Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Dada zetu hao wanapenda bad boys,ila baadae sana baada ya kuumizwa na kutendwa na kuzalishwa wanaanza kutafuta good/nice boys,yaani hutafuta kitu ambacho mwanzoni walikuwa nacho na kukidharau.

Mwanangu wewe kaza concentrate na mambo yako mke atakuja mwenyewe na husibadilike kitabia,eti uwe bad boys kuwa hivyo hivyo ndivyo Mungu alivyo kuumba,unaweza ukasema uchange kidogo eti uwe bad boys ukaja kupotea mazima.

Honestly wanawake ni wa kuonewa huruma hawajawahi kujua wanacho kitaka, kuna mabinti wawili yaani ni majirani ambao tumekuwa kama ndugu,wamekuja kuzalishwa na watu wa hovyo, wakati kulikuwa na wana walikuwa wapo tayari kwa kila kitu, mmoja kazalishwa na muimba singeli,mwengine bodaboda, maana walikuwa wanataka bad boys na kweli wamepewa mabad boys kiwango cha lami.

Bro usiumie kichwa concentrate na mambo yako mke wako atakuja mwenyewe.Huyo mwache na mara nyingi huwaga na tabia ya kurudi na kujuta, nimesha shuhudia sana marafiki zangu,achana nae fanya mambo yako.
Tutake radhi mkuu, yaani sie bodaboda ni bad boys kweli?
Sienhatustahili kuwatia mimba watoto wakishua? Mbona mnaleta dharau jamani...kuendesha bodaboda sii kazi tunajiingizia kipata halali
 
Usikute unatoka na maslay Queen au wanawake waliosoma madegree na masters , wa la Saba au form four huwataki , utapataje mke !??.
Wasomi wake wapo ila wachache lkn wa la Saba wamejaa telee.
Achana na wanawake wenye masters sijuinwasomi hao sio wake. Full viburi na kujidai wanayaweza maisha bila mwanaume.
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Ei Carleen asee umemaliza. Huu ndio mwarobaini. Ukiwa mfia mapenzi hakika utateseka.
 
capernaum ushauri mdogo ninaweza kukupa ni kuwa 'stop being a veeeeery good boy', wanawake wengi hawapendi 'simps', yaani usiwe na mwanamke ukamuonesha wewe ndiyo 'desperate' wa hayo mahusiano kumzidi hata yeye, utateswa mpaka uchanganyikiwe..!!

'show her that you do loves her yes, but still you can live your life fully without her in your life, be a man buddy', mwanamke ndiye awe mnyenyekevu kwako, siyo wewe uwe mnyenyekevu kwa mwanamke 'it doesn't work that way', umewahi jiuliza kwanini 'bad boys' ndiyo wanatesa wadada..??

Sababu WANAJIAMINI, na wanajua wao ni 'WANAUME'..!!
Hapa nimejifunza kitu
 
Tutake radhi mkuu, yaani sie bodaboda ni bad boys kweli?
Sienhatustahili kuwatia mimba watoto wakishua? Mbona mnaleta dharau jamani...kuendesha bodaboda sii kazi tunajiingizia kipata halali
Kwani kuna sehemu nimesema sio kazi halali?Nimezungumzia tabia zao za uharibifu.

Majority ya wanangu kitaa nilio kuwa na kitaa ni bodaboda so ninacho kiongea na kijua na hata huku nilipo kwa sasa na kiona wengi wao ni kuzalisha tu hawana time ya kulea.
 
Sasa kuzalisha jama i sii ndio tunatekeleza maagizo ya mungu. Tukaijaze dunia.
Warembo wenyewe wanatupiga kabali tukitaka kumwagia nje wanatakaa tumwagia ndani kabisa
 
Sasa kuzalisha jama i sii ndio tunatekeleza maagizo ya mungu. Tukaijaze dunia.
Warembo wenyewe wanatupiga kabali tukitaka kumwagia nje wanatakaa tumwagia ndani kabisa
Unaleta utani hivi hauna ndugu yoyote aliye zalishwa na kuachwa ambaye anahangaika na mtoto ? Grow up sometimes so kila mda ni mda wa matani kwani kizazi kina haribika sababu ya kuendekeza nyege za kipuuzi. Kwani ndomu hamna,si wenyewe tunafanya sana ila na ndomu.
 
We nawe!

Umefanya mahusiano kuwa kitu rasmi sana!

Fanya mapenzi nao tu mke anapatikana Kwa style hiyo sio kwa uzungu mwingi kama huo!!?
Halafu hao madem unao date nao ni wabongo kweli!!?

Au wazungu!!?

Badili strategy mkuu!
 
Unaleta utani hivi hauna ndugu yoyote aliye zalishwa na kuachwa ambaye anahangaika na mtoto ? Grow up sometimes so kila mda ni mda wa matani kwani kizazi kina haribuka sababu ya kuendekeza nyege za kipuuzi. Kwani ndomu hamna,si wenyewe tunafanya sana ila na ndomu.
Mie siwezi tomber demu na condom huko ni sawa na kupiga nyeto.
Mie siwezi tomber demu na condom huko ni sawa nankupiga nyeto tuu
Kuzalishwa mwanamke ujue kataka mwenyewe wala hainaga kuoepesa macho hiyo. Mwanamke ambaye hataki mimba aloo utatomber mpaka uchoke na mim a hapati ng'ooo!!
Ndugu zangu wa kike waliozalishwa wapo na wanajua msimamo wangu...lolote liwakute.
 
We nawe!

Umefanya mahusiano kuwa kitu rasmi sana!

Fanya mapenzi nao tu mke anapatikana Kwa style hiyo sio kwa uzungu mwingi kama huo!!?
Halafu hai madem unao date nao ni wabongo kweli!!?

Au wazungu!!?

Badili strategy mkuu!
Hii imeendaaa! Wee wagegede wengi tuu utapata mke humo humo katika migegeduano au sio
 
Wanawake hawajui wanataka nini?
Wanashtuka imekuwa too late..
Mimi binafsi Kuna mmoja nilitaka nioea kabisa ila akanza Maringo baadaye kabisa ilitokea nikaja kufika nyumbani kwao ila kwa Tukio jingine ni maisha ya Chini ila vile alikuwa anajiweka nilidhani mtoto wa Kishua kumbe looh tabu tu..
Ningepata tabu bure ya kuongezewa mashemeji tegemezi.
 
Kuna mambo 3 jamaa azingatie

1. Mwanamke ambaye ulimuona kama future wife akikuacha ni jambo la kufurahia sana tena sana. Maana ikiwa ungemuoa ungekuwa umeoa mwanamke asiyefaa kuwa mkeo

2. Naona kijana anajitapa kwa kuhonga, na kuwagift wanawake. capernaum wewe ni mpumbavu genuine love hainunuliwi

3. Wanawake ambao ni wife material bado wapo cha kufanya ni kuindoa scarcity mindset. Be patient choose wisely. Ni bora kuchelewa kuoa usipopata anayekufaa na kutokawia kuoa ukimpata anayekufaa
 
Back
Top Bottom