Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Hahahahaha, katika hizo sifa mlizotaja hilo halipo ujue ..hapa ni muonekano wa nje mnao upenda..hilo lingine si mpk ubahatike kukubaliwa ?
Tresor moyo hauna ubongo. Once someone loves you ni kakupenda tu so nothing else matters. Sometimes after breakup unajiuliza why was I even obsessed with him. That's pure love
 
Fact...Hizo ni tabia za inferiority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…