Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Nani anataka kubishana na mjinga? Ndo mana wanakuacha tu unajiona mtemi.
Mjinga ni wewe ambae unashindwa kubainisha lipi zuri na lipi baya kwa jamii yako.

Kazi uliyobakia nayo ni kusapoti upuuzi wa magharibi utadhania babu na bibi yako wapo kule....
 
Haha typical extremist. Maendeleo na elimu ni umagharibi? Basi acha niukumbatie na kamwe siwezi kuacha
Hadi kizazi changu.. we endelea kufuga binti zako ndani ukiwafundisha maswala ya ndoa kumtii na kumridhisha mume maana huo ndo wajib wa mwanamke kutokana na itikadi zenu...
 
Sababu ya watu kama wewe ambao wanakubaliana na uovu kutokea huku sisi tukitazama.

Huna tofauti na mtu ambaye anaona mtu anazama katika maji au anahaha kutafuta hewa baada ya kupatwa na presha unakazana kurekodi video ya kupost hilo tukio badala ya kufanya chochote kumuokoa unabakia kusema siku yake imefika kazi ya MUNGU haina makosa.....

Huko ni kukosa hekima ya ki MUNGU ndani yako. Na inawezekana umekata tamaa na unaona ni sawa tu hayo maovu yaendelee ila kama unachukizwa kwa nafasi yako at least utakemea.

Hivi siyo mimi ambaye nilikuwa nashusha magazeti humu kukemea maovu hadi nikaitwa feminist sijui activist? Tena bora mimi nilikuwa nakemea maovu ya jinsia zote wanaume na wanawake ninyi mnachofanya hapa ni kukemea maovu ya wanawake tu kana kwamba wanaume hawana maovu yoyote tena kama wewe ndiyo kila siku kuwatukana wanawake tu sijawahi hata siku moja kuona umeyaongelea maovu ya wanaume sijui lengo lako huwa ni lipi hasa!

Nashukuru Mungu wapo watu wachache sana waliokuwa wananielewa kuwa mimi siyo feminist wala activist ila ninachofanya ni kuhighlight maovu ya jinsia zote kwenye jamii na kuona ni namna kila jinsia inaweza kubadilika kwa nafasi yake bila kutupa lawama kwa jinsia nyingine! But it seems wanaume mnajiona very innocent na mnataka wanawake tu ndiyo waonekane waovu mnawatupia lawama kwa kuleta hoja za bustani ya eden sijui ujinga gani!

Yaani wanaume ni either mmeamua kwa makusudi kabisa kuyafumbia macho maovu yenu! Au labda maovu yenu mnayaona ni madogo na kwamba hata yakiendelea mnaona hayana madhara yoyote kwenye jamii ndiyo maana mnashupalia ya wanawake tu!

Siku nikiona mwanaume kaanzisha mada ya kukemea maovu ya jinsia zote mbili bila kutupa lawama kwa jinsia moja pekee hakika hiyo mada ndiyo itakuwa mada bora ya karne! Vinginevyo wote humu mtabaki kuwa wanafiki na Mungu mnamtaja bure tu!
 
Naomba niandike maoni yangu kwa juzi (experiences) zangu!

Dunia ilipo leo sipo ilipokua miaka kenda ilopita!
Zamani iliwawia rahisi sana kumtenga na kumnyanyasa mwanamke (eti ni dhaifu!)lakini kwa sasa imekua ngumu kwenu kwa maana hata husipompeleka shule bado jamii ya kisasa (social media’s) itamfunza tu, tena itamfunza bila kujali yeye ni nani, amezaliwa na nani wala ametokea wapi!(dunia imekua kijiji!)

Zama hizo tumevumilia utumwa juu yenu ili mradi maisha yetu yaende (ninyi mlisema “mnatusitiri “), mkatupanga kwa foleni ya mke wa kwanza mpaka bi mdogo + nyumba ndogo bado tukajaza maji mdomoni na kukaa kimya tukiamini kweli tuna’sitiriwa’ hatuna ujanja wala uwezo wa kwenda sambamba nanyi!! Kuja kushtuka tayari tumetua ndani ya enzi za sayansi na technology na kushuhudia uwezo wetu kupitia wenzetu!! (Hamtudanganyi tena eti sisi ni “dhaifu”!!)

Zama hizo hizo mlituaminisha ya kwamba “upendo” wa dhati na “heshima “ (kama kijakazi kwa bwanake) ndio msingi mkuu wa ndoa !!! Wala hatukubisha tukaitika ‘ndio bwana’ na maisha yakaenda kwa raha na starehe, kustaajabu tukajikuta tumepangwa kama team ya soccer tukisubiri magoli ya dakika 3 kila mmoja (mke wa kwanza, wa pili, wa 3, wa 4, nyumba ndogo, vimada, wajasiliamwili, na one night stands za kutosha!!) Matokeo yote haya yakazaa viumbe (watoto) wasiokua hata na idea kwanini wameletwa hapa duniani huku sisi wafuasi waaminifu (wamama wa nyumbani) tukibaki na ombwe zito juu ya namna ya kuwawezesha hawa viumbe (watoto) kutambua umuhimu wao hapa duniani (hata kama hawakupanga kuzaliwa ila “ngono” kasababisha) na matokeo yake sasa ndio hawa “millennials “ (kizazi kipya) tunaowaona sasa!!

Ndugu zangu wa kiume, mwanamke hakuumbwa kuwa mjakazi (mtumwa) wako!! Kumbuka hata Muumba wa vyote (God Almighty, Allah Subhanah) aliona wewe “Adam” bila mimi “Hawa” bado hujakamilika!! Akakuzima kwa muda then akanitengeza mimi!!

Wala hakuna ubaya katika mimi Mama wa watoto wako, mwalimu mkuu wa kizazi chako kutafuta Mali (kufanya kazi,biashara,sanaa n.k) Mimi pia ni kama wewe!! Niko na ndoto (life dreams) nahitaji kuzitimiliza! Niko na malengo nahitaji kuyafikia! Niko na dada, Kaka, mama, Baba,ndugu, jamaa na marafiki nahitaji kusaidia! Niko na mipango nahitaji kuikamilisha! Niko na WATOTO nahitaji kuwaandalia baadae yao!!

Suala la kudhalilika sio la mwanamke tu hata mwanamume naye anadhalilika sana tu!! Wangapi?! Situnashuhudia kila kukicha??

Halafu nani anamdhalilisha na kumuangamiza Mwanamke kama sio Mwanamume???? Hebu hii mada igeukie upande wa pili(kiumeni)mjichunguze kwanini yawafaa kuona “udhalili “ wa mwanamke ndio furaha yenu?!?!?

Maoni yangu jamani!! Sitaki kupondwa mawe na wala Msinifokee!!!! [emoji6]
 
Aiseee hii comment natamani ndiyo ingekuwa pale ya kwanza kabisa au ungeianzishia uzi kabisa! Wanaume wengi wa kiafrika hawataki kujichunguza wanapokosea wao kazi yao ni kutupa lawama kwa wanawake tu huku wao wakijiona wako very innocent kwenye kila kitu!
 
Umemaliza kila kitu! Ninafurahi kuona wanawake wakiislamu wanakua ma mawazo yao huru na kuweza ku question baadhi ya sheria na kanuni. Kila siku naamini uislamu hauna shida, shida ipo kwa wanaume walio katika "leadership positions" hivyo wana twist n turn rules to accommodate their primitive needs.
 
Sababu ya watu kama wewe ambao wanakubaliana na uovu kutokea huku sisi tukitazama.

Huna tofauti na mtu ambaye anaona mtu anazama katika maji au anahaha kutafuta hewa baada ya kupatwa na presha unakazana kurekodi video ya kupost hilo tukio badala ya kufanya chochote kumuokoa unabakia kusema siku yake imefika kazi ya MUNGU haina makosa.....

Huko ni kukosa hekima ya ki MUNGU ndani yako. Na inawezekana umekata tamaa na unaona ni sawa tu hayo maovu yaendelee ila kama unachukizwa kwa nafasi yako at least utakemea.
😁😁😁
 
Hivi siyo mimi ambaye nilikuwa nashusha magazeti humu kukemea maovu hadi nikaitwa feminist sijui activist? Tena bora mimi nilikuwa nakemea maovu ya jinsia zote wanaume na wanawake ninyi mnachofanya hapa ni kukemea maovu ya wanawake tu kana kwamba wanaume hawana maovu yoyote tena kama wewe ndiyo kila siku kuwatukana wanawake tu sijawahi hata siku moja kuona umeyaongelea maovu ya wanaume sijui lengo lako huwa ni lipi hasa!

Nashukuru Mungu wapo watu wachache sana waliokuwa wananielewa kuwa mimi siyo feminist wala activist ila ninachofanya ni kuhighlight maovu ya jinsia zote kwenye jamii na kuona ni namna kila jinsia inaweza kubadilika kwa nafasi yake bila kutupa lawama kwa jinsia nyingine! But it seems wanaume mnajiona very innocent na mnataka wanawake tu ndiyo waonekane waovu mnawatupia lawama kwa kuleta hoja za bustani ya eden sijui ujinga gani!

Yaani wanaume ni either mmeamua kwa makusudi kabisa kuyafumbia macho maovu yenu! Au labda maovu yenu mnayaona ni madogo na kwamba hata yakiendelea mnaona hayana madhara yoyote kwenye jamii ndiyo maana mnashupalia ya wanawake tu!

Siku nikiona mwanaume kaanzisha mada ya kukemea maovu ya jinsia zote mbili bila kutupa lawama kwa jinsia moja pekee hakika hiyo mada ndiyo itakuwa mada bora ya karne! Vinginevyo wote humu mtabaki kuwa wanafiki na Mungu mnamtaja bure tu!
Mmmmmmhmn hapo sasa umeamua tu kunifokea. Ila mada imemlenga mwanamke na sio kulaumu mwanamke.

Hapa mleta mada anakemea mfumo ambao ninyi wanawake bila kujua mnautetea na kudhani unamsaada kwenu na kwa jamii ila ukitazama ni kuwa huu mfumo kwanza ni mgeni kwetu na si sehemu ya desturi zetu.

Mleta mada alikuwa anawahoji ninyi kama wanawake namna mnatetea jambo ambalo bila ninyi kujua kuwa linawaexploit, je hamjaona au mnajaribu tu kuwa changamoto.....
 
Aiseee hii comment natamani ndiyo ingekuwa pale ya kwanza kabisa au ungeianzishia uzi kabisa! Wanaume wengi wa kiafrika hawataki kujichunguza wanapokosea wao kazi yao ni kutupa lawama kwa wanawake tu huku wao wakijiona wako very innocent kwenye kila kitu!

Kabisa!!

Hivi unajiitaje kichwa cha familia muda huo huo unaharibu mtoto wa familia nyingine??

Duniani wote tunahitajiana wala sio kwa ngono tu (manake ndio msukumo mkubwa wa wenzetu) ila pia ili hayo mnayoita “mmomonyoko wa maadili “ ni wajibu wetu wote kwa pamoja kusimamia!!

Huwezi kusema mwanamke anadhalilishwa wakati mdhalilishaji mkuu ni wewe!! Utapigana na ukuta tu!!
 
Kosa ni la kwenu nyie wanaume mmeshindwa kusimamia nafasi zenu. Mnawaza sunna ya kuoa wake wanne yani kila wiki upo busy kuwaza kutimiza wajibu kwa wake wote kwa usawa. Ukipiga viwili huku na kule upige viwili pesa utatafuta saa ngapi? Tupishe na itikadi zako za radio iman kukataza wanawake wasipige simu ety sauti ya kike ni shubha. Yani mnawaza ngono mda wote. Likija kwenye swala la kuwa nyuma kielimu na kimaendeleo haswa kwenye mikoa ya pwani kama tanga, lindi etc mnasema ety wakristo wapo kwenye system hvyo wanawapiga vita waislamu wasiendelee. Acheni kulalamika mda wote mpo kwenye vibanda vya kahawa mnapiga porojo na kucheza bao maendeleo mtapata wapi .wanawake wa kiislamu tumeamua kusoma na kujiendeleza kibiashara n.k mnaleta mawazo ya kusema tunashindana na wanaume. Hao wanaume wanaoshinda vijiweni kupiga soga? Acha basi unaudhalilisha uislamu akhy
👍👍👍👍👍👍
 
Kabisa!!

Hivi unajiitaje kichwa cha familia muda huo huo unaharibu mtoto wa familia nyingine??

Duniani wote tunahitajiana wala sio kwa ngono tu (manake ndio msukumo mkubwa wa wenzetu) ila pia ili hayo mnayoita “mmomonyoko wa maadili “ ni wajibu wetu wote kwa pamoja kusimamia!!

Huwezi kusema mwanamke anadhalilishwa wakati mdhalilishaji mkuu ni wewe!! Utapigana na ukuta tu!!
Acha uongo dada, hivi nikuulize tukizungumza maswala ya uharibifu wa kimaadili, unaanzaje kumtaja mwanaume na unajua wazi mwanaume yupo katika the end of the bus....

1. Ni nani huwa anaagiza kuletewa house girl ila awe mdogo kuanzia miaka 16 kushuka, muda mwingine mnaagizia vitoto vya hata miaka 10 vije kuwa vihouse girl, hiyo kwako mwanaume anaingiaje hapo?!

2. Kupata watoto hovyo, tena kwa kujiamlia,maana ni ninyi ndio mnaobeba ujauzito so sidhani kama mwanaume anakuwa na last say unless umekubaliana nae. Ila ninyi mkishapewa lift tu tayari mkilala pale kitandani mnaachia hadi maini......

3. Ninyi kwasasa ndio mnaokuwa busy sana tena 90% ya ubusy wenu huwa mnaamua wenyewe si kwa malengo ya kifamilia na waume zenu. Sasa unapokuwa busy hivyo nani anakuwa available kwa mumeo, kesho akitoka na videnti unamlaumu si wewe ndie unampa mfadhaiko.... Acheni dhambi....

4. Nyie si ndio mwanaume akikufuata kwa heshima mnaona ni mshamba mnataka kuchukuliwa na waume za watu na hamtaki wanaume ambao ndio kwanza wanajipanga

Mengi yapo ila hamjui viburi vyenu ndivyo vinaanza ifanya jamii inabadilika...
 
Umemaliza kila kitu! Ninafurahi kuona wanawake wakiislamu wanakua ma mawazo yao huru na kuweza ku question baadhi ya sheria na kanuni. Kila siku naamini uislamu hauna shida, shida ipo kwa wanaume walio katika "leadership positions" hivyo wana twist n turn rules to accommodate their primitive needs.
Sio kweli, hebu unapotoa hoja weka na ushahidi. Uislamu ni wapi unamkandamiza mwanamke?!
 
Kabisa!!

Hivi unajiitaje kichwa cha familia muda huo huo unaharibu mtoto wa familia nyingine??

Duniani wote tunahitajiana wala sio kwa ngono tu (manake ndio msukumo mkubwa wa wenzetu) ila pia ili hayo mnayoita “mmomonyoko wa maadili “ ni wajibu wetu wote kwa pamoja kusimamia!!

Huwezi kusema mwanamke anadhalilishwa wakati mdhalilishaji mkuu ni wewe!! Utapigana na ukuta tu!!
Yaani Hakika Wewe Ni Coach...You Touched It Exquisitely....
As A Man It's High Time Now,To Change Our Perspective and Look Beyond The Horizon....Japo Tumeumbwa na EGO za kiALPHA MALES but naamini Mungu Ametaka tuweke MIZANIA ya tabia zetu ili maisha Bora yapatikane ulimwenguni......
Nilimwambia Jurjani aache mentality za UHOVYO kusuit Masculinity zetu....

Ndani Ya Furqan Karim,kuna AYA inasema "pindipo inapowafikia hoja,ichunguzeni Kwanza,ili Msije mkadhuru wasiokuwa na hatia"....

Hatutaki Kutafakari vyema.....
Tunaongozwa na mazoea ya uoga....

Walijisemea Wayahudi kuwa,Vipawa vya Goyyims Vinakwenda pamoja nao makaburini Kabla ya kuvitimiza DUNIANI.......
 
Hivi kwanini uumizwe na Mambo ya wanawake, dunia imechange you have to accept it mengine wewe Kama mwanaume huwezi kuelewa mpaka uwe mwanamke, usiwe Kama wasaudia wanaume wazima Wana discuss Mambo ya hedhi ya wanawake bila wanawake wenyewe kuwepo na kuelezea Mambo yao ya hedhi.
In short wanaume insecure tuacheni wanawake na Mambo yetu nyie Nani wakutupangia mtukome kabisa
Sikutaka kuchangia,nikitaka kupita tu Kama kawaida yangu,Ila maneno mawili ya mwisho yameonyesha jinsi ulivyo.
 
Acha uongo dada, hivi nikuulize tukizungumza maswala ya uharibifu wa kimaadili, unaanzaje kumtaja mwanaume na unajua wazi mwanaume yupo katika the end of the bus....

1. Ni nani huwa anaagiza kuletewa house girl ila awe mdogo kuanzia miaka 16 kushuka, muda mwingine mnaagizia vitoto vya hata miaka 10 vije kuwa vihouse girl, hiyo kwako mwanaume anaingiaje hapo?!

2. Kupata watoto hovyo, tena kwa kujiamlia,maana ni ninyi ndio mnaobeba ujauzito so sidhani kama mwanaume anakuwa na last say unless umekubaliana nae. Ila ninyi mkishapewa lift tu tayari mkilala pale kitandani mnaachia hadi maini......

3. Ninyi kwasasa ndio mnaokuwa busy sana tena 90% ya ubusy wenu huwa mnaamua wenyewe si kwa malengo ya kifamilia na waume zenu. Sasa unapokuwa busy hivyo nani anakuwa available kwa mumeo, kesho akitoka na videnti unamlaumu si wewe ndie unampa mfadhaiko.... Acheni dhambi....

4. Nyie si ndio mwanaume akikufuata kwa heshima mnaona ni mshamba mnataka kuchukuliwa na waume za watu na hamtaki wanaume ambao ndio kwanza wanajipanga

Mengi yapo ila hamjui viburi vyenu ndivyo vinaanza ifanya jamii inabadilika...

Kaka! Why unanifokea!? Uwongo wangu uko wapi??

Siku nyingine husirudie kuni “generalize” hovyo hovyo!!

*msaidizi wa ndani ‘mdogo mdogo’ ili kichwa cha familia hasimguse! (Wakubwa wakubwa kupindua nyumba sekunde haiishi!)

*mimba/watoto hovyo hovyo mtoa mbegu mwanaume!!

*kwingine kote jisome kama unajiambia mwenyewe!!

Mama zetu wahenga walituasa “”Mwanamume hasiyejua hiyana hana maana!”

[emoji6]
 
Dah.... Ghafla tu nimekupenda ngoja tusibishane [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani Hakika Wewe Ni Coach...You Touched It Exquisitely....
As A Man It's High Time Now,To Change Our Perspective and Look Beyond The Horizon....Tatizo Tumeumbwa na EGO naamini Mungu Ametaka tuweke MIZANIA ya tabia zetu ili maisha Bora yapatikane ulimwenguni......
Nilimwambia Jurjani aache mentality za UHOVYO kusuit Masculinity zetu....

Ndani Ya Furqan Karim,kuna AYA inasema "pindipo inapowafikia hoja,ichunguzeni Kwanza,ili Msije mkadhuru wasiokuwa na hatia"....

Hatutaki Kutafakari vyema.....
Tunaongozwa na mazoea ya uoga....

Walijisemea Wayahudi kuwa,Vipawa vya Goyyims Vinakwenda pamoja nao makaburini Kabla ya kuvitimiza DUNIANI.......

Chief,
Kikubwa kiumeni mbadirike!!

Tusaidiane namna ya kuokoa jamii na sio kusimamia upande mmoja wa jamii huku ukijiaminisha kwamba mwingine ni dhaifu! Wengi wa kikeni wana fanya kama Pay back tu kiasi ambacho wanafikia kuumiza miili na nafsi(kile kile ambacho ndio ugonjwa wa kiumeni!)

Kikubwa tukubali tuu, hapa duniani hata sisi tumeumbwa kama nyinyi na kadiri tutakavyoendelea kupingana tutaendelea kushuhudia uovu husio mithirika!!

Siku yaja, tuandae majibu!!
 
Sio kweli, hebu unapotoa hoja weka na ushahidi. Uislamu ni wapi unamkandamiza mwanamke?!

Uislamu haumkandamizi mwanamke ila baadhi ya vikundi vya waislamu ndo vinatumia dini kumkandamiza mwanamke. taliban imeweka sheria mwanamke akienda shule apigwe risasi hiyo sheria ipo kwenye aya gani au hadithi ipi. Tushukuru tu tupo kwenye utawala wa demokrasia maana kwa hoja zako na mtoa mada mngetupiga risasi wanawake tunaotafuta maendeleo ni vile tu mnaogopa dola.
 
Back
Top Bottom