luqmand
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 219
- 38
ok.. pamoja na mapungufu yake yote. ni nini unachofikiri unakipenda kutoka kwake sasa hivi ambacho siku ukiachana nae bado utakikumbuka?
Ntakumbuka care aisee ananijali kwa mambo mengi ila tunashindana wivu na ujuaji yan yeye uwa akosei lol kanichosha uwiii