To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Umenyoosha....Mwanaume lazima uwe na hela [emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenyoosha....Mwanaume lazima uwe na hela [emoji1787]
Kama tumeamua kuwa wapenzi tupeane mapenzi tu., kila mmoja abaki na hela zake.Mwanaume lazima uwe na hela [emoji1787]
Wewe ni mwarabuWeupe ila wawe waarab ndio fresh
Usifananishe wakaka weusi, rangi ya ngamia na vitu vingine pleaseeeee[emoji23]
Plus awe mrefu[emoji7]
Sio tu kuambulia patupu, hutakiwi hata kuni-imagine😂Mim nikafupi alafu keupe...ukiniona kwa mbali kama dumu la mtindi la lita tano..!
Kwa hiyo kwako nimeambulia patupu Mkuu?
Sawa, shida inakuja pale unataka mtoyo awe mweupe wakati umetaka baba blackMweusi fulani hivi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Kikubwa uwe mstaarabu kimo chako si hoja Mkuu.JikubaliMim nikafupi alafu keupe...ukiniona kwa mbali kama dumu la mtindi la lita tano..!
Kwa hiyo kwako nimeambulia patupu Mkuu?
Ndio mie ni mwarabu koko sio officialWewe ni mwarabu
Raha duniani 😘Hayo ni mapendeleo yangu binafsi sio Ummat Muhammad Mkuu!
Na haina maana kwamba mwanaume niliyenaye angekuwa mweupe nisingekuwa naye, ni bahati amematch vigezo vyangu vyote MaashAllah!
Mweleze ukweli bhanaa😀Kikubwa uwe mstaarabu kimo chako si hoja Mkuu.Jikubali
Aiseee angalau sie wenye sura za fatiki tuna matumaini sasaYeyote yule tu mwenye heshima,upendo na kujali
☺ivo yaanMweleze ukweli bhanaa😀
Dada yangu ngoja wadau wakurukie kama mwewe hapaHili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
DuhKiuhalisia ni nadra sana mwanamke kumpenda mwanaume mweupe.
Yaani unakuta mwanaume ana rangi ya mtume inawakawaka kuliko mwanamke, hawezi akampenda ataonyesha kumchukia kwa sababu anaona mwanaume kabarikiwa vitu ambavyo yeye mwanamke ndo anatamani angekuwa navyo hapo lazima aonyeshe chuki inayochangiwa na wivu.
We jiulize kwa nini wanapishana kwenye maduka ya vipodozi wanatumia gharama kuutafuta muonekana ambao mwanaume mweupe anao bure, lazima kuwe na bifu hapo, wataishia oooh nataka mwanaume mweusi mreu, ila wanapenda watoto wawe weupe, mwanamke akiwa na mtoto mweusi huwezi ukaona anapiga nae picha nakuuza sura mtandaoni.
Demu anakutana na mwanaume mweupe handsome ana nuru ya sura yaani kiufupi mwanaume mzuri kuliko demu afu unategemea demu ampende, mademu wenyewe wao kwa wao huwa wanaoneana wivu akikutana na wanawake wenye mvuto zaidi yake ndo maana utawaona wanapotembea huwa ni kimagrupu, grupu hili sura za wajomba, hawa sura za baba, hawa wenye unafuu, na pisi kali nao huwa wanajitenga wenye mvuto unaofanana kuepusha jealous na bifu kwa wale mvutoless.
Kwa experience yangu wanawake wenye pigo za napenda mwanaume mweusi mrefu, wengi wao huwa hawana mvuto afu wana trauma ya kutotongozwa, ama kusimamishwa njiani kuombwa namba na mahandsome enzi za usichana wao, hivyo wanapsychological effect inayopelekea chuki kwa mahandsome mawaiti wanawaita mabishoo si unajua mabishoo wanapendaga pisi za kwenda afu huwa hazipingi.
Shemeji upo wapi nije na rungu!😀Hili swali kila siku jamani?
Mweusi, mwembamba, mrefu kiasi sio ngongoti na akiwa na akili nyingi ni added advantage.
Ndio kaka mzuri huyo mwenyewe, ah mi niuliwe tu!
Sawa☺ivo yaan