Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Mkuu jiangalie jinsi ulivyo kwanza,sometime Duniani hatupati kila tunacho kihitaji.mfano mwanaume ni una hela na kazi nzuri ila mfupi halafu unataka mwanamke unayemtamnai mrefu kidogo awe na kipato na kazi nzuri kila moja akimuona aseme kweli una mke ila kiuhalisia ukimpata huyo Mwanamke atakutesa mwisho wa siku ataanza ku compare na warefu mwishowe anakudhalau.

Ninacho manisha sio kila mwanamke wa kuoa lazima utokee kumpenda coincidence qengine hukutanishwa na ndugu au wazizi kisha huoana na maisha kuendelea.mfano kule Mkoa wa Mara kijana yyte kama yupo mjini akitaka kuoa anawambia ndugu zake wanamtafutia-kuoendana watapendana wakiwa ndani.
 
Huyo hawezi kufanikiwa tena! Bahati yake ilikuwa ni wewe, hapo alipo atakuwa anajuta! Haiwezekani mwanamke mmepata shida naye alafu upate kazi umuache maanake unatafuta laana na kufa mapema
Kazi hajapata Bado nakumbuka Kuna kipind niliwah had kumuomba boss wangu amsaidie apate kazi baba wa watu alikuwa na huruma akaanza kuhangaika ila wanaume 😂😂😂
 
HAYA SASA .......natangaza nia ya kuhitaji mke mwaka huu 2025 naingia gholofa la 3 chumba na 1 .....nahitaji mwanamke wa kunivumilia katika hali zote ila awe under age asiwe juu maana nina LIBIDO ya kupeleka moto kwa miaka 20 ijayo..................



aliye tayari aje in box
 
Wew una bahati unajua thamni ya mwanamke Kuna mbuzi niliibeba sana na uvumilivu wa kutosha hakuwa na Kaz 2 yrs ela ya kunihobga haiwez fikahat 50K kalivoanza kushika vihela kakamrudia x wake muda huo mm nipo mkoa mwingine na masimango juu hawez kuwa na mm Tena Niko mbali
Ila nimemsamehe maana tabu alizonazo sahiz zinamtosha
Sasa na wewe upo mbali unataka mwenzio apige nyeto wakati x wake yupo ajipozee.
Alooo miaka miwili unalea limbuzi hatari
 
Yan sijui shida ni nn Kuna mahala tunafeli
Wanasema ndio nature yenu.Kuna binti kitaa kila nikimuangalia na muonea huruma ni majirani ila tupo kama ndugu, kipindi cha nyuma kuna dogo anafanya kazi sokoni ndiye aliyekuwa akidate nae ,hayupo vibaya ila maisha anayamudu,ila ndio hivyo binti alikuwa hamuelewi jamaa.

Yule binti kaja kupata mimba watu wakajua ni yule jamaa wa sokoni, kumbe ni muimba singeli kwenye vigoro, siku anayokuja kumtambulisha kaja na vidredi yaani daah sometimes sijui mnawazaga nini?

kundi jingine ni hawa Bodaboda ndio usiseme naweza sema boda wa kitaa ambao ni wanangu ninao wajua, wameishia kuzalisha tu na hawana time ya ndoa, yaani wao sasa hivi wanacheza vibinti vya shule za kata na dada zangu bodaboda mnawapenda............na wao kwa kuwa wana vizazi hawapaishi wakipewa tu mimba.
 
Wanasema ndio nature yenu.Kuna binti kitaa kila nikimuangalia na muonea huruma ni majirani ila tupo kama ndugu, kipindi cha nyuma kuna dogo anafanya kazi sokoni ndiye aliyekuwa akidate nae ,hayupo vibaya ila maisha anayamudu,ila ndio hivyo binti alikuwa hamuelewi jamaa.

Yule binti kaja kupata mimba watu wakajua ni yule jamaa wa sokoni, kumbe ni muimba singeli kwenye vigoro, siku anayokuja kumtambulisha kaja na vidredi yaani daah sometimes sijui mnawazaga nini?

kundi jingine ni hawa Bodaboda ndio usiseme naweza sema boda wa kitaa ambao ni wanangu ninao wajua, wameishia kuzalisha tu na hawana time ya ndoa, yaani wao sasa hivi wanacheza vibinti vya shule za kata na dada zangu bodaboda mnawapenda............na wao kwa kuwa wana vizazi hawapaishi wakipewa tu mimba.
Bora nikae single kuliko kudate na kijana ana vidred 😃😃😃
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!


NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Nitafute tuyajenge ndugu...nikishauri kiutuuzima na nikulengeshe mahali....
 
Back
Top Bottom