Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

Acha uongo wee, wako waliozaa had 8.
Acha utani kwenye dunia ya sasa wanamke akisha fikisha muaka 30 bila kuzaa hata watoto 3 ni wa kuangaikia sembuse watano.
Umri mzuemri wa mwanamke kuanza kuzaa ni wasitani wa miaka 20 mpaka 26.
 
Acha utani kwenye dunia ya sasa wanamke akisha fikisha muaka 30 bila kuzaa hata watoto 3 ni wa kuangaikia sembuse watano.
Umri mzuemri wa mwanamke kuanza kuzaa ni wasitani wa miaka 20 mpaka 26.
Ndo nakuambia sasa, kunae alianza kuzaa akiwa na 31, sahiv ana 43 na yuko na watoto 6, mara 2 kazaa twins.
 
Nashauri aoe mwanamke anayempenda tu
Upendo pekee hautoshi kuingia katika ndoa. Ndoa ni uwekezaji, legacy na mfungamano wa kiroho. Jadda unajifanya mbishi lakini ukweli ni kwamba wewe ni mtupu kabisa kwenye hii field ya ndoa, kama nasema uongo olewa halafu ukatumie hizo itokadi zako ndoani uone kama ndoa yako itamaliza hata mwaka.
 
Kunatofauti ya kitu Mwanamke anachotaka na anachohitaji. Ukieelewa hii formula hautaumia kichwa kwenye mahusiano. Wanawake wanapelekeshwa na vitu wanavyovitaka na kutulizwa na vitu wanavyohitaji.
Mwanaume wa umri wa miaka 30 tayari unatakiwa uwe unajua mahitaji ya msingi ya mwanamke ambayo yatamtoa hofu ya nani ananisimamia maisha yangu.

Wanawake wengi unavyowaona wanahangaika kubadili wanaume,kujichubua,kudanga,kugundika mabichwa yao na mawigi ya nywele za binadamu wenzao,makucha feki,kupost kwenye social networks picha za utupu na mitego, yote hii ikupe picha ya kwamba wana insecurities mbali mbali ambazo ukizichunguza zinatokana na kushindwa kuelewa watapata vipi mwanaume atakae wapa mahitahi yao ya msingi ambayo hawayajui tokea wazaliwe wanafanya kudhania tu au kuhisi.

Wanawake wengi wanafuata mkumbo wa wenzao wanafanya nini ndio maana tabia zao wengi zinakuwa influenced na wanachoona kwa wenzao kama uvaaji,tabia za kuomba vitu vilivyo nje ya uwezo wao, na chaguzi za wanaume kwa muonekano.

Ukichunguza utandugua si kila mwanamke anayesema anataka mwanaume mrefu au mweusi au mwenye ndevu akiingia kimahusiano nae huwa anakuwa amesharidhika na atasettle nae bali ataingia na kuanza kulalamika kukosa vingine alivyotarajia hii ni matokeo ya kuamini kilicho nje ya akili yake zaidi.

Ukweli ni kwamba mwanamke hawezi kujua anachokitaka bali anakuwa influenced kimaamuzi na sehemu penye guarantee ya securities zake.

So mwanaume akiweza kutengeneza profile yake binafsi ya kimaisha yenye ufunuo wa mafanikio ya siku zijazo hata kama si ya pesa nyingi but yanayoweza mpa guarantee mwanamke ya uhakika wa maisha ya utulivu baadae then mwanamke hawezi chomoa kwa huyo mwanaume.

Shida ni mwanaume wa miaka 30 unakutana na binti wa miaka 19 hadi 23 halafu unamwambia tuanze chini ajinyime na kuvumiliana hautatoboa. Umri wa miaka 30 unatakiwa kujua kama upo determined kumteka kiakili binti then umfuate kwa mbinu za kijasusi ili kichwani kwake akufungulie file la mwanaume wa maisha yake. Yaani ukikaa wewe na mwanaume mwenye pesa nyingi ajiskie salama kujikabidhisha kimaisha kwako zaidi kuliko mwanaume mwenye pesa na mali ambaye kuna uwezekano baadae akaja kumtema sababu anawanawake wengi wanamfuata.

Shida ni wengi hamsomi akili za hawa vilaza mkawaelewa. Mfano,Jadda anaweza kuja hapa anasema vitu negative kuhusu wanaume ila ndani ya moyo wake akitokea jasusi m'moja akamuendea kwa utaratibu akamuwin kuanza mahusiano utashangaa yeye ndio mtoaji kuliko huyo mwanaume na akipigwa ukuni analia kabisa kuwa "ukiniacha najiua". Usisikilize mwanamke anasema nini, sikilizia hisia zake halafu fanya kinyume chake.

Elimu unayohitaji kama mtoto wa kiume ni kujua ni vitu gani wanawake wanahitaji kimsingi ambavyo by average kila mwanamke anavitafita na ni vitu vipi wanataka. Hii nadhani sijawahi kuizungumzia kwenye nyuzi zangu na itabidi nitengee muda kulizungumzia.
Shairi lefu sana lakini ni siasa na blaa blaa tu
 
Umeandika mambo ya kinadharia zaidi ya uhalisia mabinti wengi wenye umri wa miaka 18 mpaka 25 huwa wanapenda kudate na watu walio wazidi umri kuliko vijana wanao lingana nao umri.
Alafu acheni kuwa mnalazimisha thamani ya mwanaume ilingane na ya mwanamke,thamani ya mwanaume iko juu na ndio maana mwanaume akiamuwa kuoa anaweza kuoa muda wowote anao taka, lakini mwanamke hana uwezo wa kuamua ataolewa lini bali anategemea maamuzi ya mwanaume anaye taka kumuoa.
Wanawake wanashinda kwa waganga kuroga wanaume wawapende, wawahonge, wawaoe lakini ni ngumu kukuta eti mwanaume ameenda kwa mganga kumroga mwanamke ampende.
Mwanaume na mwanamke mwenye 30 ukiwapanga hapo mionekano yao ni mbingu na ardhi.
Wanawake wanaroga ili waolewe na wanaume wenye pesa sio wanaume tu
 
Upendo pekee hautoshi kuingia katika ndoa. Ndoa ni uwekezaji, legacy na mfungamano wa kiroho. Jadda unajifanya mbishi lakini ukweli ni kwamba wewe ni mtupu kabisa kwenye hii field ya ndoa, kama nasema uongo olewa halafu ukatumie hizo itokadi zako ndoani uone kama ndoa yako itamaliza hata mwaka.
Inategemea nimeolewa na mwanaume wa aina gani, kama nimeolewa na mwanaume mpumbavu na mbinafsi hiyo ndoa ndio itakuwa imemshinda, ila kama nimeolewa na mwanaume anayenipenda hiyo ndoa itadumu vizuri and obviously siwezi kuolewa na the former
 
Inategemea nimeolewa na mwanaume wa aina gani, kama nimeolewa na mwanaume mpumbavu na mbinafsi hiyo ndoa ndio itakuwa imemshinda, ila kama nimeolewa na mwanaume anayenipenda hiyo ndoa itadumu vizuri and obviously siwezi kuolewa na the former
Una shida kubwa sana. Tafuta msaada wa therapist
 
Una shida kubwa sana. Tafuta msaada wa therapist
Hahaha daah kweli hii dunia haiishiwi vituko na maajabu yani mtu anayeishi kwa kutegemea mikeka na kudangia mijimama ndio wa kunishauri mimi nitafute msaada ilihali hata hanifahamu, hebu acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu hangaika na maisha yako na ya wanaokuhusu vinginevyo ni wewe ndiye utaonekana una shida ya akili kwa kuumizwa na yasiyokuhusu, mimi siyo kama hao wanawake wengine wenye low self esteem na wanaofuata mkumbo mimi nilishajua kipi nataka na kipi sitaki toka nikiwa mdogo na msimamo wangu haujawahi kubadilika na hautakuja kubadilika
 
Kuoa mwanamke mwenye miaka 18-23 kuna faida kubwa kuliko hasara

-uzazi unakuwa upo vizuri no birth complications
-Maturity - ukomavu wa akili na hisia mwanamke akiwa na umri mdogo anakuwa very teachable kuliko akiwa ameshakuwa aged 29+

-Submissive - utii ukioa mwanamke mdogo anakuwa na utii Sana she can handle ur situation.

- Afya akili na mwili .
Asante.
 
Back
Top Bottom