Hakuna sehu uliyo ni challange mzee, onyesha tu.
Pili, huwa hatulei ujinga, ndiyo maana nataka ujihukumu mwenyewe kwa kuabdika mambo ya uongo.
Tatu, nilikwambia ya kuwa Shaykh mule hakuandika maoni yake zaidi ya Hadithi na Qur'aan, sasa unaposema shaykh ni Wahabi na unashindwa kuthibitisha hilo, huu ni ujinga. Sasa usitafute kichaka kwa kukimbia hoja kwa madau umekubali nasaha.
Nne, wewe huwezi kunithibitishia ya kuwa siyo Mshia sababu mna msingi wenu katika dini yenu unaoitwa Taqiyyah, ya kwamba mnaficha imani zenu na kudhihirisha imani nyingine.
Hakuna anae pinga kukosolewa kwa elimu na insafu.
Pili, hakuna Ijmaa wala Qiyaas katika lile jambo mzee, pale tunaongelea kitabu kilicho zungumzia damu ya ada ya wanawake,na nikasema ni kitabu kizuri na shaykh ameandika jambo kwa mujibu wa Qur'aan na Sunnah, na kwa munasaba wa kuwajua wanawake ni kuwa shaykh anawajua vyema kuliko wanavyojijua wao kwa sababu shaykh ametumia nukuu toka kwa yule ambao amewaumba,sasa unapo ongelea mambo "Ijmaa na Qiyaas" nitakuuliza katika nini ? Kwamba hedhi siyo ada ya wanawake au vipi ? Sasa tuliza akili na ujikite katika kile kinachozungumziwa katika hoja husika.
Sasa shaykh aliandika story au dini mule ndani kijana ?
Sasa embu niambie wewe, habaru za wanawake na ada zao huwa unarejea katika kitabu gani au kwa msomi gani ? Nacheka sana, unavyo ruka ruka.
Hakuna anae pinga ya kuwa elimu ni bahari, sasa weka elimu yako ambayo inaenda kinyume na Qur'aan na Hadithi katika jambo hilo. Sasa usiishie kusema elimu ni bahari bila kukosoa hoja yangu kwa kutumia hiyo elimu unayo sema wewe. Hizi ni daliki za kuishiwa hoja na huna hoja katika hili zaidi ya ujinga na matamanio ya nafsi tu.