Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Bado una nafasi ya kutengeneza House Wives Kadhaa. Oa. Ukizaa watoto wa kike.... Wasomeshe mpaka darasa la 7 au form 4 ili wawe House Wives kwa wanaume kadhaa hapo baadae. Very Simple.

Kupanga Ni Kuchagua.
Naam Mkuu Wangu Nilikuwa Ninamjibu Jurjani....Mimi Nimeshaoa Kijana Mwenzangu,Mwanamke Msomi Km Miye Na Ana Lengo La Kufikia PhD Kabla ya kufika 35 na ninamsapoti katika hayo Malengo YAKE muruwa, So Scenario Yangu Sikutaka Nimvabe Nayo Jurjani Kwan Ana MAWAZO Tofauti Nami.

Kupanga Ni Kuchagua.
 
Mimi siishi kwa kupangiwa maisha na mtu naishi nitakavyo, Mimi Ni timamu kwanini unipangie na wewe umejuaje uko sahihi na huo wa ku kujifanya ku correct watu siulale tu[emoji23][emoji23].

Mimi baba yangu hajanidekeza Ni very understanding na Hana mentality za kuhangaika ili aonekane baba, since he knows his position kila kitu kina flow vizuri tu maana yeye ni baba na haihitaji kunikandamiza ili kujionyesha yeye ni baba.

Halafu pia kwanini watu waharibike uje ulaumu wanawake, maana mtu kajiamulia kuishi atakavyo kwanini u blame wengine, na kwanini usiseme sisi wanaume tumefeli lawama watuangishia wanawake, ujue failures ndio hulaumu wengine kwa kushindwa kwenye kila Jambo badala ya kutafta solutions.
Halafu ka watu wanaharibika kwanini wewe usilee wanao wawe na tabia njema maana hyo itatosha kuliko kupangia wengine life.
😍😍
 
Tatizo unabishia jambo ambalo haulifahamu na upeo nalo mdogo. Na ndio hapo ubishi unapoanzia....
Sio nabisha maana uliyoandika haifanyi kazi kwanini kuharibika kwa watu kwa jamii uwalaumu wanawake na usilaumu hao walioharibu?
Mtu afanye upuuzi hafu alaumiwe mwingine does it make sense?
 
👍
 
Why Blaming Others For The Rottenness Of The Society Maxim?!!!

Kila Mmoja Wetu Whether Male Or Female ana Wajibu Wa KUTIMIZA Bora kwa Familia na Jamii Kabla Pumzi zetu Hazijakata.....

Wakati Mwingine Ni Insecurity Ya Baadhi yetu wanaume....Mbona Wengine Tumepata Mafanikio Ya Kimasomo Simply Kwa Kuwa Mama Aliyejitambua Alikuwa Responsible Kumzidi Baba Aliyekuwa Na Mabibi Kadhaa na Starehe Nyingine za Maisha?!!!

Wekeza Kwa Mtoto Wa Kike Kielimu aikomboe Jamii ambayo ndani yake Watakaofaidika Ni Sisisi ALPHA MALES and those insecurely Men......
 
Masikio yameumbiwa kusikia, moyo kutafakari na kuamua, akili kung'amua na kutambua lipi baya na lipi zuri, nafsi ndiyo wewe na mimi, ila Roho ndiyo uhai sasa, vinne hivi vipo ndani yetu, yaani kwenye miili yetu na ndiyo mimi na wewe sasa.

Wanawake wa leo ujuaji umewaponza sana na mbeleni mwao ni giza totoro,wengi wao hawalijui hili isipokuwa wachache walio rehemewa, huku wakisahau ya kuwa kila jambo lina chanzo na historia imeaandika.

Nikawa najiuliza hivi, hili kweli wanawake wa leo ambao wamewezeshwa hawalioni ? Mbona wanayo yadai ni madogo sana kuliko matokeo ya kile wanachokidai ? Leo mwanamke amefanywa kama bidhaa, lakini wao muda huo huo wakijinadi ya kuwa wamewezeshwa na wametolewa gizani, na huku wakijinadi ya kuwa zama zimebadilika ? Sasa mbona wao ndiyo wako gizani zaidi kuliko zama zote ? Hivi leo hii hakuna upuuzi wowote unaofanyika isipokuwa mwanamke amewekwa kama chambo, mwanamke amekuwa mtu wa kuvutia bisashara,wanawake wa kileo heshima kwao si lolote. Mwanamke gani aliwahi kutoka na kulikemea hili na kuzilinda heshima zao na thamani zao ? Wao wamefundishwa ya kuwa adui yako namba moja duniani ni Mwanaume na lazima ushindane nae, na uhakikishe unamshinda (Huwa nacheka sana).

Nikaja kuhitimisha ya kuwa Wanawake wa leo yule aliyewatoa majumbani aliwaficha lengo la kwanini aliwatoa majumbani na kuwaleta mtaani kwa jina zuri la "HAKI" ila ukweli ni kuwadhalilisha. Lakini alifanikiwa sana kwa kondoo kumvisha sanamu la Ng'ombe na kisha wenyewe wakaambiana yule ni Ng'ombe na siyo kondoo, huoni pua ile, huoni pembe zile ? Yaani akawa anaona mambo mazuri mazuri tu,kuwa na mahela, kumiliki mali na mfano wake.

Nina mengi ya kuandika, ila nakumbuka maneno mazuri yaliyotoka kwenye kinywa Twahara yasemayo "Bora ya maneno ni maneno machache na yenye faida".

Nahitimisha kwa nukuu maridhawa ya Will Durant, mwanafalsafa anayejulikana vyema, na mwandishi wa kitabu kiitwacho ‘History of Civilization’ anasema, “Tukijaalia kuwa tunaishi katika mwaka wa 2000 A.D na tunataka kujua tukio lililokuwa muhimu kabisa katika robo ya kwanza ya karne ya 20, tutaona kuwa haikuwa vita ya kwanza ya Dunia wala Mapinduzi ya Urusi. Lilikuwa ni badiliko la nafasi ya mwanamke. Historia haikuwahi kushuhudia badiliko la kusisimua kiasi hicho ndani ya muda mfupi kiasi hicho. Nyumbani, ambapo ndio ulikuwa msingi wa kiuendeshaji wetu wa kijamii, mfumo wa unyumba (ndoa), ambao ulizuia ufisadi na zinaa na kuleta utengamano wa maisha ya familia, na sheria madhubuti ya maadili iliyotusaidia kuondoka katika ushenzi kwenda katika utamaduni na tabia inayokubalika ya kijamii, yote haya yalisukumiziwa mbali na badiliko hili la kimapinduzi.”

Angalizo

1. Wanawake wa humu wana rauka sana kama wametoka usingizini, ombi langu mkija katika huu uzi mje na hoja za kielimu na sisi kutuonyesha uanamke wenu na kutia kwenu huruma. Bali mje na hoja za kielimu na mtuambie ilikuwaje mpaka mkatolewa majumbini na kuingia mtaani.

2. Siyo lazima tufikie muafaka sababu muafaka si lengo katika mijadala ya kielimu, bali lengo ni kuuweka wazi ukweli, bila kuangalia nani atachukia wala nani atalaumu.

3. Lazima tuheshimiane na tusivunjiane heshima. Hapa ni hoja kwa hoja.

4. Wanawake mkiulizwa maswali mjibu siyo mnakimbia.

5. Nachukua fursa hii kuwaita wanawake wote humu, huku nikiwaambia ya kuwa "Huu uzi ni wenu, karibuni mjimwaye mwaye" ila mje na hoja kama nyinyi ni wa kweli. Kwa uchache naomba ni waite kadhaa : Rowin cariha Paula Paul SIERA

Ni mimi kijana mtiifu Zurri
haki sawa kwa wote toka Beijing china japo vitabu vitakatifu vimetuasa sana kuhusu wanamke na uanamke
 
Sio nabisha maana uliyoandika haifanyi kazi kwanini kuharibika kwa watu kwa jamii uwalaumu wanawake na usilaumu hao walioharibu?
Mtu afanye upuuzi hafu alaumiwe mwingine does it make sense?
It does.... Mwanamke ndie anaeshape mtoto kwa asilimia zake wanaume tunamnyoosha. Si unaona kama wewe, mama yako amekushape uwe feminist na uwe na chuki na jinsia ya kiume.....
 
It does.... Mwanamke ndie anaeshape mtoto kwa asilimia zake wanaume tunamnyoosha. Si unaona kaka weww mama yako amekushape uwe feminist na uwe na chuki na jinsia ya kiume.....
Mkuu Sijaelewa Hapo kwenye "Kaka Wee".Nifahamishe Mkuu Wangu Tafadhali...
 
Masikio yameumbiwa kusikia, moyo kutafakari na kuamua, akili kung'amua na kutambua lipi baya na lipi zuri, nafsi ndiyo wewe na mimi, ila Roho ndiyo uhai sasa, vinne hivi vipo ndani yetu, yaani kwenye miili yetu na ndiyo mimi na wewe sasa.

Wanawake wa leo ujuaji umewaponza sana na mbeleni mwao ni giza totoro,wengi wao hawalijui hili isipokuwa wachache walio rehemewa, huku wakisahau ya kuwa kila jambo lina chanzo na historia imeaandika.

Nikawa najiuliza hivi, hili kweli wanawake wa leo ambao wamewezeshwa hawalioni ? Mbona wanayo yadai ni madogo sana kuliko matokeo ya kile wanachokidai ? Leo mwanamke amefanywa kama bidhaa, lakini wao muda huo huo wakijinadi ya kuwa wamewezeshwa na wametolewa gizani, na huku wakijinadi ya kuwa zama zimebadilika ? Sasa mbona wao ndiyo wako gizani zaidi kuliko zama zote ? Hivi leo hii hakuna upuuzi wowote unaofanyika isipokuwa mwanamke amewekwa kama chambo, mwanamke amekuwa mtu wa kuvutia bisashara,wanawake wa kileo heshima kwao si lolote. Mwanamke gani aliwahi kutoka na kulikemea hili na kuzilinda heshima zao na thamani zao ? Wao wamefundishwa ya kuwa adui yako namba moja duniani ni Mwanaume na lazima ushindane nae, na uhakikishe unamshinda (Huwa nacheka sana).

Nikaja kuhitimisha ya kuwa Wanawake wa leo yule aliyewatoa majumbani aliwaficha lengo la kwanini aliwatoa majumbani na kuwaleta mtaani kwa jina zuri la "HAKI" ila ukweli ni kuwadhalilisha. Lakini alifanikiwa sana kwa kondoo kumvisha sanamu la Ng'ombe na kisha wenyewe wakaambiana yule ni Ng'ombe na siyo kondoo, huoni pua ile, huoni pembe zile ? Yaani akawa anaona mambo mazuri mazuri tu,kuwa na mahela, kumiliki mali na mfano wake.

Nina mengi ya kuandika, ila nakumbuka maneno mazuri yaliyotoka kwenye kinywa Twahara yasemayo "Bora ya maneno ni maneno machache na yenye faida".

Nahitimisha kwa nukuu maridhawa ya Will Durant, mwanafalsafa anayejulikana vyema, na mwandishi wa kitabu kiitwacho ‘History of Civilization’ anasema, “Tukijaalia kuwa tunaishi katika mwaka wa 2000 A.D na tunataka kujua tukio lililokuwa muhimu kabisa katika robo ya kwanza ya karne ya 20, tutaona kuwa haikuwa vita ya kwanza ya Dunia wala Mapinduzi ya Urusi. Lilikuwa ni badiliko la nafasi ya mwanamke. Historia haikuwahi kushuhudia badiliko la kusisimua kiasi hicho ndani ya muda mfupi kiasi hicho. Nyumbani, ambapo ndio ulikuwa msingi wa kiuendeshaji wetu wa kijamii, mfumo wa unyumba (ndoa), ambao ulizuia ufisadi na zinaa na kuleta utengamano wa maisha ya familia, na sheria madhubuti ya maadili iliyotusaidia kuondoka katika ushenzi kwenda katika utamaduni na tabia inayokubalika ya kijamii, yote haya yalisukumiziwa mbali na badiliko hili la kimapinduzi.”

Angalizo

1. Wanawake wa humu wana rauka sana kama wametoka usingizini, ombi langu mkija katika huu uzi mje na hoja za kielimu na sisi kutuonyesha uanamke wenu na kutia kwenu huruma. Bali mje na hoja za kielimu na mtuambie ilikuwaje mpaka mkatolewa majumbini na kuingia mtaani.

2. Siyo lazima tufikie muafaka sababu muafaka si lengo katika mijadala ya kielimu, bali lengo ni kuuweka wazi ukweli, bila kuangalia nani atachukia wala nani atalaumu.

3. Lazima tuheshimiane na tusivunjiane heshima. Hapa ni hoja kwa hoja.

4. Wanawake mkiulizwa maswali mjibu siyo mnakimbia.

5. Nachukua fursa hii kuwaita wanawake wote humu, huku nikiwaambia ya kuwa "Huu uzi ni wenu, karibuni mjimwaye mwaye" ila mje na hoja kama nyinyi ni wa kweli. Kwa uchache naomba ni waite kadhaa : Rowin cariha Paula Paul SIERA

Ni mimi kijana mtiifu Zurri
Binafs naumia sna kuona au kuckia wnawake wakiteswa lkin wao wenywe ndo chanzo wa hayo yote yanayo wakuta
 
Mimi siishi kwa kupangiwa maisha na mtu naishi nitakavyo, Mimi Ni timamu kwanini unipangie na wewe umejuaje uko sahihi na huo wa ku kujifanya ku correct watu siulale tu[emoji23][emoji23].

Mimi baba yangu hajanidekeza Ni very understanding na Hana mentality za kuhangaika ili aonekane baba, since he knows his position kila kitu kina flow vizuri tu maana yeye ni baba na haihitaji kunikandamiza ili kujionyesha yeye ni baba.

Halafu pia kwanini watu waharibike uje ulaumu wanawake, maana mtu kajiamulia kuishi atakavyo kwanini u blame wengine, na kwanini usiseme sisi wanaume tumefeli lawama watuangishia wanawake, ujue failures ndio hulaumu wengine kwa kushindwa kwenye kila Jambo badala ya kutafta solutions.
Halafu ka watu wanaharibika kwanini wewe usilee wanao wawe na tabia njema maana hyo itatosha kuliko kupangia wengine life.
Then hakunaga baba understanding, hapo unajaribu kujustify tu madhaifu yako....
 
Mimi swali langu liko palepale kwanini uumizwe na Mambo yetu wanawake ka si umbeya Nini?
Haki tukivunjiwa heshima inakuhusu Nini ni sisi tumeamua and we are happy kwanini uumizwe na uamuzi wetu maana hyo masharti yako labda umpe mbuzi Ila binadamu timamu huwezi.
Utuache babu dunia hii kila mtu ana Uhuru wa kufanya alisikialo
Ndo tatizo lenu wanawk munapo ambiw ukwel.
 
Then hakunaga baba understanding, hapo unajaribu kujustify tu madhaifu yako....
Sio udhaifu huo ndio ukweli wangu wa Mambo wewe kutokuubali haimaanishi ni udhaifu ni vile Ni mtazamo wako, na Mimi jukumu langu ni kuandika hzo interpretation tofauti tofauti kichwani mwako Ni jukumu lako
 
It does.... Mwanamke ndie anaeshape mtoto kwa asilimia zake wanaume tunamnyoosha. Si unaona kama wewe, mama yako amekushape uwe feminist na uwe na chuki na jinsia ya kiume.....
Yale Yale ya kukwepa majukumu nakukimbilia kulaumu wanawake badala ya ku deal na kiini Cha tatizo. Sasa unaposema tuna shape basi sioni role yenu kwenye jamii maana mumekuwa wanaume pambo tu au mumekuwa ka mbwa kibogoyo asiyeeza kung'ata maana everything wanawake wamefanya hivi nyie role yenu Nini?
Mimi jukumu la mamangu lilikuwa kunizaa hyo inatosha na hajawahi niambia niwe nilivo maana Mimi Ni mtu mwenye utashi wangu na maamuzi yangu, so kumsingizia what I believe it's not fair kabisa, ni sawa Ni laumu mzazi wako kwa misimamo yako huo si utakuwa uwehu. Judge me ninachoandika sio Tena kurushia jukumu la mitazamo kwa waliotuzaa wale wameshatuzaa hyo inatosha, Sasa kuwalaumu Ni mwendelezo huo huo wakutokujielewa, it's like mbaazi kukosa maji na kusingizia jua.
 
Back
Top Bottom