Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Ni km vile warefu wanavyotuponda sie wafupi
 
Massawe mbona povu tena?

Mkeo si anakupenda?

Haya ni mambo 'superficial' hakuna tafiti zozote nyuma yake.

Mvuto ni suala mtambuka sana.
 

Black men look more masculine but weupe mbona hamna shida hataa. Jiamini
 
Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.

sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi


#nyumayapazia
Wewe unajua kabisa kuwa kila mtu ana uchaguzi wake. Kuna wanaopenda ma-black tii, kuna wanaopenda weupe kama ma-albino, kuna wanaopenda maji ya kunde, etc. Ndiyo maana huwezi kukuta aliyekosa mwenza wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…