Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Wakati shetani JPM anaomba watu wamuombee,unafikiri alikuwa anaombewa vipi?
Yeye mkatoriki,alienda misikitini,kwa walutheri,kwa walokole kote huko akaomba aombewe!!
Mbona hukukosoa?
 
Nimesoma hiyo rejea yako, inaeleza msimamo wa "Liberal Christians ". Kwa kusoma mtiririko wa hoja zako, wewe wala siyo "Liberal Christian" wala siyo Mkristu, sababu unaongea habari ya Mungu wa Agano la Kale, tofauti na Mungu wa Agano Jipya, na unaongelea habari ya miungu.
Sasa wewe ndio wa kuhoji habari ya wakatoliki kumuombea mtu wa K.K.K.T.? of course wala hutaelewa.
Wala sishangai kwamba huelewi habari ya "Authority" ya Petro. Hapo naongelea Kanisa lilivyotambua Injili kutokana na kanuni kwamba sharti iwe na Authority ya Apostle, au Mtume Paulo.

Petro siyo mwanafalsafa, ni mvuvi aliyevuviwa na Roho Mtakatifu. Hizo belief zako ni za kwako. Mkristu anaweza kumwombea binadamu yeyote, sababu Ukombozi wa Yesu ni kwa viumbe vyote.

Kama wewe siyo Mkristu, inakuhusu nini? Wala hulazimishwi kuwa Mkristu
 
Wakatoliki hukataa kumzika mtu aliyekuwa anaabudu madhehebu tofauti.

Vivyo hivyo, hawapaswi kumwombea mtu anayekataa Ukatoliki kama anavyofanya Mbowe ambaye ni muumini wa KKKT mpaka leo.
Usahihi: Wakatoliki hawampi mazishi ya heshima ya Kanisa asiye mkatoliki, au aliyekana imani ya Katoliki, kama alikuwa Katoliki. Lakini mtu huyo huyo baada ya kuzikwa, anaweza "kuombewa Misa", hata inaweza kuadhimishwa Misa ya Wafu kwa ajili yake. Lengo ni kuto"reward" wanaopuuza imani yao, wakati wa mazishi, lakini kwa kuwa Kanisa halihukumu, mtu yeyote anaweza kuombewa. Usiongelee usiyoyajua
 

Your supposed accuracy is denied. And I have two points in response.
  • One is epistemological.
  • The second is ontological.
Epistemological response: You have not provided authority to support your claims. Why should I believe your claim?

Ontological response: This is about my argument from the principle of individuation. I restate it as follows:


  1. The principle of necessary and sufficient conditions for individuality states that wherever there is property difference between two entities there is numeric diversity and that wherever there is absolute property similarity between two entities there is numerical identity.
  2. There are property differences between Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God , etc
  3. Thus, Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God, and so on, are distinct Gods, where the existence of each God is practically asserted by its followers and practically denied by its non-followers.
Accordingly:
  • For a catholic X, Lutheran God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to Lutheran God, X is an atheist.
Again:
  • For Lutheran Y, catholic God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to catholic God, Y is an atheist.

In effect:
  • We pray for atheists so that they may be converted from unbelief status to belief status and not otherwise.
  • For these reasons, all Lutherans including Mbowe are atheists with respect to Catholic God.
  • And all Catholics, including Pope Francis, are atheists with respect to Lutheran God.
Finally:

This is what the elementary metaphysical principle of individuation, properly understood, teaches us.


Volume inatosha au ningeze tena kidogo?
 
Petro siyo mwanafalsafa, ni mvuvi aliyevuviwa na Roho Mtakatifu. Hizo belief zako ni za kwako. Mkristu anaweza kumwombea binadamu yeyote, sababu Ukombozi wa Yesu ni kwa viumbe vyote.

Aristotle alikuwa mwanafalsafa mwenye cheti kutoka wapi? Yesu Je? Ni vivyo hivyo kwa Petro. Mwanafalsafa ni yeyote aliye na uwezo wa kufikiri kinaganaga na kimantiki. period. Kwa kigezo hiki, Biblia iliandikwa na wanafalsafa. Evidence external to the Bible inathibitisha hilo.
 
A logically incoherent, theologically primitive and philosophically naïve response.
 
A logically incoherent, theologically primitive and philosophically naïve response.
Usomi wako ni feki pia. Unalazimisha watu waone kila kitu kama wewe ulivyo narrow minded. Eti "theologically primitive" my foot! Hiyo Teolojia yako ya copy and paste? Sihitaji "msomi" wa aina yeyote, least of all a confused Lady, kunifafanulia ninachoamini. Imani hutoka kwa Mungu, my dear, Neno sahihi huimarisha.
 
Walimu wangu wa Philosophical Theology walinifundisha kuwa kusudi mtu aweze kuelewa vema Mungu WAKE ni kitu gani na sio kitu gani, yafaa atambue na kuitumia kanuni muhimu: Yaani kanuni ya identity through time isemayo kwamba:

DEFINITION: An Object O2 spatiotemporally located at (P2, T2) is numerically identical with an object O1 spatiotemporally located at (P1, T1) if and only if there exists some space-time path connecting (P2, T2) with (P1, T1) such that for every point, (Pi, Ti), along this path (including P2 and T2) there exists an object, Oi, which is qualitatively similar to each of the objects in the neighborhood of (Pi, Ti ) and which is the same type of thing as O1.

Kwa mujibu wa kanuni hii:

  • A disincarnated god is not identical with an incarnated god;
  • A contraceptophobic god is not identical with a contraceptophilic god;
  • God whose third person comes from the father alone is not identical with god whose third person comes from the father and the son;
  • God who prefers to be worshipped in Sunday is not identical with god who prefers to be worshipped in Saturday;
  • God who prefers to be worshipped on Friday is not identical with god who prefers to be worshipped on another day;
  • Na orodha inaendelea.

Kwa hiyo, mistari ya Biblia inayosema kuwa Mungu ni yule yule, jana leo na milele; na kwamba Mungu tunayemwabudu leo ndiye Mungu wa Mungu wa Musa, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo, ni mistari batili! Wanaweza kuikubali wakatekumeni tu!

Nadhani sasa umeanza kuelewa hoja!

Kwa uelewa zaidi soma nondo hizi zilizoambatanishwa hapa chini:

  • Contemporary Philosophical Theology by Charles Taliaferro, Chad Meister
  • The Oxford Handbook of Philosophical Theology (Oxford Handbooks) by Thomas P. Flint, Michael Rea
  • Beyond Experience: Metaphysical Theories and Philosophical Constraints by: Norman Swartz​

 

Attachments

Mungu yupi?
Mungu wa Wakatoliki anayekataliwa na Mbowe?
Na je, Mbowe akifa leo atazikwa na Kanisa Katoliki?
Haya sio masuala ya kubahatisha, kuna kanuni zake!
Kwahiyo wale mashekh walipoteza muda wao kumwombea Magufuli?
 
I am very delighted to find brilliant guys who could give a competent analysis of issues of today. Whoever disregard this contribution must be a person whose minds fluid is leaking.

It is the very open secret that the demise of Chadema is very near, since the Party's life is pegged to the life of Mbowe. We now have Mbowe out of scene, so is Chadema.

Keep it up, though you must be prepared to receive negative comments from imbeciles.
 
Imani yangu, namshukuru Mungu kwa hilo, iko juu ya hayo yooote uliyoandika. Nisomapo Biblia, napata Revealed Message. Hizo rejea ulizotoa ni tafakari za watu ambazo zinaweza kurekebishwa with new developments. Tupo tofauti kabisa na naishia hapo katika mjadala wangu na wewe. Nakuombea kwa Mungu akupe Mwanga wa IMANI
 
Revealed Message
This is where yo behave like a robot! Ngugi wa Thiong'o REVEALED the life of the GIKUYU people in his THE RIVER BETWEEN. So did Chinua Achebe and many others in their respective works. What Ngugi and Chinua did recently was done by similar authors in the remote past--the authors of the Biblical books, etc. The Bible is a literature like any other, except for their respective contexts. It is subject to exegetical analysis like any other literature. The so-called divine inspiration is a thesis for catechumenates. It is wrong to grant superior status to the works of European authors and grant an inferior status to African authors. To do so is to succumb to colonial brainwashing. Period!
 
Mwendazake ambaye kila kukicha alikhwa anataka aombewe, nilikuwa in sehemu ya ibada ipi?
 
Mwendazake ambaye kila kukicha alikhwa anataka aombewe, nilikuwa in sehemu ya ibada ipi?
Ulikuwa ni usanii wa kisiasa chini ya uratibu wa kitengo cha TISS kinchotumia dini kisanii. Hata DG wa TISS aliyeteuliwa na JPM umemsahau?
 
Unanukuu maelezo yanayomweleza Mungu kwa kutumia SPACE and TIME! Wakati Mungu ameumba SPACE na TIME. Mungu yuko nje ya SPACE and TIME.
Sina tatizo kama wewe unayaamini hayo.. Mimi pamoja na mabilioni ya Waamini, kwa nyakati zote tangu Ibrahim mpaka Musa mpaka ujio wa Yesu na mpaka leo, tunaamini katika Mungu Mmoja aliyeumba Mbingu na Dunia, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Aliyenena na binadamu kwa njia ya Manabii. Na ambaye amejifunua kikamilifu kwa njia ya Mwana [Waebrania 1:1,2].
Hayo unayosema wanaamini Wakatekumeni tu, ndiyo tunayoamini.
 
Robot! Wakatekumeni! Mbona una dharau sana? Hili ni suala la Imani. Nikisoma Genesis, najiona niko kwenye hali tofauti kabisa na nikimsoma Ngugi. Kama wewe unaona Biblia ni kitabu cha kawaida tu kama Hekaya za Abunuwasi, good for you, but not for me.

Robot? I don't think so!
Kwani Katekumeni ni nani? Mwanafunzi wa dini. Akiamini, anabatizwa. Kuamini ni hiari. Ukiwa na imani. Huna imani? All the best
 
Unanukuu maelezo yanayomweleza Mungu kwa kutumia SPACE and TIME! Mungu yuko nje ya SPACE and TIME.

You seem to be uncritically rehearsing and dropping illusory words you crammed during your school years in order to pass exams and qualify for a graduation certificate without education.

Admittedly, if God created space-time, then it is logical to assert that, in the beginning God WAS outside this space-time we know, since, etiologically speaking, the antecedent is always prior to the consequent.

It is here assumed that God created this space-time while located in the presumed outer space.

The latter is not empirically knowable to us since we can only empirically know what is located in space time.

However, logically, it seems that, no longer is today's God wholly located outside the four-dimensional space-time (x, y, z, t) we know.

To maintain otherwise is to carelessly confuse the past tense with the present tense, and to ignore the fact that God is immanently omnipresent, from which it follows that He is both within and beyond space-time. This position follows from the following argument:
  • If God exists, then, in terms of attributes, he is transcendent (i.e., exists outside space-time) and immanently omnipresent (i.e., exists anywhere in space-time). (P1)
  • A transcendent being cannot exist anywhere in space-time and an omnipresent being must immanently exist everywhere in space-time. (P2)
  • Thus, it is impossible for a transcendent being to be immanently omnipresent (from 3 and 4). (P3)
  • By definition, a set of propositions entails a contradiction if it simultaneously asserts and denies a given position (P4)
  • Therefore, the existence of a transcendent and immanent God is a contradiction (from P1, 2, and P4). (P5)
This contradiction is undeniable. And to deny this contradiction is to concede cognitive incompetence on the part of the denier!

If so, how can we still make sense of God as a being that is outside of space-time, and yet has created it, interacts with his creations that are confined to space-time, and at one specific point in history entered into space-time in the person of Jesus?

We can circumvent this contradiction by adjusting P2 so that, a transcendent being can exist anywhere in space-time and beyond.

So, if God is everywhere in space-time and is unchanging, then, he would be expected to be at such points as (P1,T1); (P2,T2); ...., (Pi,Ti), ......, (Pn,Tn); where the locus running from (P1,T1) to (Pn,Tn) is occupied by the same God.

Thus, it is OK to describe such God's Identity in terms of spatial and temporal variables, as I did. That is, to describe God's Identity in terms of time-indexed variables and space-indexed variables. Our philosophical theology allows it.

Thus, concerning space-indexed properties, we can say that God-at-Dar is the same as God-at-Dodoma or vice versa; or that, God-in-the-Mosque is the same as God-in-the-synagogue or vice versa.

Similarly, concerning time-indexed properties, we can say that, God-of-1514 is the same as God-of-2021 or vice versa; or that, God-of-the-Old-Testament is the same as God-of-the-New-Testament or vice versa.

The key assumption here is that, one of the key attributes of spiritual substances is penetrability, as opposed to the attribute of impenetrability. The latter is usually possessed by material substances.

As a rule, every material body must have weight, volume, occupy a particular location in space, and it is impossible for two bodies to be at the same location at the same time. The latter property is called impenetrability.

Just as one body can not be simultaneously occupy more than one locations, so too, two bodies cannot occupy the same location simultaneously.

It follows that each body must occupy a particular location, inaccessible to any other body, as long as the former is not ejected from it.

Generally, if at times it appears that a body completely enters another body, there is even then no penetration; instead the pores in one body accept particles of the other, after the ejection of any matter that might previously have occupied the pores.

Whatever is impenetrable belongs to the category of bodies, and therefore the essence of bodies is their impenetrability, on which therefore all their other properties must be founded.

Since bodies through their essence are impenetrable, no force, however large, is able to compress two bodies such that, even in their smallest parts, a real interpenetration can occur.

By definition, then, impenetrability is the name given to that quality of matter whereby two bodies cannot occupy the same space at the same time.

For example, you cannot sit on the chair which is already occupied by another person.

The opposite of impenetrability is penetrability, hereby defined as, the ability of two types of substances to occupy the same space at the same time.

Examples of penetrability are common in the physical world. It is by reason of the attribute of penetrability, as their intrinsic property, sound energy and magnetic energy can cross walls from one room to the next without any hindrance.

By the same logic, given the divine attribute of penetrability, God can be inside the wall and outside the wall, below the ground and above the ground, inside our bodies and outside our bodies, and so on.

This way, we are capable of describing God in terms of world-indexed properties, and time-indexed properties, without any hesitation.

Professor Alvin Plantinga has been very useful in elucidating this concept of world-indexed properties.

He is the inventor of the concept of world-indexed properties. These are properties such as being speculative in possible world W.

What these properties are to possible worlds is what time-indexed properties such as being careless at time T are to instants of time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…