Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,826
Well i know u know me......! The issue ni kwamba sisapoti ajenda Nyuma ya 3rd wave feminism sababu ni za kifashist.Wewe tumeshakutana sana kwenye nyuzi nyingi kama hii na kila nilichokuwa nasema kuhusu maovu ya wanaume ulikuwa lazima upinge na ulikuwa mmoja wa waliokuwa wananiita feminist mara activist! Unafikiri sikumbuki?
Na hata wanawake wenyewe wanazitoa dosari. Sababu wao ajenda yao kubwa ni kutaka ligi na jinsia ya kiume ndio maana ajenda zao zinakwama hata wanawake wenzao wanaziwekea question mark.
Sasa ulitaka nikusapoti katika ajanda hizo.....?!
Mimi pia ni miongoni mwa wadau wa kutetea stahiki na haki halisi za mwanamke na hata ukinambia nikupe makabrasha yangu ya ufahamu juu ya haki halisi za wanawake utastaajabu kujua ninachojua......
So don't get it twisted or getting wrong, i support basic females rights agenda but not 3rd wave feminism bullshit crap like the one most of you ladies seem to support and propagate about on these social media platforms. Eg. Kukaa nje hadi usiku kurudi muda unajisikia, kuwa na rafiki wa kiume na kuwa nao around katika mazingira tatanishi, kuwa na kipato na kujiendeleza binafsi na kutohusisha mali na assets zako kwa mumeo na watoto. Huu ndio upuuzi ambao wewe na wengine huwa mnatetea na hamtakuta siku nimewasapoti na ingekuwa live tayari ningeshakuwa violent kwa kutembeza kichapo maana kuna wanawake bila kuzabuliwa vichwa vyenu havifanyi kazi msyuuuuuuuuu . [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]