Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Swali kwa wanawake, hivi kati ya mwanaume mweusi na mweupe yupi anakuvutia zaidi?

Ubaguzi unaanzaga hivi. Coz hata nikiwa vijiweni na washikaji hawaishi kuniponda, mara we jamaa mweupe sana. Watu weusi wana wana shida. Kwa nini?

Nimegundua
1. Watu weusi wakiona watu weupe wanawaponda sana. Watu weupe they don't care about black people
2. Watu wafupi wakiona watu warefu wanawaponda sana, too bad tall people don't care
3. Watu wembamba wakiona watu wakened utasikia unakula sana. Watu wanene hawajali kuhusu watu wembamba

Nifupishe: ukiwa mweupe, mnene, mrefu basi kwa kuwa wa tofauti katika society nyingi za kiafrila jua lazima utaandamwa kwa namna moja au nyingine. Mtazamo wangu

Back to the topic
Week iliuopita nilikuwa natuma mzigo posta. Demu mmoja akawa anazungumza kuwa " wanawake tunapenda wanaume weusi warefu"
Baadae katika mazumgumzo akaropoka " napenda kuwa na watoto weupe"

Ilibidi nibaki njia panda, anapenda wanaume weusi warefu cha ajabu anataka watoto weupe.


Wanawake hawajui wanachokotaka.


Wanajua ila ni wanafiki
 
Oya punguza Sasa shobo maana nlkuwa sjakuuliza Wewe ..kama unataka sana shobo msaidie mjibie Hilo swali
JamiiForums is an open forums,ukisha weka jambo hapa basi linakua sio lako tena na kila mtu anakua huru kuchangia,

Haya jibu swali langu sasa,Waarabu walikupakua? naona umewasifia hapa.
 
Back
Top Bottom