Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi

Kwanza tuelewe maana ya Mungu ni kitu chcht ambacho mwanadamu unakitegemea.

Waktristo wote wanamtegemea mungu Yesu.

Mabaniani wanamtegemea Mungu Ng'ombe.

Kuna wanaotegemea Mizimu, miti, jua, mwezi, nyota, siku, mwezi, namba, Pombe, Bangi, maarifa nk.

Iliradi kila MTU anacho anachokitegemea. Na kwamba wanafaidika na kutegemea miungu yao.

lkn kuna Mungu Mwenye Enzi, anaesimamia mambo mengi ikiwemo haki. Na kila anaepigania haki anatekeleza maagizo ya Mungu Mwenye Enzi.

Lkn haki haipiganiwi kwa dua wala maombi, Bali ni kwa kupigana ktk vita. Iwe vita ya moto au vita baridi.

Naombi ni sehemu ya kujifariji
 
Kwanza tuelewe maana ya Mungu ni kitu chcht ambacho unakitegemea.

Waktrosto wote wanamtegemea mungu Yesu.

Mabaniani wanamtegemea Mungu Ng'ombe.

Kuna wanategemea Mizimu, wengine jua, mwezi, nyota, siku, mwezi, namba, Pombe, Bangi nk.

Iliradi kila MTU anacho anachokitegemea. Na kwamba wanafaidika na kutegemea miungu yao.

lkn kuna Mungu Mwenye Enzi, anaesimamia mambo mengi ikiwemo haki. Na kila anaepigania haki anatekeleza maagizo ya Mungu.

lkn haki haipiganiwi kwa dua wala maombi Bali ni kwa kupigana ktk vita. Iwe vita ya moto au vita baridi.
Hahahahaha.

Sorry member, your gender please?
 
Uliyeandika hii thread inaonesha hjjui sifa za Mungu (hii ni kwa Mungu au mungu yoyote)...

Mungu au mungu yoyote kicheo ni mkuu kuliko vyote, hivyo mtu anapomuombea mtu mwingine iwe mtu huyo ana haki au hana haki, ni ili huyo Mungu/mungu anayeombwa aoneshe ukuu wake na atukuzwe na huyo asiye na haki (wakristo wanaita mwenye dhambi, mkosefu n.k)...

Mungu yoyote huwa hana mipaka ya kutoa msamaha...
 
Usikurupuke, andika taratibu ueleweke... Hebu pitia upya ulicho andika... Bila shaka umeona uliposahau kumalizia eenhe?? Aya malizia taratibu, hapo kabla ya kuanza aya ya mwisho.. malizia hapo.

ROHO WA MUNGU Anasema unataka ku-justfiy theme ya HAKI.. Lakini njia uliyotumia Anasema SIO SAHIHI.

jitafakari, SPIRITUAL INTELLIGENCE.
 
Hadi naandika hapa ujue nina uhakika, hii ndio principle ya Watu8

Kutokuelewa nilichoandika hakukupi uhalali wa kudhania sipo sahihi...
 
Hahahahaha..

SIJASEMA mimi, ROHO NDIYE ASEMAYE... na HAJASEMA KUWA HAUPO SAHIHI, Amesema njia uliyotumia sio sahihi.

HUJAWAHI AMBIWA UJUMBE WAKO MZURI ILA NJIA ULIYOTUMIA SIO SAHIHI... Nazani unanieelewa watu nane (KWANINI KATIKA HAO WATU NANE KILA MTU ASIWE NA ID YAKE?)

Spiritual Intelligence.
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye parokia za Kanisa Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Kama mambo haya yangefanyika kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoendeshwa na Martin Luther wa Ujerumani, yangeweza kuingia akilini. Wakati huo Kanisa la Kikristo lilikuwa moja. Lakini hali sio hivyo leo. Ukweli wa leo ukom hivi:

  1. Kwa mujibu wa kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kila mahali penye utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na vitu vingi, na kila mahali pasipo na tofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na kitu kimoja.
  2. Kuna utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki.
  3. Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki, ni Mungu tofauti, na uwepo wa kila Mungu aliyetajwa unakubaliwa kwa vitendo na wafuasi wa Mungu huyo na kukanwa kwa vitendo na watu wasio wafuasi wa Mungu huyo.
That is:
  1. According to the principle of necessary and sufficient conditions for the individuality of an entity, wherever there is property difference between two entities there is numeric diversity and that wherever there is absolute property similarity between two entities there is numerical identity.
  2. There are property differences between Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God , etc
  3. Thus, Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God, and so on, are distinct Gods, where the existence of each God is practically asserted by its followers and practically denied by its non-followers.
Accordingly:
  • For a catholic X, a Lutheran God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to a Lutheran God, X is an atheist.
Again:
  • For a Lutheran Y, a Catholic God is not.

  • Thus, with respect to a catholic God, Y is an atheist.
In effect:
  • We may pray for atheists so that they may be converted from unbelief status to belief status and not otherwise.
  • For these reasons, all Lutherans including Mbowe are atheists with respect to Catholic God.
  • And all Catholics, including Pope Francis, are atheists with respect to Lutheran God.
Finally:
  • The god of the Old Testament whose third person is disincarnated is not identical with the god of the New Testament whose third person is incarnated ;
  • A contraceptophobic god of the Catholic Church is not identical with a contraceptophilic god of the Lutheran Church;
  • A god whose third person comes from the father and the son, as taught by the Western Christian Churches, is not identical with a god whose third person comes from the father alone as taught by the Eastern Christian Churches.
  • A god who prefers to be worshipped on Sunday is not identical with a god who prefers to be worshipped on Saturday;
  • A god who prefers to be worshipped in Friday is not identical with a god who prefers to be worshipped in another day;
  • A god who prohibits his followers to eat pork is not identical with a god who allows his followers to eat pork;
This is what the elementary metaphysical principle of individuation, properly understood, teaches us.

Sasa swali kuu na majibu yangu

Kwa hiyo basi, ninawaalika Viongozi wa Chadema kujiuliza na kujibu swali lifuatalo: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwa kuzingatia matakwa yakanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kama ilivyofafanuliwa hapo juu, binafsi napendekeza yafuatayo:
  • Kwamba, Mungu wa KKKT anayeabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki anayeabudiwa na wafuasi wa Mbowe ambao ni Wakatoliki;
  • Kwamba, Mbowe amekuwa anamkana kwa mawazo, kwa maneno na kwa vitendo Mungu wa Wakatoliki.
  • Na kwamba, kwa sababu hiyo, Mbowe hana haki ya kuombewa na wafuasi wake kupitia kwa Mungu asiyemwamini.
Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema wanapaswa kuacha maigizo kama yale ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Vinginevyo watayafikisha makanisa mahali ambapo kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho yake, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki.

Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Nijuavyo mimi, ukweli ni kwamba: Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki, yaani Mungu wa kuchonga (constructed God), wakati mwingine ni Mungu wa kweli (essential God).

Kanuni nne za kuongoza mjadala:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu hapo juu na kulitendea haki, hapa chini nafafanua kanuni NNE zinazopaswa kuongoza mjadala huu. Kanuni hizo ni:
  • kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti (principle of identity),
  • kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika (principle of difference), na
  • kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu.
  • kanuni ya sifa za lazima katika utambulisho wa kitu (principle of necessity)
  • Kanuni ya sifa zenye kutosheleza utambulisho wa kitu (principle of sufficiency).
Kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti

Mosi, ni kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, yaani the principle of the Identity of indescernibles.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea kitu kimoja kile kile, hiyo maana yake ni kwamba, kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu kile kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Kwa pamoja, sentensi kwamba:

(1) kila sifa iliyofungamana na kitu X pia imefungamana na kitu Y;

na sentensi kwamba:

(2) kila sifa iliyofungamana na kitu Y pia imefungamana na kitu X.

ni za kweli.

Kwa mfano,
  • Julius ni jina linalorejea mtu yule yule anayeitwa Nyerere. Yaani, Julius na Nyerere ni majina ya kitu kimoja.
  • Na, DOG ni jina linalorejea kitu kile kile kinachoitwa MBWA. Yaani, DOG na MBWA ni majina ya kitu kimoja.
Kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika

Pili, ni kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, yaani the principle of dissimilarity of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea vitu tofauti kwa mujibu wa utaratibu wa kuhesabu, basi, hiyo maana yake ni kwamba, sio kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu tofauti na kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja P, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja Q, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:
  • Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.
  • Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!
  • Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu

Na tatu, ni kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu. Yaani necessary and sufficient definitions.

Ukitaka kukitambulisha kitu kama vile kitu chenye umbo mraba, kwa namna ambayo inatofautisha umbo mraba na vitu baki, lazima kutaja vigezo vinavyomwezesha msikilizaji kufanya mambo mawili.

Mosi, ni kutambua mraba ni kitu gani. Na pili ni kutambua mraba sio kitu gani.

Kazi hizi mbili zinafanyika kwa njia ya kutaja vigezo ambavyo ni vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu kinachoongelewa.

Kuhusu vigezo vya lazima, tuchukue mfano wa fasili ya kitu chenye umbe la mraba. Ni lazima kila mraba uwe na pande nne.

Lakini, sifa hii haitoshi kuutofautisha mraba na maumbo baki kama vile mstatili ambayo pia yanazo pande nne.

Na kwa upande mwingine, kuna vigezo ambavyo vinatosheleza kukitambulisha kitu, lakini sio vya lazima kwa ajili ya utambulisho huo.

Mfano, katika mazingira ya shule mwanafunzi anayepata alama ya A anapasi kozi.

Lakini, alama ya A sio alama ya lazima ili kumfanya wanafunzi huyo apasi kozi. Anaweza kupasi kwa kupata alama ya B, C au hata alama D.

Hivyo, kupata alama ya A ni kigezo cha lazima katika kupasi kozi, lakini sio kigezo kinachotosheleza matakawa ya kumpa mwanafunzi sifa ya kuhesabiwa amepasi mtihani, kwani hata wale wanaopata B, C na D hupasi pia.

Kwa sababu hii, kwa ajili ya kueleza mraba ni kitu gani na sio kitu gani kwa mpigo, tunahitaji mambo mawili:

(1) kutaja kigezo kimoja kimoja ambacho ni lazima kihusike katika kutambulisha mraba.

Na (2) kutaja seti ya vigezo vyote ambavyo kwa pamoja vitatosheleza kutofautisha mraba na maumbo baki yenye pande nne.

Kwa hakika, kila mraba lazima uwe na sifa zifuatazo kwa mpigo: pande nne, pande zilizo nyooka, pande zinazolingana, pande zilizoungana katika ncha zake, pale zilizo katika ubapa mmoja, na lazima uwe na kona nne zenye nyuzo 90 kila moja.

Kanuni hizi tatu zilizotajwa hapo juu, zinapaswa kutumika katika kutambua na kutambulisha kitu chochote kama vile mbuzi, kondoo, mti, mtu, miungu, na kadhalika.

Hivyo basi:

Ukweli ndio huo, na hayo ndiyo madhara yasiyotarajiwa yaliyoletwa na Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoaasisiwa na Matrin Luther wa Ujerumani.

Kwa uelewa zaidi soma kitabu: The Unintended Reformation: How a Religious Revolution Secularized Society by Brad S. Gregory (Attached).
Duh! Yaani umeandika mambo deep sijui kama kuna nyumbu ataelewa!
 
Nimejitahidi kuisoma kwa undani hii PUMBA ila nimetoka kapa. Mama Amon umepuyanga. Umewaangusha wana wa Amon
Kama huwezi kuelewa hata fundamental principle of individuation wakati unaitumia kila siku unapohesabu vitu, basi uwezo wako wa kufikiri ni mfupi sana. Waachie wenye uwezo wa kuelewa hoja hii. KIla la heri.
 
Mimi kushindwa kuelewa hiyo fundamental bla bla haiondoi ukweli kwamba hili hapa ni shudu [emoji38]
 
Kama hesabu ulipata "F" usitarajie kuelewa hii fundamental principle of counting. Hesabu ndio jibu la uelelwa hapa. Baki mtazamaji.
Ni kweli hesabu sikufaulu japo sikulamba F kama Mama Amon unavyodhani. Point yangu inabakia pale pale. Huu hapa ni utopolo [emoji23]
 
Hujahakiki hoja ili kuonyesha dosari iliyomo. Kwa hiyo huwezi kutoa hukumu yoyote. Unachofanya ni sawa na debe shinda lisiloacha kutika.

But why do you fail? The reason is simple. There is something you are missing.

We all have been taught counting since we were very young, right? It proceeds like 1, 2, 3, 4, 5 …., which together make the set of natural numbers mathematically.

It enables us to know the difference between us having four apples or five apples and understanding that four apples are one apple short of five apples.

Such physical examples make the process of counting seem intuitive to our mind. But that’s just not the end of the story.

We need a principle that explains why we look at two mangoes which are similar in every sense, and yet say this is one, this is the second. It is the fundamental principle of individuation that guides us.

It says that, wherever there is property difference there is diversity/multiplicity/plurality, and that wherever there is absolute property similarity there is identity/unity/singularity.

Unakwama wapi?
 
Kwanini msitumie utaalamu wa sayansi (ya sheria) kumchomoa Mbowe ktk kesi? Kama hamuamini maombi kupambana na korona na kuamini sayansi (ya tiba) vivo hivyo huku iwe hivyo, consistency mkuu ipo wapi?
Mbona vyote vinafanyika.

Mboww ana jopo la mawakili 19.

Ni kama vile Timu ya Taifa iliyonolewa vizuri kabla ya mechi lazima waanze na wimbo wa Taifa kuiombea na wimbo wa Taifa unamuo.ba Mungu
 
View attachment 1897959
Rodrick Lutembeka, mmoja wa viongozi wa Baraza la Wazee Chadema

Tangu Freeman Mbowe alipokamatawa na kufunguliwa mashtaka yanayohusiana na ugaidi, viongozi wa Chadema Mwanza, Morogoro na Dar es Salaam wamekuwa wanahamasisha maombi katika makanisa mbalimbali, bila kujali Mbowe anamwamini Mungu yupi.

Kuna wanaopeleka matoleo kwenye parokia za Kanisa Katoliki. Wengine wanapepeleka makanisa ya KKKT. Na baadhi wanasali novena barabarani.

Kama mambo haya yangefanyika kabla ya Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoendeshwa na Martin Luther wa Ujerumani, yangeweza kuingia akilini. Wakati huo Kanisa la Kikristo lilikuwa moja. Lakini hali sio hivyo leo. Ukweli wa leo ukom hivi:

  1. Kwa mujibu wa kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kila mahali penye utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na vitu vingi, na kila mahali pasipo na tofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa vitu vilivyo mbele ya mtazamaji kutakuwa na kitu kimoja.
  2. Kuna utofauti katika idadi ya sifa za utambulisho wa Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki.
  3. Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki, Mungu wa Walutheri, Mungu wa Waislamu, MUngu wa Wasabato, na kila muungu baki, ni Mungu tofauti, na uwepo wa kila Mungu aliyetajwa unakubaliwa kwa vitendo na wafuasi wa Mungu huyo na kukanwa kwa vitendo na watu wasio wafuasi wa Mungu huyo.
That is:
  1. According to the principle of necessary and sufficient conditions for the individuality of an entity, wherever there is property difference between two entities there is numeric diversity and that wherever there is absolute property similarity between two entities there is numerical identity.
  2. There are property differences between Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God , etc
  3. Thus, Catholic God, Lutheran God, Islamic God, SDA God, and so on, are distinct Gods, where the existence of each God is practically asserted by its followers and practically denied by its non-followers.
Accordingly:
  • For a catholic X, a Lutheran God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to a Lutheran God, X is an atheist.
Again:
  • For a Lutheran Y, a Catholic God is not.
  • A believer in the non-existence of a given God is called an atheist.
  • Thus, with respect to a catholic God, Y is an atheist.
In effect:
  • We may pray for atheists so that they may be converted from unbelief status to belief status and not otherwise.
  • For these reasons, all Lutherans including Mbowe are atheists with respect to Catholic God.
  • And all Catholics, including Pope Francis, are atheists with respect to Lutheran God.
Finally:
  • The god of the Old Testament whose third person is disincarnated is not identical with the god of the New Testament whose third person is incarnated ;
  • A contraceptophobic god of the Catholic Church is not identical with a contraceptophilic god of the Lutheran Church;
  • A god whose third person comes from the father and the son, as taught by the Western Christian Churches, is not identical with a god whose third person comes from the father alone as taught by the Eastern Christian Churches.
  • A god who prefers to be worshipped on Sunday is not identical with a god who prefers to be worshipped on Saturday;
  • A god who prefers to be worshipped in Friday is not identical with a god who prefers to be worshipped in another day;
  • A god who prohibits his followers to eat pork is not identical with a god who allows his followers to eat pork;
This is what the elementary metaphysical principle of individuation, properly understood, teaches us.

Sasa swali kuu na majibu yangu

Kwa hiyo basi, ninawaalika Viongozi wa Chadema kujiuliza na kujibu swali lifuatalo: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Kwa kuzingatia matakwa yakanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika kwa kutumia vigezo vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu katika upekee wake, kama ilivyofafanuliwa hapo juu, binafsi napendekeza yafuatayo:
  • Kwamba, Mungu wa KKKT anayeabudiwa na Mbowe ni tofauti na Mungu wa Wakatoliki anayeabudiwa na wafuasi wa Mbowe ambao ni Wakatoliki;
  • Kwamba, Mbowe amekuwa anamkana kwa mawazo, kwa maneno na kwa vitendo Mungu wa Wakatoliki.
  • Na kwamba, kwa sababu hiyo, Mbowe hana haki ya kuombewa na wafuasi wake kupitia kwa Mungu asiyemwamini.
Mbowe hamtambui Mungu wa Wakatoliki tangu siku alipobatizwa chini ya madhehebu ya KKKT, na hadi leo hajatwambia kama amemkana Mungu wa KKKT na kumkubali Mungu wa Wakatoliki.

Kwa hiyo, Mungu wa Wakatoliki hawezi kusikiliza wala kupokea matoleo yanayopelekwa ndani ya Kanisa Katoliki kwa ajili ya kumwomba Mungu wa Wakatoliki amtetee Mbowe, mpaka hapo Mbowe atakapomkiri kwamba yeye pekee ndiye Mungu wa kweli.

Hivyo, viongozi wa Chadema wanapaswa kuacha maigizo kama yale ya "mitano kwanza" na "mitano tena" tuliyoshuhudia mwaka jana.

Vinginevyo watayafikisha makanisa mahali ambapo kanisa lile lile moja linapokea matoleo ya kuomba mbowe atiwe hatiani na kuyabariki leo; halafu kesho yake, kanisa hilo hilo linapokea matoleo ya kuomba mbowe asitiwe hatiani na kuyabariki.

Dini zitadhalilika sana kwa njia hii.

Nijuavyo mimi, ukweli ni kwamba: Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!

Lakini, tunafundishwa kuwa Mungu wa kweli habadiliki wala kubadilisha mawazo yake.

Kwa hiyo, mmojawapo kati ya miungu hawa wawili atakuwa ni Mungu feki, yaani Mungu wa kuchonga (constructed God), wakati mwingine ni Mungu wa kweli (essential God).

Kanuni nne za kuongoza mjadala:

Kusudi, viongozi wa Chadema waweze kuelewa msingi wa swali langu hapo juu na kulitendea haki, hapa chini nafafanua kanuni NNE zinazopaswa kuongoza mjadala huu. Kanuni hizo ni:
  • kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti (principle of identity),
  • kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika (principle of difference), na
  • kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu.
  • kanuni ya sifa za lazima katika utambulisho wa kitu (principle of necessity)
  • Kanuni ya sifa zenye kutosheleza utambulisho wa kitu (principle of sufficiency).
Kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti

Mosi, ni kanuni ya kutambua kitu kimoja chenye majina tofauti, yaani the principle of the Identity of indescernibles.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea kitu kimoja kile kile, hiyo maana yake ni kwamba, kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu kile kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Kwa pamoja, sentensi kwamba:

(1) kila sifa iliyofungamana na kitu X pia imefungamana na kitu Y;

na sentensi kwamba:

(2) kila sifa iliyofungamana na kitu Y pia imefungamana na kitu X.

ni za kweli.

Kwa mfano,
  • Julius ni jina linalorejea mtu yule yule anayeitwa Nyerere. Yaani, Julius na Nyerere ni majina ya kitu kimoja.
  • Na, DOG ni jina linalorejea kitu kile kile kinachoitwa MBWA. Yaani, DOG na MBWA ni majina ya kitu kimoja.
Kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika

Pili, ni kanuni ya kutofautisha vitu vinavyohesabika, yaani the principle of dissimilarity of the diverse.

Kwa mujibu wa kanuni hii, kunapokuwa na majina mawili yanayorejea vitu tofauti kwa mujibu wa utaratibu wa kuhesabu, basi, hiyo maana yake ni kwamba, sio kila sifa iliyofungamana na kitu chenye jina la kwanza pia imefungamana na kitu chenye jina la pili, na kinyume chake ni kweli.

Yaani, kwa kila jozi ya vitu, kimoja kikiwa na jina X na na kingine kikiwa jina Y, jina X litakuwa linamaanisha kitu tofauti na kile kitu kinachorejewa na jina Y, endapo na endapo tu:

Ama:

(1) katika seti ya sifa za kitu X angalau kuna sifa moja P, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu Y,

Au:

(2) katika seti ya sifa za kitu Y angalau kuna sifa moja Q, ambayo haipatikani kwenye seti ya sifa za kitu X.

Kwa mfano:
  • Mipira miwili ya tufe, iliyowekwa mezani, na ambayo inafanana kwa kila kitu, bado tunaitambua kuwa ni mipira miwili tofauti kwa kuwa, kila mpira unayo anwani yake ya kijiografia. Hata watoto mapacha sisisi tunawatofautisha kwa njia hiyo.
  • Vivyo hivyo, Miungu inayependa kuabudiwa Ijumaa (Miungu ya Waislamu) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Kadhalika, Miungu inayependa kuabudiwa Jumamosi (Miungu ya Wasabato) na Miungu inayependa kuabudiwa Jumapili (Miungu ya Wakristo bado) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Aidha, Miungu inayoruhusu waamini kutumia kondomu (Miungu ya Waanglikana) na Miungu inayokataza kondomu (Miungu ya Wakatoliki) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Vile vile, Miungu inayokataza makuhani kuoa (Miungu ya Wakatoliki) na Miungu inayoruhusu makuhani kuoa (Miungu ya Waanglikana na Walutheri) ni Miungu tofauti, kwa sababu hiyo pekee.
  • Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe atiwe hatiani na Mungu anayewaunga mkono watu wanaotaka Mbowe asitiwe hatiani ni Miungu wawili tofauti!
  • Na mifano inaendelea kama inavyothibitishwa na utitiri wa usajili wa taasisis za kidini katika ofisi ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu

Na tatu, ni kanuni ya kutengeneza fasili zinazotaja sifa za lazima na zenye kutosheleza utambulisho wa kitu. Yaani necessary and sufficient definitions.

Ukitaka kukitambulisha kitu kama vile kitu chenye umbo mraba, kwa namna ambayo inatofautisha umbo mraba na vitu baki, lazima kutaja vigezo vinavyomwezesha msikilizaji kufanya mambo mawili.

Mosi, ni kutambua mraba ni kitu gani. Na pili ni kutambua mraba sio kitu gani.

Kazi hizi mbili zinafanyika kwa njia ya kutaja vigezo ambavyo ni vya lazima na vyenye kutosheleza utambulisho wa kitu kinachoongelewa.

Kuhusu vigezo vya lazima, tuchukue mfano wa fasili ya kitu chenye umbe la mraba. Ni lazima kila mraba uwe na pande nne.

Lakini, sifa hii haitoshi kuutofautisha mraba na maumbo baki kama vile mstatili ambayo pia yanazo pande nne.

Na kwa upande mwingine, kuna vigezo ambavyo vinatosheleza kukitambulisha kitu, lakini sio vya lazima kwa ajili ya utambulisho huo.

Mfano, katika mazingira ya shule mwanafunzi anayepata alama ya A anapasi kozi.

Lakini, alama ya A sio alama ya lazima ili kumfanya wanafunzi huyo apasi kozi. Anaweza kupasi kwa kupata alama ya B, C au hata alama D.

Hivyo, kupata alama ya A ni kigezo cha lazima katika kupasi kozi, lakini sio kigezo kinachotosheleza matakawa ya kumpa mwanafunzi sifa ya kuhesabiwa amepasi mtihani, kwani hata wale wanaopata B, C na D hupasi pia.

Kwa sababu hii, kwa ajili ya kueleza mraba ni kitu gani na sio kitu gani kwa mpigo, tunahitaji mambo mawili:

(1) kutaja kigezo kimoja kimoja ambacho ni lazima kihusike katika kutambulisha mraba.

Na (2) kutaja seti ya vigezo vyote ambavyo kwa pamoja vitatosheleza kutofautisha mraba na maumbo baki yenye pande nne.

Kwa hakika, kila mraba lazima uwe na sifa zifuatazo kwa mpigo: pande nne, pande zilizo nyooka, pande zinazolingana, pande zilizoungana katika ncha zake, pale zilizo katika ubapa mmoja, na lazima uwe na kona nne zenye nyuzo 90 kila moja.

Kanuni hizi tatu zilizotajwa hapo juu, zinapaswa kutumika katika kutambua na kutambulisha kitu chochote kama vile mbuzi, kondoo, mti, mtu, miungu, na kadhalika.

Hivyo basi:

Ukweli ndio huo, na hayo ndiyo madhara yasiyotarajiwa yaliyoletwa na Matengenezo ya Kiprotestanti (Reformation) yaliyoaasisiwa na Matrin Luther wa Ujerumani.

Kwa uelewa zaidi soma kitabu: The Unintended Reformation: How a Religious Revolution Secularized Society by Brad S. Gregory (Attached).
Mambo ya ibada ni mambo ya imani.Hakuna anayejua Mungu yupoje.Ibada ni ibada tu.

Kwa mujibu wa andiko lako ni kuwa yale maombi yanayofanywa na viongozi wa dini kuombea amani au mvua ni batili kitu ambacho ni UWONGO.
 
Mambo ya ibada ni mambo ya imani.Hakuna anayejua Mungu yupoje.Ibada ni ibada tu. Kwa mujibu wa andiko lako ni kuwa yale maombi yanayofanywa na viongozi wa dini kuombea amani au mvua ni batili kitu ambacho ni UWONGO.
Unajaribu kujenga hoja gani hapa?
Naomba ufafanuzi ili twende pamoja.
 
Back
Top Bottom