Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,810
- 5,043
Jambo ambalo hulijui ni bora ukalikalia kimya.
Qur'aan na Hadithi zinategemeana, na hakikai kimoja bila ya kingine.
Jana nilikuuliza swali ambalo nilijua huwezi kulijibu na nilifanya hivyo kuonyesha ujinga wako. Nilikuuliza Qur'aan imekufikiaje leo hii au umeijuaje ?
Mtume maisha yake yote baada ya kupewa utume alikuwa anaielezea Qur'aan na kuifasiri, sasa unaweza kunionyesha katika Qur'aan namna ya kusali au namna ya kuosha maiti na kuzika ?
Sasa ndiyo maana nikasema wewe si muislamu na hujui kama wewe si muislamu.
Chief!!
Kwanza nikutengue kwa kusema sielewi chochote katika Quran tukufu!! Unapwaya tena hovyo hovyo!!
Swali lako la jana nimelijibu kiimani zaidi!; “Huna mamlaka ya kuamua hukumu juu ya mja yoyote kwa kiwango chochote!
Kingine Chief ; kupata uelewa wa namna vile bainaadam twafaa kuishi sio juu yako ila ni haki ya muumba wa Ardhi na mbingu!!
Kikubwa huna maana!! Wewe ni wale wanamume dhaifu wategemeao “dini” kuhakiki matakwa yao!!
***Kiufupi huna dira wala kabira! Unatamba na wakati tu!
Adios!!