Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
Aisee, shukran sana kwa kuanzisha huu uzi.Sisi vijana tuna mengi ya kujifunza, kwasababu haya mambo ya ndoa na kizazi chetu cha tiktok sijui kama vijana wengi tutatoboa kwenye hilo swala .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa nao 3 nikiwa naishi peke yangu. Muda ulipowadia nikafanya the best selection kati yao. Sikutaka kutoka nje ya option nilizokuwa nazo. Hakika sijuti nilifanya chaguo sahihi.Hbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.
Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!
NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Hbr wana JF,

Salute!! Mkuu na Mimi Kuna vitu nimechukua hapoYou look uko open sana and nothing you hide from women, wanawake wote hawapendi hivyo, hata kama unampenda sanaaa, usimwonyeshe unampenda, wala usitamke tamke unampenda, don’t be easily accessible akikuhitaji, wewe umejiweka open sana, wanawake hawataki hivyo, wanawake wanataka little drama, hata akikutumia sms kaa masaa 2 ndio umjibu, akikupigia usipokee hadi dak 30 mrudie mwambie ulikuwa busy, akiomba fedha usiseme no, mwambie sawa, subiri kidogo tutaongea, unampa drama yaani hakuelewi vema, hapo atapata wivu na kuona akizubaa atakukosa, ataanza kukufukuzia, ndio mapenzi yao yalivyo ya kiswahili swahili..!!
You were too soft, ndio maana wamekukimbia, unanyenyekea sana wanawake, lazima wakukimbie, hata bedroom ukiwa soft sana, wanakuacha, mwandae vya kutosha, be very clean, be rudy a bit sometimes and rough kitandani, hard and softness later, eat her deeper and squeeze her firmly, be like lion, acha kuwa rojorojo, alafu mwache, don’t over text her kila saa sms kibao, sijui simu kibao, acha hizo tabia, atakuchoka, mwanaume hutakiwa hivyo, give her space, atakukumbuka, sio kila saa mwanaume unaanza bby sijui nn, Love nimekumiss, mara ooohh bby nimekuota, sijui nn, acha hizo, baki na hisia zako utaona atakufuata..!!
Shindikanaaaa wewe 😁Usituharibie kijana tafadhali.
Hatari sana 37 bila mke akazane na Mungu amsaidie kwa kweliMleta mada anafikisha miaka 37 mwaka huu
Kijijini sitimbu. HutojutaHbr wana JF,
Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.
Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.
Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.
Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!
NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Wew unatujua wanawake tunapenda mshike mshike kweliYou look uko open sana and nothing you hide from women, wanawake wote hawapendi hivyo, hata kama unampenda sanaaa, usimwonyeshe unampenda, wala usitamke tamke unampenda, don’t be easily accessible akikuhitaji, wewe umejiweka open sana, wanawake hawataki hivyo, wanawake wanataka little drama, hata akikutumia sms kaa masaa 2 ndio umjibu, akikupigia usipokee hadi dak 30 mrudie mwambie ulikuwa busy, akiomba fedha usiseme no, mwambie sawa, subiri kidogo tutaongea, unampa drama yaani hakuelewi vema, hapo atapata wivu na kuona akizubaa atakukosa, ataanza kukufukuzia, ndio mapenzi yao yalivyo ya kiswahili swahili..!!
You were too soft, ndio maana wamekukimbia, unanyenyekea sana wanawake, lazima wakukimbie, hata bedroom ukiwa soft sana, wanakuacha, mwandae vya kutosha, be very clean, be rudy a bit sometimes and rough kitandani, hard and softness later, eat her deeper and squeeze her firmly, be like lion, acha kuwa rojorojo, alafu mwache, don’t over text her kila saa sms kibao, sijui simu kibao, acha hizo tabia, atakuchoka, mwanaume hutakiwa hivyo, give her space, atakukumbuka, sio kila saa mwanaume unaanza bby sijui nn, Love nimekumiss, mara ooohh bby nimekuota, sijui nn, acha hizo, baki na hisia zako utaona atakufuata..!!
Kwani wewe umeolewa beautiful dada?Wew unatujua wanawake tunapenda mshike mshike kweli
Aliyemnunulia gauni binamu yako amekufa?Au njoo nikupe binamu yangu hadi gauni la harusi analo tayari.
Bado naona Bado km sijakua vizuri kuanza kurushiwa remote za kisogo😀Kwani wewe umeolewa beautiful dada?
Umekuwa mwamba sikuhiz 😃capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!
'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??
Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Kajinunulia mwenyeweAliyemnunulia gauni binamu yako amekufa?
Wa kuchaguliwa nami napenda.I concur. Ama let my mum pick a wife for me. Am sure she cant go wrong
Usiogope banaa,kwani age ngp sasa?Bado naona Bado km sijakua vizuri kuanza kurushiwa remote za kisogo😀
Tangazo lako limeeleweka tegemea lolote huko PMUmemshauri mwenzio vibaya.mabinti umri ulizotaja wako on peak..wanatongozwa sana na pia inaahitajika Ile kujitambua na msimamo wa Hali ya juu kushinda vishawishi kinyume na hapo ni vilio.wengi walio kuanzia 28+ ndio angalau washapitia shurba nyingi,Wana uelewa wa Maisha na mahusiano Kwa ujumla tofauti na hao wachanga kiumri.
Japo maturity haiangalii umri lakini itoshe kusema wenye umri mchanga ni hatari Kwa ndoa.labda mahusiano tu.
Mwisho wa siku ye mwenyewe ndo ataamua nani wa kumpenda.mkubwa ama mdogo.ni maoni yangu tu