Habarini,
Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider:
1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao, wanaopishana miaka 2 au 3, kwa wanaume wa miaka 30+ ushaanza ku-expire kimuonekano, labda uwe na hela ya kuhonga ndo umpate huyo binti, kitu ambacho akina natafuta Ajira, zemanda na xi jinping hawakitaki 😁, na umri huo mabinti wengi bado wako masomoni
2) Tuseme unataka kuoa form 4 failure ana miaka 2 toka amalize secondary, unakuta binti mzuri, miaka 19, chuchu saa 6, shepu hips zimeshamiri na ana division 4, kwa mabinti wengi wa hivyo, familia zao zinakua hazina uwezo wa kuwapeleka vyuo vya ualimu vya private wasome hata certificate, unakuta binti kamaliza form 4, wazazi wana uwezo mdogo kipesa, hana mtaji wa kuanzisha biashara itakayomfanya aishi comfortably, hana connection yoyote ya kupata kazi ya maana, hana elimu, wengi wanatoka kijijini wanaenda kujjibana mjini kwa ndugu kutafta maisha, najiuliza kama midume na ndevu zao na masters maisha yanawachapa hadi wanaamua kuendesha bajaj ili ku-survive, vipi kuhusu binti alietoka kijijini kuja mjini, hana elimu, hana mtaji, hana connection ya kupata kazi, hana skills ya kazi yoyote, hapo kwa mabinti wengi kinachofata ni nini?
Desperation ya kipesa utakayomkuta nayo huyo binti, ni sawa tu na ukutane na mdada mwenye miaka 30+ na hajaolewa 😁, halafu wewe mwanaume ulieanza kujipata kipesa ukiwa na miaka 30+ unajichanganya hapo kwa huyo binti wa 19-23 😂
Mimi naona kikubwa ni kuomba Mungu tu, haya mambo hayana formula, unaeza oa mdada mwenye 29+ ukapata wife material atakaekupa amani kwenye ndoa maisha yako yote, unaeza ukaoa 19-23 ukapata pasua kichwa.