Kwaiyo mwenye 29 yeye anafika bila kupita iyo age ya 18-23, au huo ukimwi atakaombukizwa happ kwenye 18-23 akifikisha 29 unapona?Umri wa 18 mpk 23 ni prime age, umri wa kukitombesha sababu ana options, labda kama statistics zimebadilika ila hilo group age walioolewa walikuwa wanaongoza kwa ukimwi, sasa oa akitombeshe nje wote mfe na ukimwi, huyo wa 29 ana emotional maturity pia ana EXPERIENCE so anajua what she wants she is ready to settle down...
Wanashindwa kutofautisha matured woman na damaged woman.Kwahiyo tukubaliane kwamba wanawake mnachukulia mwanamke matured ni yule aliyetembea na wanaume wengi,hana bikra,katoa mimba kadhaa,akili yake ina maumivi ya changamoto za kimahusiano na kadhalika hiyo ndio kwenu mnaita maturity? Eti mama, kwamba umalaya ndio experience ya kukua kwa mwanamke siku hizi?
Unaona sasa wanawake akili zenu namna zinafanya kazi halafu mnasema mnaweza kuongoza,hivi nyie ndio mtaweza kutuongozea mabinti zetu ili waje kuwa wake bora siku zijazo kwa hizi akili mpunyuko kiasi hiki?🤔
Pole zako!!Kwaiyo mwenye 29 yeye anafika bila kupita iyo age ya 18-23, au huo ukimwi atakaombukizwa happ kwenye 18-23 akifikisha 29 unapona?
Daah nimesikia uchungu sana 😂😂😂😂 Half americanunaoa shangazi la miaka 26+unalipeleka wapi?
Akifika 29 anakuwa hawezi jukuambukiza ukimwiKwaiyo mwenye 29 yeye anafika bila kupita iyo age ya 18-23, au huo ukimwi atakaombukizwa happ kwenye 18-23 akifikisha 29 unapona?
Hasa hamjanielewa nini? Nimeongelea msgroup mawili tofauti ya wasichana, moja ni la wadada wa miaka 29 hawajaolewa, na group la pili ni lile la wa miaka 23 ambao wako ndoani..nyinyi mme assume ni group moja wenye miaka 23 na baadae wana turn 29...nisomeni tena vizuri bila kupanickAkifika 29 anakuwa hawezi jukuambukiza ukimwi
Wewe ni mdogo wangu...
Ni kitu gani mwanamke wa age ya 29 anaweza Ku-offer Ila kitu hicho akashindwa ku-offer mwanamke wa 23 yrsHasa hamjanielewa nini? Nimeongelea msgroup mawili tofauti ya wasichana, moja ni la wadada wa miaka 29 hawajaolewa, na group la pili ni lile la wa miaka 23 ambao wako ndoani..nyinyi mme assume ni group moja wenye miaka 23 na baadae wana turn 29...nisomeni tena vizuri bila kupanick
Hiyo ni strategic manipulation ambayo wanaume wengi wanakutanayo.Nilipokuwa na miaka 20 ya mwanzoni nilikuwa nakataliwa kinoma nikaamua kusaka tu business sahvi🤣am 35 babu naambiwa sijiheshimu
Santo sana kwa mwongozo ❤️❤️Wewe ni mdogo wangu...
Kaka bado sijakaa Sawa kiuchumi Ila nimekaribia, japo kula na Kulala sio shida tena kwanguHiyo ni strategic manipulation ambayo wanaume wengi wanakutanayo.
Kwamba ulivyokuwa apecha lolo hakuna mwanamke aliyekuwa na time na wewe maana ulikuwa huna thamani, wanawake wa umri wako walikuwa na wanaume wenye pesa na wewe walikupa kisogo.
Sasa hivi umejipata umekuwa na thamani, sasa wanataka utumie rasilimali zako utulie na mwanamke wa umri wako ambao ndio wale waliokukataa kipindi kile wakati huna thamani.
Yaan kipindi ambacho wao walikuwa na thamani, wewe huna thamani hawakuwa na time na wewe, sasa hivi wao wameshuka thamani wakati huo wewe umepanda thamani ndio wanataka utulie na wao licha ya wao kutokuwa na thamani inayoendana na yako.
Kitendo cha wewe kudate na wanawake wenye umri mdogo ambao of course ndio unaoendana nao thamani kulingana na sheria za asili za nahusiano, wao wanakitafsiri kama hali ya kutojiheshimu.
wanakufanyia emotional manipulation hili ujione kudate mwanamke mwenye umri mdogo hata kama yuko kwenye eligible age ni kosa la kimaadili, wakati huo hata wao wenyewe walivyokuwa mabinti wadogo walidate wanaume ambao ni wakubwa kwao kiumri na hakuna aliyewapigia kelele.
Ankola, usiskilize kelele za hao wasimbe waliokukataa miaka ile, fanya kitu roho inataka kwa muda huu.. tumia rasilimali zako kula mali safi, mali yoyote yenye miaka 26+ tupa kule.
Manipulation za kishamba kama hizo acha wakawafanyie masimps waliojipata wakiwa na 30+ halafu wanaenda kuoa wasimbe wa 30+ hili waonekane wanajiheshimu.
miaka 40 hata ki biolojia, kuzaa ni ngumu, huo ndo umri wa kuanza
Kwahiyo ridhiki ya ndoa hawanaWanawake wa hivyo wanajitolea mahari Ila wanacheza na akili zenu.
Kuna Dada wakati tunamaliza chuo alikuwa na hiyo age alinambia hapa natafuta hela nioe akimaanisha anatafuta hela ajitolee mahari na alifanikiwa
So hizi harusi za wanawake wa 35+ wengi wamejilipia mahari na kuandaa harusi wenyewe ilimradi tu
Na wewe uko?My gf yuko 19.
vipi wewe ni afisa wa nida?Na wewe uko?
Hapa tunaongelea ratio age ya me kwa ke, umesema ana 19 wewe una ngapi? Usije kuwa kibenten chake anakubemenda ukashinda kufiria biashara zako, au basi acha tuvipi wewe ni afisa wa nida?
Na wewe uko?
Ndio maana kawa mkali😂Ana 72 years