Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Katika mahusiano kila mtu huwa anahisia zake huyu anapenda hivi huyu anapenda vile sindiyo.

sasa hebu funguka hapa, wadada hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi


#nyumayapazia
Kwenye masimulizi huwa wanataka wanaume weusi wanaofanya mazoezi, kwenye picha wanataka mweupe, kuzaa wanatamani kuzaa na mwanaume mweupe na mtoto awe mweupe, kwenye maisha halisi huwa wanatafuta wanaume wenye vitambi na weusi.
Screenshot_20240107-115639_Google.jpg
Screenshot_20240107-115721_Google.jpg
 
Hahahaha, sasa uwe na gari , ila walivyo na mbinu atakushusha ili rafiki watoe points, hapo ndio unapopata zeroo
Wadada kwenye kutoa marks wanakuaga mafwala sana ila sisi hata kama mwenetu akiomba tuweke marks kwa chopper yake huwa tunampamba ila akishakula taratibu tunaanza kumkumbusha Hapo sio
 
Back
Top Bottom