Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Achana na mambo ya dini ?,mfano mimi mama yangu ni mwislamu tena ana asili ya kiarabu ila baba ni mmatumbi mkristo kindakindaki ila binafsi hata uwepo wa Mungu tu nahitaji kuujua kiundani kwa uthibitisho tuπŸ€”
 
Kuna wengine mtakuwa mmelogwa au ni watoto wa nje ya ndoa..........yaani niende dunia ya kwanza na tena nitamani kurudi kula matapishi huku bongoland aisee pole yako sana...........kwanza huku ukiwa ujaoa yaani unakutana na hawa mtetea road basi jiandae na yutiyai kali ........baba kwani huko ukutani na watu mpaka uje kuchakura chakura huku jalalani ...........shauri ziawe uli mpumbafu
 
Achana na mambo ya dini ?,mfano mimi mama yangu ni mwislamu tena ana asili ya kiarabu ila baba ni mmatumbi mkristo kindakindaki ila binafsi hata uwepo wa Mungu tu nahitaji kuujua kiundani kwa uthibitisho tuπŸ€”
Kuna baadhi ya familia Ina matter sikuwah kuelewa Yan maamuz ya ndoa ni ya wazazi kiukweli inaumiza
 
Huyo hawezi kufanikiwa tena! Bahati yake ilikuwa ni wewe, hapo alipo atakuwa anajuta! Haiwezekani mwanamke mmepata shida naye alafu upate kazi umuache maanake unatafuta laana na kufa mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…