..Lt.Col.Jakaya Kikwete hakuwa professional soldier kama wakina Gen.Mwamunyange, Lt.Gen.Shimbo, Brig.Gen.Ngwilizi, na wengine.
..Kikwete, Kinana, Ditopile, Makamba, Mkuchika, walikuwa makamisaa wa siasa jeshini. Na ndio maana, mwaka 1993, siasa zilipofutwa majeshini, wao wakaamua kuja uraiani.