Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

Swali kwa Kikwete: Tutamalizaje changamoto za 2025 wakati serikali haitofautishi kati ya 'coercive peace' dhidi ya 'consensual peace' kabisa?

..Lt.Col.Jakaya Kikwete hakuwa professional soldier kama wakina Gen.Mwamunyange, Lt.Gen.Shimbo, Brig.Gen.Ngwilizi, na wengine.

..Kikwete, Kinana, Ditopile, Makamba, Mkuchika, walikuwa makamisaa wa siasa jeshini. Na ndio maana, mwaka 1993, siasa zilipofutwa majeshini, wao wakaamua kuja uraiani.
Na wote wamekuwa hasara kubwa kwa taifa!
Kati ya hao wote, ni Kinana pekee ndiye unaweza kutenganisha na kundi katika uelewa wa alichokuwa akifanya, hata kama kilikuwa si faida kwa taifa. Hao wengine wote ni madebe tupu yaliyosubiri kujazwa uchafu.
 
..hata Kinana ni haohao tu.
 
..hata Kinana ni haohao tu.
Hapana.

Ila nikubali kuwa ni vigumu kueleza kwa ufasaha ninacholenga hasa.
Kinana anajitambua sana, na anachokifanya hata kwa kutumikia wanaomtuma, anakifanya kwa ufanisi mkubwa kabisa.

Hao wengine wote hakuna mwenye uwezo huo.
 
Huyo ndio mwaribifu wa nchi yetu nyuma ya pazia hayo maneno yakimpaka mafuta unajidhalilisha tu mkuu

Hello,

Naelewa kuwa JK ndio mshauri Mkuu wa SSH, na kuwa Kwa sababu hiyo anazo hisa nyingi ktk lawama zunazoekekezwa Kwa Samia.

Lkn sijaelewa kauli yako kuwa " maneno yakimpaka mafuta unajidhalilisha tu mkuu"

Ufafanuzi plz
 
Back
Top Bottom