Swali kwa Viongozi CHADEMA: Kumwombea Mbowe ni sehemu ya ibada kwa Mungu yupi?

Mungu aliyeniumba mimi ananiruhusu kula kitimoto.

Hahahaha, soma mabandiko yako kwa umakini... Kisha jipige kifuani mara saba na ya nane sema MIMI NI MJINGA KIWANGO CHA LAMI... NAJIUMBUA.

Juu kabisa umesema..
1."Mungu aliyeniumba.."

Baadae ukasema...
2."Niliumbwa na wazazi wangu..."

SWALI, mpaka hapo ni NANI KAKUUMBA? Mungu au Wazazi?

Leo uta-reveal your identity my dear friend mama amon.
 
Kimtiacho mtu unajisi ni kitu kutoka ndani na sio kitu kutoka nje ya mwili! Umesahau enjili?
Well..

Kwahiyo unamaanisha Mungu aliyetoa maagizo kupitia INJILI ndiye Mungu wako..?

Lakini HAJAKUUMBA YEYE Bali WAMEKUUMBA WAZAZI WAKO?

Au sijakuelewa? Who is your Creator... The Almighty God or Your Parents?

Tukipata jibu hapa basi jibu la mada yako limepatikana, VERY SIMPLE... (Zingatia majibu yaendane na mada yako mwenyewe)
 
Bado naona unadondosha maneno kama roboti.

Kuumba ni kitendo.

Kitendo ni sababu inayoleta matokeo.

Sababu na matokeo vinaweza kuungana uso kwa uso, mfano, "Wazazi wameniumba"

Katika sayansi ya sababu na matokeo (etiology) tunasema hivi:

A token event c caused a token event e iff there are event types C, E such that: (a) c is of type C; (b) e is of type E; (c) event type C causes event type E.

Pia, Sababu na matokeo vinaweza kuunganakupitia mnyororo wa matukio yaliyo katikati yake. Mfano, "Mungu ameniumba kupitia kwa matendo ya wazazi"

Katika sayansi ya sababu na matokeo (etiology) tunasema hivi:

A token event c caused a token event e if and only if c and e are connected by a series of intersecting causal processes whose intersections constitute causal interactions.

Easy!

Unakwama wapi?

Acha kukariri!
 
Rejea bandiko na. 326 hapo juu kwa jawabu
 
Hahahahaha, HUWEZI KUKWEPA... Nilikuambia, ukija kimwili nakulipua kimwili, ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli...

Simply, KULINGANA NA MUNGU WAKO WA "enjili" (Kama ulivyoandika pale juu)... ALIYEKUUMBA NI YEYE (MUNGU wa enjili) AU WAZAZI WAKO?

Nakuruhusu pia ujibu kwa mafundisho ya dini yako...
 
KUna tofauti gani kati ya dini na Yesu?
Kimsingi hoja zako na swali lako kwangu vyote ni vya msingi.Tofauti ipo tena kubwa sana.Dini ni mifumo ya kuabudu au Ibada ambayo imebuniwa au kutungwa na wanadamu kwa maslahi yao binafsi ambapo yaweza kuwa ili kujipatia umaarufu rahisi au mapato ya aibu au kupenyeza Ideologies kadha wa kadha kwenye fikra za watu ambapo hata wanachokiabudu wakati mwingine hakijulikani au kinakuwa na chenyewe kimeshabuniwa ili kukidhi hitaji hilo la kuabudu(kimsingi hapawezi kuwa na Ibada bila kuwepo kinachoabudiwa).Hizo ulizoorodhesha hapo juu ambazo kimsingi zinakinzana kama ulivyoainisha ni miongoni mwa mifano michache kati ya dini(mifumo ya Ibada zilizotungwa na watu) lukuki zilizopo hapa duniani.Humo ukikuta kuna Biblia,Yesu au Mungu kimsingi huwekwa na kutumika kama geresha tu ili kuwahadaa na kuvutia 'wateja' lakini agenda za waasisi wa hizo Dini hazina mahusiano yoyote na Mungu/Yesu Kristo wakati Ukristo ni mfumo wa maisha ya kumfuata Kristo Yesu kupitia mafundisho na amri zake ambaye kimsingi yeye ni Mungu kamili aliyedhihirika kwetu kwa mwili wa kibinadamu ili kutimiza azma yake ya kutuokoa kutokana na kongwa la utumwa wa dhambi lakini zaidi sana kutufundisha kwa vitendo namna itupasayo kuyaishi mapenzi ya Mungu tukiwa hapa duniani.Nilipoamua kumpokea Yesu personally ndipo miongoni mwa mambo mengi aliyonifundisha mojawapo ni tofauti kati ya Dini na Ukristo.Hii ni baada ya kumuomba aniondolee utata kuhusu hii kitu inaitwa "Madhehebu ya Kikristo" maana kiukweli nilikuwa nakanganyikiwa haswa.Unakuta dhehebu hili wanakula kitimoto wale hawali.Hawa wanabatizana kwa maji machache wale maji mengi.Hawa kusali jumamosi wale jumapili.Ni full vurugu.Ingawa bado natafakari dhumuni lako kuu la Uzi wako.
 

Katika sayansi ya sababu na matokeo (etiology) tunasema hivi:

A token event c caused a token event e iff there are event types C, E such that: (a) c is of type C; (b) e is of type E; (c) event type C causes event type E. (regularity based definition of a cause)

Baba akitiana na mama nikazaliwa, fasili hii ya kietiolojia inahusika.

Pia, katika sayansi ya sababu na matokeo (etiology) tunasema hivi:

A token event c caused a token event e if and only if c and e are connected by a series of intersecting causal processes whose intersections constitute causal interactions. (process based definiion of a cause)

Baba akitiana na mama nikazaliwa, halafu tukata kueleza nafasi ya Mungu katika tukio la kuzaliwa kwangu, fasili hii ya kietiolojia inahusika.

Hapa nakupa nondo za metaphysics of causality.
Kaa mkao wa kuchukua notes.
 
Mungu ni Mungu wa roho za wenye mwili wote (Hesabu 27:16). Mbowe ana mwili pia ana roho, basi Mungu ni Mungu wake. Hivyo wanao mwombea wanamwambia huyo mwenye roho za wenye miili wote asikie
 
S
Hahahaha..

SAYANSI na vitu vinavyofanana na hivyo VINAAMINI "CHANZO CHA MWANADAMU NI SOKWE MTU"... Unakubaliana na Hoja hii ya wana sayansi?, Je na Mungu wako anaamini katika sayansi hii?

Vipi na wewe pia unaamini sayansi au Mungu kupitia NENO Lake Juu ya UUMBAJI NA ASILI YA MWANADAMU?

Kuwa makini dada wa kujitakia.
 
Kwani mwendazake alivyokuwa akisimama kanisani na kuhamasisha watu wamuombee ilikuwa sehemu gani ya ibada na kwa MUNGU yupi?
 
SAYANSI na vitu vinavyofanana na hivyo VINAAMINI "CHANZO CHA MWANADAMU NI SOKWE MTU"... Unakubaliana na Hoja hii ya wana sayansi?, Je na Mungu wako anaamini katika sayansi hii?
Sayansi gani unaongelea?
Na sayani hiyo inasema chanzo cha sokwe ni nini?
Naona huna habari ya Big Bang theory ambayo inawakutanisha wanasayansi, wanafalsafa, wanateolojia na wanamahesabu.
Soma kazi za William Lain Craig kuhusiana na the Kalam Cosmological Argument utaelimkika
 
Kuwa makini dada wa kujitakia.
Bado unajikwaa kwenye kisiki cha kushambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja.

Ukiendelea nitasitisha ushirikiano katika mjadala huu.

Nimepiga picha x-ray kichwa chako na kuona kivuli kifuatacho. Chukua nakala yako....

 
Naiongelea sayansi ambayo INAELEZEA CHANZO CHA BINAADAMU.. (HUFAHAMU?)

SASA naomba uniambie, UPO UPANDE UPI WA CHANZO CHA UWEPO WAKO?? MUNGU au SAYANSI?

Maana naona "MIDABWADA🤣"

Roho ananiambia kitu kizitooo sana... Nikipata kibali NAKULIPUA.

Unaijua MIDABWADA?
 
Bado unajikwaa kwenye kisiki cha kushambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja. Ukiendelea nitasitisha ushirikiano katika mjadala huu.
Ukija kimwili nakulipua kimwili, ukija kiroho nakumaliza kiroho na ukija kifedhuli Mungu amenipa kibali cha kukupasua kifedhuli..

Nacheza na vyote.
 
SASA naomba uniambie, UPO UPANDE UPI WA CHANZO CHA UWEPO WAKO?? MUNGU au SAYANSI?
Hujasoma maelezo yangu kuhusu Big Bang Theory?
Nadharia hii ninayoikubali ni mseto wa theology, science, philosophy and mathematics. Soma kitabu hiki kwa kuanzia...
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…