Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Sasa mkuu mbona mie mweupe na nagombaniwa na mademu kitaa wakati wanaume weusi wanahangaika kutafuta mademu na hao hao mademu wanawachomolea.Hivi mwanaume unakuwaje mfupi mweupe [emoji19]
Mimi najua wanaume ni weusi
Washkaji huwa wanasema mademu wananigombania mie kwasababu ya weupe wangu na wao wanatolewa nje kwasababu ya weusi.
Inafikia mahali naweza kuwa na mademu watatu na wote wanafahamiana lakini hakuna aliye tayari kuniacha wanabaki wanagombana wenyewe tu.