Sasa mkuu mbona mie mweupe na nagombaniwa na mademu kitaa wakati wanaume weusi wanahangaika kutafuta mademu na hao hao mademu wanawachomolea.Hivi mwanaume unakuwaje mfupi mweupe [emoji19]
Mimi najua wanaume ni weusi
Kwahiyo mweusi hata asipokuwa na hela unamtaka hivyo hivyo?Kama hela unazo huwezi kupata shida
Hata mkiwekwa milioni nitamchagua yeye tu, kazi bure!Me nadhani huyu nifah tumuweke kwenye mnada humu jukwaani watu watoe madau yao atakaefika bei ndio atachukua mali, hatuwezi kumuachia huyo njemba wake ajipakulie minyama pekeake au mnasemaje wadau
Watu wanaleta ushahidiDu kwa hiyo yote hayo ni kweli na yapo kwenye reference,
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Sisi weusi wengi huwa tunaona nyie weupe ni mabitozi na mnapendwa sana na mademu ili muwazalishie watoto weupe. Binafsi nawachukia wanaume weupe. Na huu uzi tupo wengi.Hapa ukifuatilia kwa jicho la tatu kuna bifu wadada wamelitengeneza dhidi ya wanaume weupe wenye sura za mama kwasababu wanahisi wao ndiyo wanastahili kuwa na rangi nyeupe na sio wanaume.
Sasa unakuta mwanamke mweusi kama lami halafu anakutana na mwanaume mweupe unadhani atafurahi?
Matokeo yake ndiyo haya utasikia mdomoni anasema mwanaume mweusi ndiye chaguo lake lakini moyoni anamhitaji mwanaume mweupe ili wazae watoto weupe wenye kuvutia.
Kila mtu na chaguo lake ilaaaSasa mkuu mbona mie mweupe na nagombaniwa na mademu kitaa wakati wanaume weusi wanahangaika kutafuta mademu na hao hao mademu wanawachomolea.
Washkaji huwa wanasema mademu wananigombania mie kwasababu ya weupe wangu na wao wanatolewa nje kwasababu ya weusi.
Inafikia mahali naweza kuwa na mademu watatu na wote wanafahamiana lakini hakuna aliye tayari kuniacha wanabaki wanagombana wenyewe tu.
Binafsi napenda jinsi nilivyo sijawahi kutamani wala kuchukia kuwa mweusiAu unahisi kwakuwa wewe ni mweusi basi unawachukuia wanaume weupe ukihisi wamesababisha uwe mweusi kwa wao kumaliza rangi nyeupe?
Ni dhambi kuita kiumbe Cha mwenyezi Mungu shetaniUnaweza nishauri nijiupdate kivipi ili namie shetani nipate kuonekana?[emoji16]
Jamani ππHapa ukifuatilia kwa jicho la tatu kuna bifu wadada wamelitengeneza dhidi ya wanaume weupe wenye sura za mama kwasababu wanahisi wao ndiyo wanastahili kuwa na rangi nyeupe na sio wanaume.
Sasa unakuta mwanamke mweusi kama lami halafu anakutana na mwanaume mweupe unadhani atafurahi?
Matokeo yake ndiyo haya utasikia mdomoni anasema mwanaume mweusi ndiye chaguo lake lakini moyoni anamhitaji mwanaume mweupe ili wazae watoto weupe wenye kuvutia.
Haya maswali yanaulizwa na mabwabwaKatika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.
sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi
#nyumayapazia
Ila asiwe na kitambi ππππAmina,
πππtena?Ila asiwe na kitambi ππππ
Mwili wa mazoez pia kiasi
Kura hapa zitakua za watu weusi na warefu
Vipi hela?Yeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
[emoji23][emoji23][emoji23]tena?
[emoji23][emoji23][emoji23]tena?
Vipi hela?
Hii imeenda...ππHatakiwi kuwa mzembe mzembe unajua
Ila rangi yoyote tu