Uchaguzi 2020 Swali kwa Rais Magufuli: Hofu ya nini juu ya Vyombo vya Habari?

Msiwalaumu TCRA, wao wanafanya kazi kwa kupewa muongozo, mkumbuke nchi hii mwenye mamlaka ya kila kitu ni ndg presidaa, so yajayo yanafurahisha sana.

Kagame, M7, Marehemu waliwi fanya kama hili tunalo lalamikia ili kufikia kile walichokuwa nacho so kila raia wa tz ajue tunakoelekea na kwa nini linafanyika kipindi hiki kabla ya octoba!.
 
CCM wajue hii fungia fungia vyombo vya Habari inakera Hadi Wana CCM, wasfikiri wanakomoa upinzani tuu. Mimi mwenyewe nimekerwa Hadi Basi maana hobby yangu ni kusikiliza habari toka vyombo vya kimataifa.
Kwa Sasa nasitisha kuipenda CCM na Magufuli Hadi watakapo ruhusu habari za mashirika ya utangazaji ya kimataifa.
Poor CCM uoga wa Nini? Mnatukera Hadi tunaowasupport.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wakisha apply na kupata permit kutambuliwa rasmi ujiungaji wao na media za nje si unaruhusiwa kujiunga na radio/tv zozote za nje ili ziweze kuhabarisha issues about Tanzania na dunia.
Wajisajili tu waendelee tu na uhabarishaji.
BTW Kuna BBC online, etc pia Kuna radio za nchi jirani hujiunga na hizi radio/tv washirika.
 
Wewe ndo wamekuera leo??? Ndugu yangu ondoka huko. Njia pekee CCM itabadirika kweli ni pale wakikaa benchi at least kwa miaka 10. Hapo ndo watajifunza. Tena Bora CCM ya zamani.
 
Bado internet tu, tugeukie uelekeo wa north korea.

This guy aende aisee
 
Ukiomba kibali sasa unaweza kukipata baada ya uchaguzi Oktoba 28. Kutawekwa urasimu wa makusudi kwa makusudi maalum.

Yafaa kuwanunulia simple smartphones vijana ili kusambaza habari kipindi hiki cha uchaguzi. Hili lifanywe na kila mtu mpenda mabadiliko kwenye familia na jamaa zake.
 

Mtu mzima unatumia x kwenye maandishi, xilipo, hivi hizi akili mnaziwachaga wapi?
 
Hata wazime internet.. wananchi tuko na Lissu. This time hatuambiwi mitu aisee.. tushafanya maamuzi.
Lengo lao ndugu na jamaa wasio na internet huko vijijini wasijue chochote kupitia redio Kama BBC, DW, VOA, nk ili waendelee kudanganywa na kusifia utawala dhalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…