hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Watoto wa mjini akina Hamisa mobetoWanawake wanaroga ili waolewe na wanaume wenye pesa sio wanaume tu
Watoto wa mjini akina Hamisa mobetoWanawake wanaroga ili waolewe na wanaume wenye pesa sio wanaume tu
Duh😆😒 26 ni mshangazi? Sasa huyu niliyenaye wa 32 anajiona kigoli itakuaje?unaoa shangazi la miaka 26+unalipeleka wapi?
Ukimwi hata wa 30+ wanao usiwasingizie under 20Umri wa 18 mpk 23 ni prime age, umri wa kukitombesha sababu ana options, labda kama statistics zimebadilika ila hilo group age walioolewa walikuwa wanaongoza kwa ukimwi, sasa oa akitombeshe nje wote mfe na ukimwi, huyo wa 29 ana emotional maturity pia ana EXPERIENCE so anajua what she wants she is ready to settle down...
Sasa kipengele cha uaminifu ndio mtihani.Mtu kuwa na akili au kutokuwa nayo haina uhusiano wowote na umri wa mtu kuna vijana wa miaka 18 mpaka 25 wako simart kichwani alafu wakati huo kuna watu wazima wa miaka 50 wamejaa makamasi vichwani.
Na ndio maana kuna mabinti wengi wanaolewa baada ya kumaliza kidato cha 4 tu na wanatunza ndoa zao hali yakuwa kuna walio olewa wakiwa na miaka 30 na elimu kubwa lakini ndoa zikawashinda.
Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kuwa akili ya mwanamke huwa sio muhimu sana ndani ya ndoa kitu muhimu anacho takiwa kutimiza ndani ya ndoa ni muaminifu na utii basi hizo akili zenu huwa hatuziitaji sisi.
Kipo kimoja cha 23 kimefungiwa ndani na bwana wake hataki atoke ila yeye kutwa yupo na michepu basi huwa kanajiiba kanakuja kwangu najipigia mipasi yangu halafu kanarudi kwake kabla bwana wake hajarudi.Kuoa mwanamke mwenye miaka 18-23 kuna faida kubwa kuliko hasara
-uzazi unakuwa upo vizuri no birth complications
-Maturity - ukomavu wa akili na hisia mwanamke akiwa na umri mdogo anakuwa very teachable kuliko akiwa ameshakuwa aged 29+
-Submissive - utii ukioa mwanamke mdogo anakuwa na utii Sana she can handle ur situation.
- Afya akili na mwili .
Ukijibiwa nitag na mm nijue, dunia hii ina mambo mengi snKuunga uchi ndo kufanyeje?:
Hamisa mobetto ni mshangazi.ss hv.Watoto wa mjini akina Hamisa mobeto
Ha ha haHamna wife material akawa na miaka 30