Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Why Blaming Others For The Rottenness Of The Society Maxim?!!!

Kila Mmoja Wetu Whether Male Or Female ana Wajibu Wa KUTIMIZA Bora kwa Familia na Jamii Kabla Pumzi zetu Hazijakata.....

Wakati Mwingine Ni Insecurity Ya Baadhi yetu wanaume....Mbona Wengine Tumepata Mafanikio Ya Kimasomo Simply Kwa Kuwa Mama Aliyejitambua Alikuwa Responsible Kumzidi Baba Aliyekuwa Na Mabibi Kadhaa na Starehe Nyingine za Maisha?!!!

Wekeza Kwa Mtoto Wa Kike Kielimu aikomboe Jamii ambayo ndani yake Watakaofaidika Ni Sisisi ALPHA MALES and those insecurely Men......
Bora wewe una Mambo kwa different angle na kwa mapana yake, globalization ilikuja ghafla na wanaume hawakujiandaa, Sasa matokeo yake ni insecurities, fear kila corner Beijing inaonewa tu bure hapa
 
But of course darling love, kukukazia ni muhimu wether unataka au hautaki. Mwanamke ukienda nae kwa maneno hamtafanya maendeleo.

Wazee wamewadekeza sana mabinti wa kizazi hadi jamii inaanza kufeli. Hebu ona watoto wa kiume wa sasa walivyo hovyo, tazama wanaume walivyo wa kindezi sababu ya makuzi ya ajabu ambayo ninyi ndio mnayasapoti.

Sasa sisi tutatumia mamlaka halali tuliyo nayo. Na hizo kanuni na sheria za kipuuzi tutazifanyia marekebisho ili kuwarudisha katika mstari.

[emoji1787]
I’m just here to laugh on how kila jambo linavutia upande wa “Mvulana“ na sio MwanaMume! [emoji119][emoji23]

****On a more LIVE note.....

Wanawake sasa sio kama “Enzi!”

Allamsiki![emoji120]
 
Ndo Mana Nikakuambia Wewe Ni Miongoni Mwa Wakandamizaji Wanawake....

Bwana Traditionalist Skiza Yaa Akhui...Umeona Ulivyo Kuwa Mchache Wa Fadhili Kwa Wanawake ?!!
Ona Hapo Juu..."Kutumia mabavu au masimango"..Umegotea hapo tu Kooo.

Umesahau uliposema kuwa Ni ibn Uthaymeen tu ndio mwenye kuijua hedhi ya kina mama?!!!

Mwanamke ana Ubongo Mwanamke Ana Akili Yaani Elimu Ya Kuujua Mwili wake Amepewa Ashaykhul Muadhama Ashaykhul Kiraam Muhammad Ibn Uthaymeen ?!!😁😁😁 Hapa tu Ni pigo jengine la DHARAU kwao...Ni hatua Nyingine ya kuwadharau......

Ulipinga Mwanamke Kusoma Elimu Faradhil Kifayaa...nakukumbusha,ulinizodoa kuwa Wasiwe Aeronautic Engineers,Space Engineers,Surgeons na Pilots...kwani Inawafaa WANAUME TU...huku Ni kuwadharau....Ni Majuzi tu,UAE mdada Kichwa Balaa amerusha chombo anga za mbali...muislam na mwarabu Yule haya MKUFURISHE na umchape makofi uyapendayo.....Wanawake JIRANI Zake Wa Pale Damaam,Khobar,Jeddah na Najd wanapigania haki zao KUENDESHA MAGARI...😂😂😂 Isn't it INSANITY?!!!!

Innal Batwila Kana Zahuka...
Kijana jenga hoja, acha kulalamika.
 
Naendelea kunukuu....

Je ni usawa au kufanana kwa haki ?

Uwingi ni tofauti na ubora, na usawa ni tofauti na kufanana.

Usawa ni neno linalifurahisha, kwa sababu linaashiria hali ya kutobagua. Lina utukufu maalum. Linaamsha na kuleta heshima, hasa linapohusiana na haki. Ni neno zuri lilioje ‘Usawa na Haki.’ Mtu yeyote mwema atafurahishwa na uzuri wake. Lakini hatuwezi tukaelewa ni kwa jinsi gani mambo yalifika hatua hii kiasi cha kuwa wengine ambao walikuwa vinara wa sayansi na falsafa nao wanataka kuingiza mawazo yao juu ya kufanana kwa haki kati ya wanawake na wanaume huku kwetu.

Hii ni sawa na mtu kuuza viazi vitamu kwa jina la mapeasi.

(Mwisho wa kunukuu)
 
Baada ya kuona Wanawake hawana hoja za kutetea jambo lao zaidi ya hisia, uoga na kushindana, mimi naendelea kuwapa dondoo za watu wenye ufahamu juu ya mambo haya.

Naendelea kunukuu, na haya si maneno yangu.

"Msomi mashuhuri duniani wa kifaransa ambaye ni mwanasaikolojia, daktari wa upasuaji na mwanabaiolojia, Alexis Carrel, katika kitabu chake bora kabisa, ‘Man, the Unkown Being’ (mwanadamu kiumbe asiyefahamika), anakiri kuwa, kwa mujibu wa sheria ya maumbile, mwanaume na mwanamke wameumbwa tofauti na kwamba tofauti zao zinafanya haki na majukumu yao kuwa tofauti." (Mwisho wa kunukuu)

Huwa najiuliza, hawa wanawake wanapo dai haki zao huwa wanaegemea katika maumbile au yale maazimio yao ya haki za binadamu ?
 
Kijana jenga hoja, acha kulalamika.
Sawa Mkuu Wangu Al Akhy Jurjani...

Mbona Nimekujibu Ulichonielekezea....

Miye Si Mpenzi Wa Kula Nyama Zinazosafirishwa toka Mbali... ila Usinisahau Mgao Wa Kanzu Za Khalij Mabwana Wa Saud Watakapowaletea Mkuu Wangu😂😂😂.....

Najua Baada Ya Kuziuza...Na Nyingine Kuwapa WAKUSUDIWA WA SADAKA,ziko zitakazobaki....usinisahau Hata moja kaka 😁😁😁

Just Kidding buanaah

Una Gari hapo,plz usiwaige Wale Mazwazwa wa Al Saud,MFUNDISHE MKEO KUENDESHA banaaa😁😁


"Ruhhamahu Baynahum,tarahum Rukkaan Sujjadan,Yabitaghghuna fadhwillan Minna Llahi Waridhiwana...."
 
Sawa Mkuu Wangu Al Akhy Jurjani...

Mbona Nimekujibu Ulichonielekezea....

Miye Si Mpenzi Wa Kula Nyama Zinazosafirishwa toka Mbali... ila Usinisahau Mgao Wa Kanzu Za Khalij Mabwana Wa Saud Watakapowaletea Mkuu Wangu😂😂😂.....

Najua Baada Ya Kuziuza...Na Nyingine Kuwapa WAKUSUDIWA WA SADAKA,ziko zitakazobaki....usinisahau Hata moja kaka 😁😁😁

Just Kidding buanaah

Una Gari hapo,plz usiwaige Wale Mazwazwa wa Al Saud,MFUNDISHE MKEO KUENDESHA banaaa😁😁


"Ruhhamahu Baynahum,tarahum Rukkaan Sujjadan,Yabitaghghuna fadhwillan Minna Llahi Waridhiwana...."
Umejibu ambacho hukuulizwa.
 
Nimekumbuka kitabu cha mama yetu Penina Mhando NGUZO MAMA, kuna character anaitwa Chizi kama nakuona ukiwa kwenye nafasi yake.

All in all maamuzi yawe logical tu
 
Wewe ndiyo unajidhalilisha kusoma ni ibada au siyo ibada ?
Sasa okey tufanye kusoma ni ibada,yaani kusoma udaktari ni ibada,kusoma unesi ni ibada,kusoma urubani ni ibada twende kwa ufahamu wako huo.

Sasa ibada hizi za udaktari,urubani,unesi wanaruhusiwa wanaume tu kuzifanya na sio wanawake ?

Sasa sawa ni ibada je Ushahidi kuwa wanawake hawatakiwi kuzifanya ibada hizi uko wapi ?

Nadhani unatambua fika kuwa ibada yeyote akiruhusiwa mwanaume basi na mwanamke inamuhusu mpaka ije dalili ya kumvua mwanamke kuwa hii na hii haimuhusu.

Sasa huu udaktari,uhandisi,unesi kama hizi ni ibada wapi mwanamke kakatazwa asizifanye ?
Inabidi ukasome tena misingi ya kiusuli na kaida zake. Kaida hii ya kiusuli, ukiisema hivi bila kuichambua unawaachia watu ufahamu mbaya, na kuwapoteza watu.
Huo uchambuzi uweke wewe ili uwaongoe watu kinyume na ninavyofanya mimi sio kuwa na madai matupu ndugu jurjani.
Katika kaida hii chini yake kuna vipengele, vipengele ambavyo ndani yake vina kaida nyingine ya maslahi na mafasidi, katika asili chenye kuleta madhara ni haramu
Kwa hiyo kama chenye kuleta madhara ni haramu.

Maana yake udaktari ambao una maanisha ni ibada ni haramu kwa mwanamke udaktari huo ambao kwako kusomea ni ibada ?

Kwa hiyo urubani ambao pengine una maanisha ni ibada,hii ibada ya urubani ina madhara kwa m2anamke kusomea ?

Au unaposema jambo lenye kuleta madhara ni haramu huu msingi unahusiana nini na mada yetu hii inayohusiana na mwanamke kusomea fani hizo ?
Wewe leo hii ukila chakula, lakini kikawa kina dhuru kwa muda huo chakula hicho ni haramu kwako, na ukiendelea kukila na huku unajua kinakudhuru unapata madhambi.
Sasa uharamu wa chakula itakuwa kwako na sio kwa wote.yaani kama bata anakudhuru ukila bata anakuwa haramu kwako wewe na sio kwa watu wote hata wale ambao hawadhuriki na huyo bata.

Sasa zurri wewe pengine utasema bata ni haramu kuliwa na watu wote kwa kuwa ana kudhuru wewe ?

Kama atakuwa ni haramu kwako maana yake ni kuwa kwa wale ambao bata hawadhuru itakuwa ni halali.

Huu msingi unahusiana nini na mwanamke kusomea fani hizi za utabibu na urubani ?

Kama utasema kuwa zina madhara kwa mwanamke lazima auweke hayo madhara tuone kama kweli hayo madhara wanawake wote wanayapata ?

Kama hayawapati wote basi hapo hizo fani zitakuwa harmu kusomea kwa mwanamke ambaye kwake fani hizo zina mdhurua.

Na sio mwanamke tu hata mwanaume itakuwa haifai kwake kusoma fani hizo kwa sababu zinamdhuru.

Swala la msingi : HAYO MADHARA NI YAPI ?

Sasa hili la kusoma kwa kukusaidia, haliaangaliwi kijuu juu,bali lina pimwa katika uzani wa faida na hasara na kuangaliwa lipi bora zaidi kisha linatangulizwa. Rejea Majmui al Fatawa cha Shaykhul Islam Ibn Taymiyyah.
Labda wewe useme hasara gani zipo katika jamii kwa wimbi la wanawake kusomea udaktari labda na ualimu na urubani ?

Hizo hasara ambazo kweli zipo katika jamii ziorodheshe hapa watu wote tushuhudie إن كنت من الصادقين .


Kisha uniambie ni ipi nafasi ya nia katika matendo ?
Nia katika matendo mema ina nafasi kubwa tu,kama ambavyo hadithi zimebainisha hilo.

Wewe unataka kusemaje katika suala la nia ?
 
Niambie imani ya Uislamu imetumika wapi kumkandamiza mwanamke ? Ukionyesha hilo, mimi naomba uongozi wa "jf" waifute hii ID yangu na wewe utakuwa shahidi wa hili.
Uislamu unaangalia maslahi dhidi ya ufisadi bibie.

Hujaambiwa mwanamke kufanya biashara ni kosa na ndiyo maana tulisema huko nyuma ya kuwa mwanamke anaruhusiwa kumiliki mali, ila kwa njia ambazo ni salama kwake na si kwa njia ambazo mnapita nyinyi,njia za kushindana na wanaume


Sina haja ya kuandika risala ndefu kuonyesha uislamu unavotumika na baadhi ya wanaume kama wewe na kikundi cha taliban kuwarudisha nyuma, kuwadidimiza na kuwatawala wanawake. Uzi wako, mawazo yako na reply zako zinaprove yote hayo kwa ufasaha zaidi.
 
Kuamka kwao na kutafuta ujue ni jambo la kidharura na kuonyesha kuna sehemu haiko sawa, na usawa ni wao kuletewa na kutumia.

Sasa usilazimishe kosa likawa sio kosa, kwani kufanya hivyo ni makosa zaidi.

Kosa ni la kwenu nyie wanaume mmeshindwa kusimamia nafasi zenu. Mnawaza sunna ya kuoa wake wanne yani kila wiki upo busy kuwaza kutimiza wajibu kwa wake wote kwa usawa. Ukipiga viwili huku na kule upige viwili pesa utatafuta saa ngapi? Tupishe na itikadi zako za radio iman kukataza wanawake wasipige simu ety sauti ya kike ni shubha. Yani mnawaza ngono mda wote. Likija kwenye swala la kuwa nyuma kielimu na kimaendeleo haswa kwenye mikoa ya pwani kama tanga, lindi etc mnasema ety wakristo wapo kwenye system hvyo wanawapiga vita waislamu wasiendelee. Acheni kulalamika mda wote mpo kwenye vibanda vya kahawa mnapiga porojo na kucheza bao maendeleo mtapata wapi .wanawake wa kiislamu tumeamua kusoma na kujiendeleza kibiashara n.k mnaleta mawazo ya kusema tunashindana na wanaume. Hao wanaume wanaoshinda vijiweni kupiga soga? Acha basi unaudhalilisha uislamu akhy
 
Haupangiwi kitu hapa. Ni utaratibu unafuatwa.... Tutakaza hivi hivi hadi utasurrender na utafuta utaratibu wa jamii yako, huo umagharibi wako peleka huko kwa wazungu kwetu sisi wanaume wa kiafrika you must bow.... Aidha unataka au hautaki you will bow my dear..... Sisi hatuendeshwi na fikra za kike mnazodanganyana nazo huko Instagram au kwenye mitandao, uhalisia ni tofauti sana. Ndio maana wengi mnaendelea kuumizwa hisia zenu...... Its our job and duty kuserve and protect our culture.

Weak women like u who pretend to be strong au actually our failure.... So we shall fix you be it by will, choice or command u will and must bow before your culture.

Teh teh mkuu watu wanashindwa kufuata maandiko ya muumba sembuse hizo tamaduni za mababu?

Tukishakubali kuwa dunia imeshaharibika wala hatutaumizwa na haya mambo cha msingi tafuta galasa lako moja ambalo unaona utaweza kulivumilia mapungufu yake oa hilo ila mkitaka eti hii jamii wanawake wawe wakamilifu mtasubiri sana kwanza hakuna mkamilifu na hatakaa atokee!
 
Nimesumbuana Sana na ndugu yangu Jurjani...huyo ni wale PSYCHOPATH wanaomkandamiza mwanamke Kama ishara ya kuonesha masculinity Yao.....

Tatizo Ukimwambia ukweli ANAKUFURISHA na kusema ATAMCHAPA MTU MAKOFI.....

They are insecured moronic men...
Exactly! Huku wakijificha kwenye mgongo wa dini kuhalalisha upuuzi wao.
 
Haupangiwi kitu hapa. Ni utaratibu unafuatwa.... Tutakaza hivi hivi hadi utasurrender na utafuta utaratibu wa jamii yako, huo umagharibi wako peleka huko kwa wazungu kwetu sisi wanaume wa kiafrika you must bow.... Aidha unataka au hautaki you will bow my dear..... Sisi hatuendeshwi na fikra za kike mnazodanganyana nazo huko Instagram au kwenye mitandao, uhalisia ni tofauti sana. Ndio maana wengi mnaendelea kuumizwa hisia zenu...... Its our job and duty kuserve and protect our culture.

Weak women like u who pretend to be strong au actually our failure.... So we shall fix you be it by will, choice or command u will and must bow before your culture.

😂😂😂😂
 
Teh teh mkuu watu wanashindwa kufuata maandiko ya muumba sembuse hizo tamaduni za mababu?

Tukishakubali kuwa dunia imeshaharibika wala hatutaumizwa na haya mambo cha msingi tafuta galasa lako moja ambalo unaona utaweza kulivumilia mapungufu yake oa hilo ila mkitaka eti hii jamii wanawake wawe wakamilifu mtasubiri sana kwanza hakuna mkamilifu na hatakaa atokee!
Dunia inafeli sababu watu wazuri wamekaa kimya wakiacha watu wabaya wafanyaje wanachotaka.
 
Dunia inafeli sababu watu wazuri wamekaa kimya wakiacha watu wabaya wafanyaje wanachotaka.

Ndiyo hivyo hamna namna! Maana hata kiroho tunaambiwa muumba ndiyo ameruhusu haya maovu kwa sababu zake binafsi ambazo zinaelezeka!

Sasa kama muumba ameruhusu sisi wanadamu ni kina nani tuweze kuzuia? Tunashauriwa tukemee maovu kwa nafasi zetu ili mwisho wa siku tusije tukahukumiwa kwa kuyaona maovu na kuyakalia kimya lakini hebu jiulize tangu watu wameanza kukemea ni kipi kimebadilika zaidi ya dunia kuzidi kuharibika na mabaya kuzidi kupigiwa debe!
 
Kwahiyo ile sauti inayojibu namba ya mteja unayopiga haipatikani ni udhalilishaji[emoji849]

Vipi kuhusu mashoga wanaojiuza wao hawajidhalilishi?
Dah ila aiseee wewe dada sijui mamdogo una akili ndogo sana. Samahani kama nitakuwa nimekufedhehesha ila umefeli kutumia akili yako vizuri kwenye hili.

Hivi hata ukisoma hapo alichoandika huyu jamaa kina shabihiana na argument yako uliyojibia hapa?!

Kweli kizazi hiki ni kinapotea kwa kukosa maarifa na kuwa nan fikra ndogo.

Mimi nitajaribu kukuelewesha tena usipoelewa basi ubakie ulivyo maana sidhani kama uzito wako wa kuelewa mambo ya hii dunia utakuja nigharimu anytime soon.

Huyu uliyemjibu hapo alichomaanisha ni kuwa nyuma ya ajenda ya kumnyanyua mwanamke kumejificha matukio ya kumtumia bila yeye kujijua na kimsingi ni kama wale wale wanaodai kumkomboa ndio hao hao wanaanza mshusha sasa indirectly bila kujijua.

Mfano amekupa hapo, ni kwann wanawake ndio wanatumia katika maeneo ya ushawishi wa kibiashara kama point si kumuuzia mteja mwenye interest ya kingono ndipo avutiwe na kitu chenye mvuto wa ngono, yaani mwanamke. Si hata kwenye. Mabasi ya mkoani tumeona hayo mambo wanawaka wadada kuvutia biashara, Bar, mahoteli na hata receptionists wengi hutegwa wanawake......

Point yake ni kuwa mwanamke anapoolewa si kwamba asifanye kazi au kujazia kipato cha familia. Ila anajaribu kuiweka bayana kuwa kwa sasa mwanamke anakuwa busy sana na purukushani za maisha kiasi kwamba anakuwa na less efforts na time kwaajiri ya familia yake jambo ambalo ni chukizo na kinyume na maagizo ya MUNGU.


Sasa wewe umekazania katika kumpinga badala ya kuzungumzia hoja yake.....

Hoja ya mwenzako ni kwamba, kadili mwanamke anapojiweka mbali na maisha ya familia ndivyo anavyozidi kuwa katika mazingira ya ushawishi wa kufanya maasi kama kuwa na mwenzi nje ya ndoa, kuzaa nje ya ndoa, kutokujali ndoa, kuingia katika ulevi na ukahaba wa kisasa, na kadhalika.
 
Ndiyo hivyo hamna namna! Maana hata kiroho tunaambiwa muumba ndiyo ameruhusu haya maovu kwa sababu zake binafsi ambazo zinaelezeka!

Sasa kama muumba ameruhusu sisi wanadamu ni kina nani tuweze kuzuia? Tunashauriwa tukemee maovu kwa nafasi zetu ili mwisho wa siku tusije tukahukumiwa kwa kuyaona maovu na kuyakalia kimya lakini hebu jiulize tangu watu wameanza kukemea ni kipi kimebadilika zaidi ya dunia kuzidi kuharibika na mabaya kuzidi kupigiwa debe!
Sababu ya watu kama wewe ambao wanakubaliana na uovu kutokea huku sisi tukitazama.


Huna tofauti na mtu ambaye anaona mtu anazama katika maji au anahaha kutafuta hewa baada ya kupatwa na presha unakazana kurekodi video ya kupost hilo tukio badala ya kufanya chochote kumuokoa unabakia kusema siku yake imefika kazi ya MUNGU haina makosa.....

Huko ni kukosa hekima ya ki MUNGU ndani yako. Na inawezekana umekata tamaa na unaona ni sawa tu hayo maovu yaendelee ila kama unachukizwa kwa nafasi yako at least utakemea.
 
Back
Top Bottom