ya kuitwa mahakama. Mahakama inayowatukuza wenye mali na kuwakandamiza kabwela sio mahakama kamwe. Mahakama inayokumbatia kanuni ya umachiveli, isemavyo kwamba "good ends may justify any means, including evil means," haitakiwi nchini Tanzania.
Hivyo, tunatoa wito kwako Mheshimwa Jaji Mkuu: tunaomba ulinde heshima ya Mhimili muhimu unaoitwa Mahakama kwa kuchukua hatua stahiki za kufuta undumilakuwili huu.
============KIAMBATANSHO KUHUSU KESI YA MDOGO WAKE ROSTAM AZIZI==================
View: https://youtu.be/-FWpqOItZrIMnamo 30 Oktoba 30 2018, saa 7 mchana maeneo ya Msasani, Jijini Dar, Akram Aziz, mdogo wake Rostam Aziz, alikamatwa na vyombo vya dola akiwa na nyara mbalimbali za serikali zikiwemo Pembe za ndovu.
MUHTASARI WA KESI YA MDOGO WAKE BILIONEA ROSTAM AZIZ
Ilithibika kuwa Akram (Iqram) ni jangili wa muda mrefu na upekuzi uliofanyika nyumbani kwake ulibaini kuwa Akram anamiliki silaha nyingi kinyume cha sheria, pamoja na mihuri mingi bandia ya taasisi za serikali ambapo alikutwa na “vibali feki” vya uwindaji vingi sana.
Ilifahamika kuwa amekuwa ni “Mastermind” wa ujangili nchini kwa muda mrefu sana na ndiye kinara wa mauaji ya tembo na wanyama wengine kwenye mbuga zetu.
Taarifa za uhakika zilisema kuwa mtandao huo wa ujangili ulikuwa unasimamiwa na Kaka yake Rostam Aziz pamoja na baadhi ya viongozi wengine wa vyama vya siasa na serikali katika awamu zilizopita. Hatimye Akram alitiwa hatiani na kupewa adhabu ya kulipa faili badala ya kifungo. Picha zifuatazo ni baadhi ya silaha alizokamatwa nazo:
View attachment 2766815
View attachment 2766816
View attachment 2766817
Mama Amon
Mkurugenzi Mtendaji
Dawati la Utafiti la Mama Amon (DUMA)
"Sumbawanga Town"
S.L.P. P/Bag
Sumbawanga
30 Sep 2023
Ndugu yako wewe akifanya kosa uhukumiwe wewe au sivyo?
Hufungwa kifungo cha nje na kupangiwa kufagia barabara ya mita 10 kila wiki . We maskini iba kuku mmoja utafungwa hadi ukome.Matajiri wote hawafungwi miaka.....hata mimi sijawahi kuona.
Sasa faini ya millioni 259 ndogo hiyo?
Kesi ya mdogo wake Rostam ilikuwa kwa ajili ya kumrudisha Rostam nchini baada ya mwendazake kuona hela inaisha na hakuna mtu wa kuzungusha. Na alivyokuja baada ya muda mfupi akafungua Taifa gas na Mwenda zake akampa kiwanda Morogoro.
Makosa yenyewe alibambikiwa tu huyo.
HahahahHufungwa kifungo cha nje na kupangiwa kufagia barabara ya mita 10 kila wiki . We maskini iba kuku mmoja utafungwa hadi ukome.
Kama unakumbuka Jpm alikutana na Rostam Mara ngapi Ikulu? Kumbuka vizuri matukioAkram akikaa ndani miezi mitatu.
Alipotoka akampigia saluti Mwamba JPM.
"Sikuwahi kuamini katika nchi hii kwamba ningewahi kulala korokoroni hata siku moja, lakini chini ya Rais Magufuli imetokea," alisema Akram.
Magufuli ilikuwa namba nyingine.
Hakuwa anaabudu wenye mali hata siku moja.
Na huyo mchungaji alikuwa na yeye ana kitalu cha kuwindia kama Akram?Akram akikaa ndani miezi mitatu.