Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Nilikuwa nao 3 nikiwa naishi peke yangu. Muda ulipowadia nikafanya the best selection kati yao. Sikutaka kutoka nje ya option nilizokuwa nazo. Hakika sijuti nilifanya chaguo sahihi.
Ni nzuri jaribu uone inakupa nafasi ya kufanya uchambuzi makini huku ukiwa unajua mapungufu ya kila mmoja na unapima appetite ya kila kasoro na kuona ipi unaweza ivumilia.
 

Tupate matangazo kidogo kwa hisani ya dronedrake

Tunakula ujana mabachela bachela
Waache waoane

Okay lets go
Mi ni chizi wa mapenzi
Na nina upendo
Ila kuhusu ndoa ndo sina mpango
Na ukipata niliyemuacha hauzibi pengo
Ndoa lini hizo kelele za chura kwa tembo
Guys listen to me napenda kuwa free
Wengi wapo kwenye ndoa na hawatulii
Nikisema ndoa ndoa hata mnitangaze BBC
Palipo furaha nipo kama moyo wangu una WiFi
Bachela vibe ni confidence maisha ni kuchagua tumechagua hapiness
Happiest no ndoa no stress vichwa vina mambo mengi tuna-refresh
Mi na shemeji yenu daily tuna-party
Mambo ya ndoa wote hatuyataki
Purukushani unarudi saa ngapi unachati na nani ndo vitu hatutaki

Bachelaz michango tutachanga changa
Kwenye harusi tutakuja kuja
Chakula tutakula kula
Na pombe tutalewa lewa
Wenyewe si bado tupo si bado tupo
Hivi wakina nani nyie

Sisi ndo mabachela bachela
Hatutaki ndoa mabachela bachela
Tunakula ujana mabachela bachela
Waache waoane

Sing again bachelors

Sisi ndo mabachela bachela
Hatutaki ndoa mabachela bachela
Tunakula ujana mabachela bachela

Waache waoane
 
Salute!! Mkuu na Mimi Kuna vitu nimechukua hapo
 
Kijijini sitimbu. Hutojuta
 
Wew unatujua wanawake tunapenda mshike mshike kweli
 
Umekuwa mwamba sikuhiz 😃
 
Tangazo lako limeeleweka tegemea lolote huko PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…