Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Mwanaume anayejitambua kama yeye ni mwanaume kichwa cha familia, mwenye upendo na anaye mcha Mungu, ila [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hata awe na kamvuto sio unashindwa hata kumtizima usoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo ni mapendeleo yangu binafsi sio Ummat Muhammad Mkuu!

Na haina maana kwamba mwanaume niliyenaye angekuwa mweupe nisingekuwa naye, ni bahati amematch vigezo vyangu vyote MaashAllah!
Ila watoto mnataka wawe weupe.

Utasikia mwanamke anasema "kajifungua litoto jeusiiii"

Mwanamke huyo huyo atasema "amejifungua katoto keupeee kazuri"

Sasa hapo unashindwa kuelewa unataka mwanaume mweusi huku wewe ukiwa mweusi halafu ije miujiza mtoto mweupe kweli?
 
Mkuu wanawake mioyoni mwao wanawatamani sana wanaume weupe shida wanajua mwanaume mweupe hawezi kuwa wa peke yake lazima watakuwa wengi.

Sasa ili kujipoza utasikia mwanamke anakwambia anataka mwanaume mweusi ili tu awe wa peke yake maana weusi hawashobokewi na mademu wanaopenda wanaume weupe kwa ajili ya mtoko.

Huyo huyo anayetaka mwanaume mweusi anatamani apate mtoto mweupe, ni maajabu haya kwakweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…