Swali kwa Malegendary, hivi unapotaka kuoa mke wa pili, mke mkubwa unamuweka sawa vipi?

Mpe kadi ya mualiko.
 
Hapo kabla sikuwahi, sasa hivi ndio nimezama hadi maini.
Ni huzuni kwa kweli, niombeeni.
Unanikumbusha binti mmoja wa kinyaturu nlisoma nae wa kuitwa clara, yule dada alikua akipenda anakua kama teja 🤣🤣🤣🤣 yani ni 24/7 akili ipo kwa bf. Love is beautiful.....💕

Am in love with money 😹
 
Hapo kabla sikuwahi, sasa hivi ndio nimezama hadi maini.
Ni huzuni kwa kweli, niombeeni.
Umepigaje hapo? Kwahiyo yule jamaa yetu wa Jangid Plaza hukuzama penzini?
 
Huku kwetu Mugumu sijawahi kuona mzee wangu ama jirani yetu anaomba ushauri kwa mambo hayo.

Kinachofanyika ni mzee kujenga nyumba kununua kitanda godoro na vitu vichache harafu anatangaza tukioa na tarehe husika,
 

Achana na hili wazo, utawapa waganga faida na utawataftia wanawake dhambi ya kuua,
Tafuta kipotabo kimya kimya, endelea nacho kama hakipo.
 
Achana na hili wazo, utawapa waganga faida na utawataftia wanawake dhambi ya kuua,
Tafuta kipotabo kimya kimya, endelea nacho kama hakipo.
Kwahiyo tukubaliane kizazi hiki ni legelege ndio sababu nyumba nyingi sasa hivi zinaongozwa na wanawake.

Hii tabia ya kuwaogopa wanawake mmerithishwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…