Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Unakimbilia wapi na kunijibu Vipi Kuwa UMENIPA JIBU lililojitosheleza ?!!!!!!
Wewe mwenyewe umekuwa mjibu na HAKIMU...kweli hamnazo!!
Jibu nililo kupa laiti kama ungekuwa na akili, ungekomea pale, maana habari za al Imaam al Ghazali kwa Wanafalsafa ni nzito, wewe si unawaona kwamba ni vichwa sana na unawareja, sasa kipindi cha uhai wa al Ghazali, hakuna walio onekana ni Wajinga katika mgongo wa ardhi kuwazidi Wanafalsa. Sasa soma hicho kitabu uijue Falsafa na uwajue Wanafalsafa, ndiyo maana nimekwambia nimekupa jibu lilijitosheleza.
Na hii inaonyesha Ni jinsi gn ulivyokosa elimu ya MIJADALA na uwezo wake zaidi ya kulazimisha wengine Mambo UNAYOAMINI na UYAJUAYO binafsi.....
Hapa labda nikufundishe wewe, mimi nimesoma kitabu kiitwacho "Adabul Bah'th wal Munadhara (The Etiquette of Debate and Research) cha Imaam ash Shanqity. Kwahiyo najua nini nachokifanya.
Niende kwenye tafsiri yako ya FALSAFA ambayo umenijibu baada ya kukulazimisha UNIPATIE...well,umesema mwenyewe "hoja za mantiki"...
Je hiyo haifundishwi ndani ya mitaala ya dini ya kiislam?!!Nini Maana ya IJMA WAL KIYAAS?!!!
Nacheka sana, Elimu ya mantiki kihistoria ni Elimu mpya katika Ulimwengu wa Kiislamu. Historia yake ni Baadhi ya Waislamu kuichukua kutoka kwa Wakristo walioshi Jordani ya zamani na kwa Wale Sabaia, hii iliwaathiri sana na kuwapelekea kukanusha sifa za Allah kwa kufata mawazo ya kina Aristosto. Miongoni mwa wasomi hao wa Kiislamu ni akina Ja'ad bin Dirham, kina Abul Ma'al al Juweinyi, lakini hao baadhi yao kabla ya hawajafa walitubia kwa Mola wao na kujutia muda walio upoteza katika Elimu ya Mantiki. Soma vitabu kama "Swaun al Mantiq" cha Imaam Jalaludin as Suyuti ameidhoofisha mno fani hiyo, soma kadhalika kitabu "Dham al Kalam wa ahlihi" uone ya kuwa Mantiki ni nusu uchizi na siyo fani ya mtu kusoma sababu inamfanya mtu awe mjinga zaidi.
 
Mbona unanifokea hivo bandiko refu wee Kama mlima Kilimanjaro yote hyo ni kutaka tu ku prove insecurities zako towards women's aaah.
Mimi Mungu aliye ndani yangu na mwamini na Hana Mambo ya hovyo yakinafiki nafiki kutaka kuonea watu, Hana unafiki na ana upendo wa kweli, huyo ndo Mungu.
Halafu umeandika Mambo mengi ambayo in real sense doesn't make sense at all to me and people who are civilized, foristance wewe umeandika Mambo mengi ya kulaumu wanawake as if wanaume Ni malaika maana mungekuwa vizuri msingejaa kwenye majela, mwavuta bangi na uteja so before blaming wanawake Anza kubadilisha wanaume wenzako ikiwemo wewe ili mubadilike, Yani ondoeni maboriti kwenu kwanza.
Pia umeandika kuhusu wanawake kuvaa nguo wewe Ni Nani wakupangia wanawake chakuvaa hata tukipost nyonyo Ni sisi kwanini wewe uumie sisi tukipost nyonyoz zenu na mavazi yetu wewe vaa buibui it's okay usitupangie.
Halafu kabla yakuja wazungu na waarabu tulikuwa hatuvai nguo na watu hawakuwa na shida yoyote na maadili yalikuwa juu, sikuhizi watu wavaa baibui na kininja Ila ndo wachafu watabia na watu wamejaa unafiki kisa dini za wazungu na waarabu zimewagunfisha ujinga
Nimeshakuona, unapost for the sake of argument na sio serious discussion.

Kama unahisi kushinda ubishi ndio werevu basi unasafari ndefu sana kujifunza maisha yanavyokwenda.

But in this case looser takes it all...... You call.
 
Acha Kwenda mbele na kurudi nyuma.....mashia wameitwa hivyo baada ya kuwa Ni wafuasi wa imam Ali RA kwa hoja zao wenyewe.....
Nacheka sana, Mashia wamejiita hivyo wao wenyewe, ndiyo maana na sisi tunawaita hivyo.

Ila Wahabi ni jina ambalo watu wa kwanza kuwaita ni Mashia. Hii ni baada ya utawala wa Saudia kuwazuia wasifanye shirki zao katika ardhi takatifu ya Makka. Kwahiyo kwa chuki zao wakaanza kuwaita watu wa haki kuwa ni Wahabi.
 
Mbona unanifokea hivo bandiko refu wee Kama mlima Kilimanjaro yote hyo ni kutaka tu ku prove insecurities zako towards women's aaah.
Mimi Mungu aliye ndani yangu na mwamini na Hana Mambo ya hovyo yakinafiki nafiki kutaka kuonea watu, Hana unafiki na ana upendo wa kweli, huyo ndo Mungu.
Halafu umeandika Mambo mengi ambayo in real sense doesn't make sense at all to me and people who are civilized, foristance wewe umeandika Mambo mengi ya kulaumu wanawake as if wanaume Ni malaika maana mungekuwa vizuri msingejaa kwenye majela, mwavuta bangi na uteja so before blaming wanawake Anza kubadilisha wanaume wenzako ikiwemo wewe ili mubadilike, Yani ondoeni maboriti kwenu kwanza.
Pia umeandika kuhusu wanawake kuvaa nguo wewe Ni Nani wakupangia wanawake chakuvaa hata tukipost nyonyo Ni sisi kwanini wewe uumie sisi tukipost nyonyoz zenu na mavazi yetu wewe vaa buibui it's okay usitupangie.
Halafu kabla yakuja wazungu na waarabu tulikuwa hatuvai nguo na watu hawakuwa na shida yoyote na maadili yalikuwa juu, sikuhizi watu wavaa baibui na kininja Ila ndo wachafu watabia na watu wamejaa unafiki kisa dini za wazungu na waarabu zimewagunfisha ujinga
Tukipewa mic uprove unachosema na mimi prove hoja yangu nakuhakikishia utatapika kwa kuchemka.....
 
Unajua Jurjani Mimi Ni kijana mkubwa,sasa km mwenzangu una miaka 25 kushuka chini,ni Bora nikakuacha uendelee mwenyewe....Kwani hata Mimi nilipokuwa na AGE hiyo nilikuwa na pupa ya kutaka kufundisha wengine kitu KIPYA NILICHOJIFUNZA.....
Sasa ukubwa wako haujakusaidia chochote katika maarifa na elimu, kwahiyo usijifarague kwa jambo ambalo halikunufaishi, unazidi kuonekana mjinga mbele ya werevu.

Sasa mimi sina pupa ya kufundisha wengine kitu kipya, bali nina pupa ya kufikisha haki, bila kujali lawama za wenye kulaumu.

Sasa ninapo andika elimu na wewe unatakiwa uandike Elimu. Hivi hujaona tu mpaka muda huu tofauti yangu na wewe Mimi naandika Elimu na kuwekea marejeo wewe unaleta ngonjera na kutia huruma.
 
Aliyesoma Hadi mwisho anieleze kwa kifupi
kifupi huyu mleta mada ana
  • WIVU KWA WANAWAKE HUENDA WAJUMBE WAMEMZIDI KURA ZA MAONI
  • AMENYANG'ANYWA BIBI KWA KUWA HANAKITU/ELIMU au MWELEKEO
  • HATAKI WAINGIE MAKAZINI NA MABARABARANI WAPAMBANE NA WANAUME
  • ANA MTAZAMO NA MLENGO WA KIDUME HAKATAKI BEIJING KABISA
 
Mada Nzuri bahati mbaya wengi vilaza wameshindwa kuelewa lengo hasa la mada, Ndo basi tena
 
Mawahabi wameitwa hivyo baada ya kuwa wafuasi wa Mohammad ibn Wahhab wa kule Najd....Haina Maana alikuja na dini yake...la hasha yy Ni muislam ambaye alikuwa katika kuhitilafiana na WAISLAM wengine waliokuwa na mtazamo wao....
Shaykh hana Wafuasi kijana, soma vitabu vyake uone, maana nyinyi huwa mnasikiliza maneno ya watu bila kusoma vitabu vya muhusika, kwahiyo mnapotezwa nyinyi na kuwapoteza wenzenu.

Sasa unasemaje shaykh anawafuasi wakati alikuwa anasisitiza watu wamfate mtume na Qur'aan, na waache shirki ?

Kwahiyo watu kuitwa kwa nisba fulani kwa hakika haimaanishi ni wafuasi wa mtu fulani, bali watu wa haki huitwa hivyo kwa lengo la kuwachafua.
 
Jibu nililo kupa laiti kama ungekuwa na akili, ungekomea pale, maana habari za al Imaam al Ghazali kwa Wanafalsafa ni nzito, wewe si unawaona kwamba ni vichwa sana na unawareja, sasa kipindi cha uhai wa al Ghazali, hakuna walio onekana ni Wajinga katika mgongo wa ardhi kuwazidi Wanafalsa. Sasa soma hicho kitabu uijue Falsafa na uwajue Wanafalsafa, ndiyo maana nimekwambia nimekupa jibu lilijitosheleza.

Hapa labda nikufundishe wewe, mimi nimesoma kitabu kiitwacho "Adabul Bah'th wal Munadhara (The Etiquette of Debate and Research) cha Imaam ash Shanqity. Kwahiyo najua nini nachokifanya.

Nacheka sana, Elimu ya mantiki kihistoria ni Elimu mpya katika Ulimwengu wa Kiislamu. Historia yake ni Baadhi ya Waislamu kuichukua kutoka kwa Wakristo walioshi Jordani ya zamani na kwa Wale Sabaia, hii iliwaathiri sana na kuwapelekea kukanusha sifa za Allah kwa kufata mawazo ya kina Aristosto. Miongoni mwa wasomi hao wa Kiislamu ni akina Ja'ad bin Dirham, kina Abul Ma'al al Juweinyi, lakini hao baadhi yao kabla ya hawajafa walitubia kwa Mola wao na kujutia muda walio upoteza katika Elimu ya Mantiki. Soma vitabu kama "Swaun al Mantiq" cha Imaam Jalaludin as Suyuti ameidhoofisha mno fani hiyo, soma kadhalika kitabu "Dham al Kalam wa ahlihi" uone ya kuwa Mantiki ni nusu uchizi na siyo fani ya mtu kusoma sababu inamfanya mtu awe mjinga zaidi.
Umenijazia ABRACADABRA wee...

Elimu ya Mantiki Umesema Ni mpya?!!
Huo upya ni kwa kuwa imekuja baada ya mtume saw KUONDOKA ama?!!

Na km NDIVYO,je mtume saw,alifundisha balagha,nahau,jurisprudence ya UISLAM?!!

Utachekwa,Maana Hata hiyo collection ya Quran kuwekwa KITABUNI hakuacha mtume mtukufu wa darja s.a.w.....

Halafu unazd kunionyesha Ulivyokuwa wa ajabu....eti Elimu ya Mantiki imechukuliwa UKRISTONI...mbona mtukufu wa darja aliwasalimisha maswahaba kwa mfalme Najjash kule Ethiopia?unataka kunena kuwa SAFARI ILE YA KWENDA HABASH ETHIOPIA kwa WAKRISTO,Allah hakumfunulia mtume Muhammad?!!!

Na km NDIVYO unataka kuniambia kuwa wale maswahaba walikaa kule miaka Mingi na kuwafanya kutojifundisha lolote ZURI KUTOKA kwa wale wakristo?!!!

Ndio Mana Allah anasema "LAU KAMA LLBAHARU MIDADA LIKAKIMATI RABBI,LANAFIDAL BAHRU KABLA AN TANFADA KALIMATU RABBI..."

Elimu Ni bahari ewe Jurjani....
Acha kabisa kufanya Ina ALPHA na Omega..kwa tu,kuwafanya walimwengu wote wawe na REJEA kwa Masheikh wenu tu akina Uthaymeen unaojitapa nao KILA UCHAO......

Elimu imeanzia kwake Allah,na humpa amtakaye..Si Jurjani pekee....

Huwal awwalu Wal akhir.....

Wahabi bnaa mko NARROW MINDED kupita kiasi,haishangazi MKAIMILIKI ELIMU YA HEDHI YA WAKE ZETU zaidi ya wanawake wenyewe....😂😂😂
 
Usisahau nilikupa rejea ya AKHTAR RIZVI akiwachambua mawahabi,kilichotokea Ulinituhumu Mimi kuwa Ni MSHIA....😁😁😁daah nyinyi na mashia sijui Vita YENU itaisha lini?!!!Mna Mambo
Inaonekana hiki kitabu hujakisoma kijana, ngoja nikupe dokezo juu ya kile alichokiandika Rizvi kisha uone ya kuwa ni mkweli au anaficha Uyahudi.

Katika kitabu chake kuna mlango una anuani hii "MAPINDUZI YA KIISLAMU NA HUJUMA ZA KIWAHABI" (Kama unacho hicho kitabu utajisomea).

Kisha chini ya hiyo anuani akaandika haya yafuatayo :
"Kwa hakika Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran yameleta mshituko
mkubwa katika ghuba,...."

Sasa unajiuliza, kwalipi au kipi, Irani ilifanya mapinduzi ya Kiislamu ? Uislamu gani unao elezewa na Mashia ? Lakini kwa hili wanadai wanafanyiwa fitna na watu wa haki.

Nacheka sana...
 
Bila Ya Samahani Yoyote Mkuu Wangu.

Nami Pia Ni Muislam Kama Jurjani...

Nilianza Nae Parefu Mpaka Mimi Kufikia Huko....Yeye Alianza Kunipa Kedi Ninachoamini Kwa Muktadha Wa TOFAUTI za madhehebu yetu,nami nikaamua KUMBURURA KIDOGO juu ya miba kwa Muktadha Wa "Ukiwa ktka nyumba ya vioo usiutake ugomvi Wa mawe"...

Ilikuwa NI kumzindua atumie Sana mizani ya FACTS ndani ya mada tajwa kuliko REJEA za viongozi Wa madhehebu yake ALIYOMO Mana alinitajia UTHAYMEEN et al....wanaojua alichomrejea,watafahamu ninamaanisha Nini.....

All and All Asante Sana mkuu wangu na hujanikwaza komredi!

Yap
Imam Ally Al Zayn Al Abidin ambaye ni mtoto wa Imam Hussein R.A ambaye ni mjukuu wa Mtume. Imam wa Ahlul Bayt katika zama zake. Siku moja alikwenda Kaaba akienda kusali na mara baada ya kumaliza kusali akatoka nje ya msikiti akakutana na mmoja miongoni mwa watu waliyokuwa wakiwachukia Ahlul Bayt.

Yule mtu alivyomuona akamtamkia mbele ya watu kwa kumuuliza; wewe ndiye yule unayejulikana kama Zayn?! Imam akamjibu naam! Ndiye mimi. Yule mtu akaanza kumtamkia maneno mabaya yasiyopendeza kwa mtu yeyote. Watu waliyokaribu wakapandwa na hasira! Imam Ally Al Zayn akawazuia akawaambia muacheni.

Baada ya yule mtu kumaliza kumzungumzia kwa ubaya Imam akamwambia; "Ewe ndugu yangu! Yote uliyoyasema juu yangu upo sahihi! Ikiwa ukihitaji chochote kutoka kwangu mbali na haya uliyonipatia nakukaribisha karibu mikono yangu ipo wazi"

Tusighadhibike kwa ambaye atakayetuandika ama kujadiliana na baadhi ama nawe vibaya. Nenda naye kwa upendo. Nafahamu unachokizungumzia kuhusu hao ndugu zetu salafi. Nafahamu movement zao. Nimeshaitwa Shia na mengineyo.

Sheikh Khwaja Moinudeen Chishti Hassani Sanjari Ajmeri (r.a) alikuwa ni mtu anayemkumbuka Mungu sana akifanya adhkari kwenye mlima wa Khorasan. Alikuwa akisema Uislam ni mahaba! Yeyote atakayekuja atapata mahaba! Mahaba yasiyokuchagua, yeyote karibu.

Nilichokifahamu wema waliyotangulia walikuwa ni wanyenyekevu na wenye huruma mnoo licha ya kuwa na elimu kubwa waliyokuwa nayo na hii sifa wameirithi kutoka kwa Mtume Muhammad swallallahu alayhi wasallam. Ndicho kilichokuwa kipimo chake. Kadri Mungu alivyompa elimu ndivyo kadri alivyozidi kuwa mnyenyekevu zaidi.

Lakini umma wa kileo wetu kadri ya watu wanavyozidi kusoma ndivyo kadri anavyozidi kujiona bora kuwa mimi najua wewe utanieleza nini! Kadri anavyozidi kusoma ndivyo kadri anavyozidi kuwaona wenzake wanakosea zaidi na yeye yupo sahihi zaidi. Kadri anavyozidi kusoma ndivyo kadri anavyozidi kuwa mkali zaidi. Kwa hakika hii tabia ni tabia ya sheytwani rrajiim.

Mungu atubariki na atusamehe madhambi yetu.
 
Aaaamin sote aaaaamin.
😍😍Daaaaah exquisite....thanks Al akhiy.......
👍👍👍👍
 
Elimu ya Mantiki Umesema Ni mpya?!!
Huo upya ni kwa kuwa imekuja baada ya mtume saw KUONDOKA ama?!!
Elimu ya mantiki ni mpya kijana, nitakuuliza swali, niambie Elimu hiyo chimbuko lake ni wapi ? Katika Uislamu, husomi historia kijana ? Nakukumbusha tu kila kitu kimeshaandikwa juu ya mambo haya ya kielimu.
Na km NDIVYO,je mtume saw,alifundisha balagha,nahau,jurisprudence ya UISLAM?!!
Hizi ulizo zitaja, zina asili toka katika Qur'aan na Hadithi, yaani machimbuko yake na asili ya hizo fani ni humo. Ila Elimu ya Mantiq kiasili si ya Waislamu na haipatikani katika machimbuko ya Uislamu, hapa unaonyesha wazi huijui Mantiki kijana. Sasa kasome ndiyo uje hapa tujadiliane kuhusu hili.
 
Elimu ya mantiki ni mpya kijana, nitakuuliza swali, niambie Elimu hiyo chimbuko lake ni wapi ? Katika Uislamu, husomi historia kijana ? Nakukumbusha tu kila kitu kimeshaandikwa juu ya mambo haya ya kielimu.

Hizi ulizo zitaja, zina asili toka katika Qur'aan na Hadithi, yaani machimbuko yake na asili ya hizo fani ni humo. Ila Elimu ya Mantiq kiasili si ya Waislamu na haipatikani katika machimbuko ya Uislamu, hapa unaonyesha wazi huijui Mantiki kijana. Sasa kasome ndiyo uje hapa tujadiliane kuhusu hili.
Elimu ya Mantiq SI mpya ACHA KUKIMBIA...

Ni sawa na useme ETI CHUO KIKUU ni mahali papya mno tofauti na zile MADARIS za kale......

Jurjani usibimbirikebimbirike bnaa
 
Usijadili jambo la kielimu kihuni, kila kitu kimeandikwa. Nimekuuliza niambie chimbuko la Elimu ya Mantiki ni toka kwenye Qur'aan au Hadithi ? Humu ndimo kuna machimbuko ya elimu zote za Uislamu. Sasa usikimbie swali.
 
Tukipewa mic uprove unachosema na mimi prove hoja yangu nakuhakikishia utatapika kwa kuchemka.....
Sawa mkuu tafta hyo mic tu proviane wrong. Mimi siwezi tapika Mimi Mimi ndimu mkata shombo la kichefu chefu chochote
 
Nasi Babu zetu Walifanya mapinduzi Zanzibar kumpindua SULTAN na kusimika TULIYOYATAKA na Kuendelea na muktadha wake ndani ya CCM....
Usichanganye hoja kijana, mapinduzi ya Zanzibar si ya kidini, mapinduzi ya Irani yananasibishwa na Uislamu, ndiyo nataka utuonyeshe Uislamu wake uko wapi ?
 
Nimeshakuona, unapost for the sake of argument na sio serious discussion.

Kama unahisi kushinda ubishi ndio werevu basi unasafari ndefu sana kujifunza maisha yanavyokwenda.

But in this case looser takes it all...... You call.
Na argument yoyote Kuna kukubaliana au kutokubaliana and I'm serious na Wala sito kushindana hapa kwani Kuna hela useme napata, it's just a matter of discussion and not competition.
 
Ndio Mana mawahabi wa Al Saud ni Pete na kidole na IMPERIALISTS WORLD...
Sasa nakuuliza Uislamu unakataza kushirikiana na Makafiri katika mambo ya kimuamala ?

Kijana unaegemea wapi ? Naona unaruka ruka tu, huna hoja.
 
Back
Top Bottom