Swali kwa waliooa tu: Mlipataje wanawake wa kuoa?

Kweli kabisa kuna manzi alikua amenielewa ila sababu ya kikaz na umbali, hatukuwahi kutana kiutu uzima.

Mwaka jana namuona anapost mtoto, nikauliza nikajibiwa ni wake, kumuuliza baba wa mtoto yukowap ... akanipa kisa kuwa baba wa mtoto alikimbia alipojua anamimba... nikapotezea.

Nikakumbushia ahadi yetu vp ya kula tunda ananiambia niende kwao nikajitambulishe nimuoe kama namtaka.

Weeee sijai mgusia tena kula tunda lake tangia siku hiyo

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Approach zako sio za kiume mkuu, mwanamke hapasw kbs kupewa attention in such ww, unavyoonekana unadhani kwamba unaweza mshawish mwanamke kupitia zawadi au monthly allowance hapana, kifupi mwanamke hataki mwanamme anayempenda sana, tuliza ball jipange chagua kujipenda ww kwanza,
 
Mwanamke hataki mwanaume anayempenda, nani kakwambia?
Haya mambo hayanaga formular, ni mtu tu akuelewe!
 
Pole mkuu, mwenyewe niko kama wewe.Natamani niwe na familia yangu.Niwe na mume wangu mpendwa na watoto ila ndiyo hivyo mimi sitokagi ndani sijui huyo mume atakuja kunigongea mlango..

Ushauri.Ukitaka mke, don't be so desperate. They will take advantage of you.

Ukikosa kabisa,njoo tujaribishe .
 
Be careful what you wish for, some are snakes acting as ropes.
 
Aya nenda kwa jamaa
Mimi nitaftie mdogo wako
Hakikisha ana utu na utulivu, atakaula mema ya nch.
 
njia sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…