Hawa ndo wanakutana na bikra waziwazi.
Au sio mkuuHawa ndo wanakutana na bikra waziwazi.
Miaka 9 hapana smart mtaua watoto wa watu! Hata kizazi hakijakomaa dahhh!!
Nani anataka watoto vya miaka 9??Miaka 9 hapana smart mtaua watoto wa watu! Hata kizazi hakijakomaa dahhh!!
Inasikitisha sana
Si hukovwalopitisha hio sheria! Si njema kwa afya za huto tutotoNani anataka watoto vya miaka 9??
Hawajahi kua na akili hao...Si hukovwalopitisha hio sheria! Si njema kwa afya za huto tutoto
Kabisa aseeHawajahi kua na akili hao...
Tuanzie hapo kwanza tangu mwaka 2020 form iv division 4 Hana SIFA ya kuwa mwalimu kipindi Cha magu kwa sasa Walimu wa msingi mpaka uwe na form six ndio ujiunge na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma chekechea itakupasa uwe na degree chukua hii sasaHabarini,
Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider:
1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao, wanaopishana miaka 2 au 3, kwa wanaume wa miaka 30+ ushaanza ku-expire kimuonekano, labda uwe na hela ya kuhonga ndo umpate huyo binti, kitu ambacho akina natafuta Ajira, zemanda na xi jinping hawakitaki π, na umri huo mabinti wengi bado wako masomoni
2) Tuseme unataka kuoa form 4 failure ana miaka 2 toka amalize secondary, unakuta binti mzuri, miaka 19, chuchu saa 6, shepu hips zimeshamiri na ana division 4, kwa mabinti wengi wa hivyo, familia zao zinakua hazina uwezo wa kuwapeleka vyuo vya ualimu vya private wasome hata certificate, unakuta binti kamaliza form 4, wazazi wana uwezo mdogo kipesa, hana mtaji wa kuanzisha biashara itakayomfanya aishi comfortably, hana connection yoyote ya kupata kazi ya maana, hana elimu, wengi wanatoka kijijini wanaenda kujjibana mjini kwa ndugu kutafta maisha, najiuliza kama midume na ndevu zao na masters maisha yanawachapa hadi wanaamua kuendesha bajaj ili ku-survive, vipi kuhusu binti alietoka kijijini kuja mjini, hana elimu, hana mtaji, hana connection ya kupata kazi, hana skills ya kazi yoyote, hapo kwa mabinti wengi kinachofata ni nini?
Desperation ya kipesa utakayomkuta nayo huyo binti, ni sawa tu na ukutane na mdada mwenye miaka 30+ na hajaolewa π, halafu wewe mwanaume ulieanza kujipata kipesa ukiwa na miaka 30+ unajichanganya hapo kwa huyo binti wa 19-23 π
Mimi naona kikubwa ni kuomba Mungu tu, haya mambo hayana formula, unaeza oa mdada mwenye 29+ ukapata wife material atakaekupa amani kwenye ndoa maisha yako yote, unaeza ukaoa 19-23 ukapata pasua kichwa.
Ndiyo mkuu, hiyo ni bila chenga, miaka 9 si kitu piru kabisa.Au sio mkuu
Kunatofauti ya kitu Mwanamke anachotaka na anachohitaji. Ukieelewa hii formula hautaumia kichwa kwenye mahusiano. Wanawake wanapelekeshwa na vitu wanavyovitaka na kutulizwa na vitu wanavyohitaji.Habarini,
Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider:
1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao, wanaopishana miaka 2 au 3, kwa wanaume wa miaka 30+ ushaanza ku-expire kimuonekano, labda uwe na hela ya kuhonga ndo umpate huyo binti, kitu ambacho akina natafuta Ajira, zemanda na xi jinping hawakitaki π, na umri huo mabinti wengi bado wako masomoni
Kimsingi kila mtu ana hofu ya Maisha akikosa mipango ya kuishi. Lakini pia,hakuna mtu anataka kutulia na mtu ambae hana uhakika na maisha yake.2) Tuseme unataka kuoa form 4 failure ana miaka 2 toka amalize secondary, unakuta binti mzuri, miaka 19, chuchu saa 6, shepu hips zimeshamiri na ana division 4, kwa mabinti wengi wa hivyo, familia zao zinakua hazina uwezo wa kuwapeleka vyuo vya ualimu vya private wasome hata certificate, unakuta binti kamaliza form 4, wazazi wana uwezo mdogo kipesa, hana mtaji wa kuanzisha biashara itakayomfanya aishi comfortably, hana connection yoyote ya kupata kazi ya maana, hana elimu, wengi wanatoka kijijini wanaenda kujjibana mjini kwa ndugu kutafta maisha, najiuliza kama midume na ndevu zao na masters maisha yanawachapa hadi wanaamua kuendesha bajaj ili ku-survive, vipi kuhusu binti alietoka kijijini kuja mjini, hana elimu, hana mtaji, hana connection ya kupata kazi, hana skills ya kazi yoyote, hapo kwa mabinti wengi kinachofata ni nini?
Binti wa umri huo anaweza kuwa desperate na pesa ila ukiketi nae chini na kumuelimisha atakuelewa ukimpatia alternative life style.Desperation ya kipesa utakayomkuta nayo huyo binti, ni sawa tu na ukutane na mdada mwenye miaka 30+ na hajaolewa π, halafu wewe mwanaume ulieanza kujipata kipesa ukiwa na miaka 30+ unajichanganya hapo kwa huyo binti wa 19-23 π
MUNGU utakwenda kumuomba nini na ameshakupatia kila kitu ni wewe tu kuja na mkakati wako ufanikishe mishe.Mimi naona kikubwa ni kuomba Mungu tu, haya mambo hayana formula, unaeza oa mdada mwenye 29+ ukapata wife material atakaekupa amani kwenye ndoa maisha yako yote, unaeza ukaoa 19-23 ukapata pasua kichwa.