ok.. pamoja na mapungufu yake yote. ni nini unachofikiri unakipenda kutoka kwake sasa hivi ambacho siku ukiachana nae bado utakikumbuka?
sio wote urefu wa ni sawa na wa ndani wengine unakuta anakabamia karefu kdg lakini kembambaaa
Ntakumbuka care aisee ananijali kwa mambo mengi ila tunashindana wivu na ujuaji yan yeye uwa akosei lol kanichosha uwiii
Hapana mi Tomaso wa kwenye Biblia lazima niguse ndiyo niamini!
Hebu nikumbushe honey,niliangalia hii mambo kweli?
Hhahahahahahahahaha...... Kwani vipi?
Tall???!!! 🙂
urefu wa nje unarandana na urefu wa ndani. Wanapenda kukunwa ndani kabisa ambapo vibamia havifiki.
mods njooni mfunge hii topic khaaa mnatunanga wa fupi jaman hadi kuwatongoza tutaogopa ngoja warefu wawachezee mkichuja msikimbilie kwetu shenz typee invincible njoo funga huku tunanyanyaswa kimawazo
Mwanaume mrefu raha afu awe na kifua cha kispot,ooh OMG,my love 2takula mapenzi hata ka' huna pesa....
Ndio maana awali nilsema,huu ni unyanyapaaji wa kimo,watu wa haki za binadam angalieni aina hii mpya ya unyanyasaji.hatari sana wafupi kuachiwa maskrepa wang'ang'ane nayo sio haki.