Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Dada zetu hao wanapenda bad boys,ila baadae sana baada ya kuumizwa na kutendwa na kuzalishwa wanaanza kutafuta good/nice boys,yaani hutafuta kitu ambacho mwanzoni walikuwa nacho na kukidharau.

Mwanangu wewe kaza concentrate na mambo yako mke atakuja mwenyewe na husibadilike kitabia,eti uwe bad boys kuwa hivyo hivyo ndivyo Mungu alivyo kuumba,unaweza ukasema uchange kidogo eti uwe bad boys ukaja kupotea mazima.

Honestly wanawake ni wa kuonewa huruma hawajawahi kujua wanacho kitaka, kuna mabinti wawili yaani ni majirani ambao tumekuwa kama ndugu,wamekuja kuzalishwa na watu wa hovyo, wakati kulikuwa na wana walikuwa wapo tayari kwa kila kitu, mmoja kazalishwa na muimba singeli,mwengine bodaboda, maana walikuwa wanataka bad boys na kweli wamepewa mabad boys kiwango cha lami.

Bro usiumie kichwa concentrate na mambo yako mke wako atakuja mwenyewe.Huyo mwache na mara nyingi huwaga na tabia ya kurudi na kujuta, nimesha shuhudia sana marafiki zangu,achana nae fanya mambo yako.
Ushauri mzuri
 
Kwahiyo wewe 31 ndio unaona umri umeenda uoe!? Aiseeh
Alafu wewe wanawake hawapendi mambo ya kuwafanyia kila wanachotaka au wanachosema, wanakuona sio mascular enough
Ila nimegundua kuna namna hauupigi mwingi
Kuna ushauri wa member Joanah, hebu uzingatie
Bab haijajulikna kwamba wanawake wanataka nn
 
Umemshauri mwenzio vibaya.mabinti umri ulizotaja wako on peak..wanatongozwa sana na pia inaahitajika Ile kujitambua na msimamo wa Hali ya juu kushinda vishawishi kinyume na hapo ni vilio.wengi walio kuanzia 28+ ndio angalau washapitia shurba nyingi,Wana uelewa wa Maisha na mahusiano Kwa ujumla tofauti na hao wachanga kiumri.

Japo maturity haiangalii umri lakini itoshe kusema wenye umri mchanga ni hatari Kwa ndoa.labda mahusiano tu.

Mwisho wa siku ye mwenyewe ndo ataamua nani wa kumpenda.mkubwa ama mdogo.ni maoni yangu tu
un


Umetoa hozia mzuri snaa kwamba hawa wa 24_18 ni wahaya sna mara Mia 30++++ had 49
 
Hbr wana JF,

Mwaka jana nilipata binti mmoja ambae tulifahamiana kwa muda kidogo tukaanza mahusiano. Nilimpenda sana, nikajitahidi kumtimizia kila analohitaji. Nilijifunza kwenye mahusiano yangu ya awali, nikasema huyu nifanye tofauti sasa na mimi niwe na familia. Mwanzo mapenzi yalikua motomoto, tukaanza kupanga mipango ya ndoa kabisa huu mwaka tuwe mume na mke.

Baada ya miezi kadhaa, akaanza kubadilika. Nakumbuka alianza kununa tukiwa vacation Zanzibar. Akawa kama ana moods hivi, ukimuuliza kuna changamoto gani hasemi. Nikaona mambo ya kike labda nitulie. Basi kuanzia hapo akawa kama anani dharau na hanijali tena kama mwanzo. Nilikua naumia ila nikawa navumilia. Lakini kwa tabia zile alizoanzisha ikanilazimisha baadhi ya mambo tulipanga kufanya - kama kwenda kujitambulisha kwao tusitishe kwanza maana sikua namuelewa, anasahau mpaka tarehe muhimu kwenye mahusiano yetu kitu ambacho sio cha kawaida. Baada ya muda nikaenda nje ya nchi kikazi, katika nchi ambayo tulikua tunapishana masaa na hapo ndio mapicha picha yakazidi akawa hapokei simu kabisa akidai yuko busy etc. Kwa muda wote niliokua nje ya nchi kama miezi miwili hatukuwahi kuongea kwenye simu, kila nikijaribu kumtafuta anasema yuko busy atanicheki lakini hafanyi hivyo. Basi nikaanza kufanya maamuzi magumu, nikaacha kumpa monthly allowance na kumnunulia zawadi kama nilivyokua nafanya mwanzo. Nilivyorudi nchini, bado nikamtafuta kujua tatizo ni nini na nakumbuka pamoja na tofauti tulizokua nazo bado nilitoka ulaya na zawadi kadhaa nimemchukulia nikampa. Kikao hakikuenda sawa, binti akaniambia hana feelings na mimi na nikitaka kuwasiliana nae lazima nifanye appointment au nitafute mwanamke mwingine wa kua nae. Aisee, kikao kiliishia hapo. To cut the story short, mahusiano yaliisha pia.

Hii ni case moja tu kati ya nyingi ambazo nimeshakumbana nazo. Katika miaka 10 iliyopita nishakua kwenye mahusiano mengi sana na yamekwama kwa sababu tofauti tofauti, ingawa hii ya juzi iliniuma maana nilijitahidi kufanya kila kitu inavyotakiwa na mhusika mwenyewe pia nilijua anajitambua maana at 31 ni mtu mzima sio mtoto mdogo ni mwanamke aliepitia mengi. Mwaka umeanza nimekata tamaa kama naweza kweli na mimi siku moja kupata mke, nikaanzisha familia na kua na watoto. Kila kitu ninacho - kazi nzuri, kipato kizuri yani ni mke tu ndio imekua changamoto. Kuna wakati najilaumu labda ningekua nakunywa pombe & mtu wa starehe huenda ingekua rahisi kwangu maana haya maisha ya kua busy na kazi muda wote nayo ni changamoto sikutani na watu ila ndio nafanyaje sasa na pesa naitaka pia.

Naomba ushauri wadau, nifanyeje?!


NB:
Niliwahi kuandika uzi humu wa kutafuta : A wife is needed
Tusifichane sasa kama kila kipo mi nazani shida labda ipo kwenye show itakuwa unampa show mbovu
 
Back
Top Bottom