Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Kaka

Huna hukumu juu yangu ila Allah shahidi na Muumba wa vyote vyenye uhai ndani ya ardhi na katika arshi!! Wewe mamlaka ya kutambua kufuru umeyatoa wapi??

Na kama mimi nimkosa Allah anihukumie na sio somebody calling themselves “Jurjani!” [emoji57][emoji57]
Jibu swali nililo kuuliza.
 
Ndio mmeacha majukumu yenu na wengi wenu bado mna mfumo dume
Hapa sijaluelewa bibie unamaanisha nini ?

Bibie mbona hutulii, kwani lililo wasabisha nyinyi mtoke majumbani ni baada ya sisi kuacha majukumu yetu, au ni maazimio ya haki za binadamu na uwana harakati ? Mbona unakuwa muzabizabina hujui wapi pakushika ?
 
Samahani kama nimeingilia yasiyonihusu. Bila shaka kwa uliyiyaandika unamgusia mleta Uzi. Binafsi sikubaliane kwa hoja yake na ni Muislam pia. Nafikiri ni bora zaidi ukajadiliwa mtizamo wake kuliko yeye mwenyewe binafsi. Licha ya kwamba mtizamo wake ni wa kutatiza ni heri zaidi kumvuta karibu na kumfahamisha. Pengine katika hilo heri inaweza ikapatikana vilevile. Itumike mbinu ya kumfahamisha, isitumike mbinu ya kumzodoa.

Samahani kama nitakuwa nimekukwaza.

Bila Ya Samahani Yoyote Mkuu Wangu.

Nami Pia Ni Muislam Kama Jurjani...

Nilianza Nae Parefu Mpaka Mimi Kufikia Huko....Yeye Alianza Kunipa Kedi Ninachoamini Kwa Muktadha Wa TOFAUTI za madhehebu yetu,nami nikaamua KUMBURURA KIDOGO juu ya miba kwa Muktadha Wa "Ukiwa ktka nyumba ya vioo usiutake ugomvi Wa mawe"...

Ilikuwa NI kumzindua atumie Sana mizani ya FACTS ndani ya mada tajwa kuliko REJEA za viongozi Wa madhehebu yake ALIYOMO Mana alinitajia UTHAYMEEN et al....wanaojua alichomrejea,watafahamu ninamaanisha Nini.....

All and All Asante Sana mkuu wangu na hujanikwaza komredi!

Yap
 
Kikana tofauti yangu na wewe ni hapa, mimi naandika elimu wewe unaandika maoni, nimekuuliza mimi ni dhehebu gani, kisha tumia Uislamu kuthibitisha ya kuwa ho ni dhehebu basi, sasa hili hukuliweza na hutaliweza.
 
Shout out kwa wanawake wote wanaojituma katika shughuli mbalimbali kwa ajili yao na familia zao. Muumba azidi kuwatia nguvu na nia mfikie malengo yenu.

Ombi langu msione mmefanikiwa mkaanza kutupangia ratiba ngumu za papuchi, mtatufanya tusione umuhimu wa mnachokifanya maana haka ndo kaugonjwa kakurithi tuliko nako
😂😂😂😂😂😂😂Loooh ha h a ha ha
 
Bila Ya Samahani Yoyote Mkuu Wangu.

Nami Pia Ni Muislam Kama Jurjani...

Nilianza Nae Parefu Mpaka Mimi Kufikia Huko....Yeye Alianza Kunipa Kedi Ninachoamini Kwa Muktadha Wa TOFAUTI za madhehebu yetu,nami nikaamua KUMBURURA KIDOGO juu ya miba kwa Muktadha Wa "Ukiwa ktka nyumba ya vioo usiutake ugomvi Wa mawe"...

Ilikuwa NI kumzindua atumie Sana mizani ya FACTS ndani ya mada tajwa kuliko REJEA za viongozi Wa madhehebu yake ALIYOMO Mana alinitajia UTHAYMEEN et al....wanaojua alichomrejea,watafahamu ninamaanisha Nini.....

All and All Asante Sana mkuu wangu na hujanikwaza komredi!

Yap

Feminism is defined as the belief in the social, political, and economic equality of the sexes.[1]
The goal of feminism is to challenge the systemic inequalities women face on a daily basis.[2]
Contrary to popular belief feminism has nothing to do with belittling men, in fact feminism does not support sexism against either gender. Feminism works towards equality, not female superiority.[3]
Feminists respect individual, informed choices and believe there shouldn't be a double standard in judging a person. Everyone has the right to sexual autonomy and the ability to make decisions about when, how and with whom to conduct their sexual life.[4]
There isn't just one type of feminism, there are a variety of feminist groups including: girlie feminist, third-wave feminist, pro-sex feminist, and so on. All these groups aim to deal with different types of discrimination women, and sometimes men, face.[5]
Women earn 78 cents for every dollar a man makes.[6]
Only 17% of the seats in Congress are held by women.[7]
Although 48% of law school graduates and 45% of law firm associates are female, women make up only 22% of federal-level and 26% of state-level judgeships.[8]
Even in the 10 top paying jobs for women, females earn less than men; only one career, speech pathology, pays the same regardless of gender.[9]
Despite previous attempts to ratify a UN treaty guaranteeing the elimination of all forms of discrimination against women, the U.S. refuses to support an international bill of rights for women signed by nearly every other nation on the planet.[10]
What feminists want the world to know, or at least acknowledge is the different ways men and women are treated, and although there have been great strides towards equality, women and men are far from playing on the same field.[11]

Tafadhali zingatia sentesi ya mwisho! Shukran [emoji120]
 
Kikana tofauti yangu na wewe ni hapa, mimi naandika elimu wewe unaandika maoni, nimekuuliza mimi ni dhehebu gani, kisha tumia Uislamu kuthibitisha ya kuwa ho ni dhehebu basi, sasa hili hukuliweza na hutaliweza.
Jurjani nimeshaonywa...nafikiri BUSARA ichukue mkondo wake...
Unapoongelea ELIMU ujue Ni bahari...."Lau Kama lbaharu midada likalimati,lanafidal bahru Kabla an tanfada kalimatu rabbi..."

Ulirejea elimu ya kitabu Cha Muhammad ibn UTHAYMEEN kuwa kipekee ndiye anayefahamu ADA(menses) ya wake zetu....nilipokuchallenge,nawe ukanizodoa kuwa mm mshia...nikakujibu siko Huko....

Elimu Ni bahari...unapoitoa Basi juwa kuwa unaweza ukapingwa kwa elimu nyingine usiyoiREFER....
Apart kwa ulichonukuu kuna IJMA WAL KIYAAS,wewe uling'ang'ana na huyo sheikh wako TU kwa kutulazimisha TUJING'ANG'ANIZE kwake....
 
Shkamoo Kaka! [emoji119]
 
Feminism is defined as the belief in the social, political, and economic equality of the sexes.[1]
The goal of feminism is to challenge the systemic inequalities women face on a daily basis.[2]
Contrary to popular belief feminism has nothing to do with belittling men, in fact feminism does not support sexism against either gender. Feminism works towards equality, not female superiority.[3]
Feminists respect individual, informed choices and believe there shouldn't be a double standard in judging a person. Everyone has the right to sexual autonomy and the ability to make decisions about when, how and with whom to conduct their sexual life.[4]
There isn't just one type of feminism, there are a variety of feminist groups including: girlie feminist, third-wave feminist, pro-sex feminist, and so on. All these groups aim to deal with different types of discrimination women, and sometimes men, face.[5]
Women earn 78 cents for every dollar a man makes.[6]
Only 17% of the seats in Congress are held by women.[7]
Although 48% of law school graduates and 45% of law firm associates are female, women make up only 22% of federal-level and 26% of state-level judgeships.[8]
Even in the 10 top paying jobs for women, females earn less than men; only one career, speech pathology, pays the same regardless of gender.[9]
Despite previous attempts to ratify a UN treaty guaranteeing the elimination of all forms of discrimination against women, the U.S. refuses to support an international bill of rights for women signed by nearly every other nation on the planet.[10]
What feminists want the world to know, or at least acknowledge is the different ways men and women are treated, and although there have been great strides towards equality, women and men are far from playing on the same field.[11]

Tafadhali zingatia sentesi ya mwisho! Shukran [emoji120]

Hewaa...nimeizingatia Sana hiyo SENTENSI YA MWISHO.....

Kuna sehemu kunasema kuwa lengo lenu si KUTUDOGOSHA wanaume...nimepaelewa hasa!!

Naamini Al Akhuil muadhama Jurjani naye hapo atapaelewa.....

Ahsante Sana Kocha,endelea kutuchoma SINDANO sisi wanaume,wengine tumeshaanza kuuona mwanga japo kwa mbinde kwelikweli.....

Thanks awesomely!!
 
Feminism is defined as the belief in the social, political, and economic equality of the sexes.[1]
The goal of feminism is to challenge the systemic inequalities women face on a daily basis.[2]
Contrary to popular belief feminism has nothing to do with belittling men, in fact feminism does not support sexism against either gender. Feminism works towards equality, not female superiority.[3]
Feminists respect individual, informed choices and believe there shouldn't be a double standard in judging a person. Everyone has the right to sexual autonomy and the ability to make decisions about when, how and with whom to conduct their sexual life.[4]
There isn't just one type of feminism, there are a variety of feminist groups including: girlie feminist, third-wave feminist, pro-sex feminist, and so on. All these groups aim to deal with different types of discrimination women, and sometimes men, face.[5]
Women earn 78 cents for every dollar a man makes.[6]
Only 17% of the seats in Congress are held by women.[7]
Although 48% of law school graduates and 45% of law firm associates are female, women make up only 22% of federal-level and 26% of state-level judgeships.[8]
Even in the 10 top paying jobs for women, females earn less than men; only one career, speech pathology, pays the same regardless of gender.[9]
Despite previous attempts to ratify a UN treaty guaranteeing the elimination of all forms of discrimination against women, the U.S. refuses to support an international bill of rights for women signed by nearly every other nation on the planet.[10]
What feminists want the world to know, or at least acknowledge is the different ways men and women are treated, and although there have been great strides towards equality, women and men are far from playing on the same field.[11]

Tafadhali zingatia sentesi ya mwisho! Shukran [emoji120]
Asante kwa hii nadhani wanaume wasome maana ya Feminism, maana wanaichukulia feminism movement kinyume ya lengo la hyo movement.
 
Ulirejea elimu ya kitabu Cha Muhammad ibn UTHAYMEEN kuwa kipekee ndiye anayefahamu ADA(menses) ya wake zetu....nilipokuchallenge,nawe ukanizodoa kuwa mm mshia...nikakujibu siko Huko....
Hakuna sehu uliyo ni challange mzee, onyesha tu.

Pili, huwa hatulei ujinga, ndiyo maana nataka ujihukumu mwenyewe kwa kuabdika mambo ya uongo.

Tatu, nilikwambia ya kuwa Shaykh mule hakuandika maoni yake zaidi ya Hadithi na Qur'aan, sasa unaposema shaykh ni Wahabi na unashindwa kuthibitisha hilo, huu ni ujinga. Sasa usitafute kichaka kwa kukimbia hoja kwa madau umekubali nasaha.

Nne, wewe huwezi kunithibitishia ya kuwa siyo Mshia sababu mna msingi wenu katika dini yenu unaoitwa Taqiyyah, ya kwamba mnaficha imani zenu na kudhihirisha imani nyingine.
Elimu Ni bahari...unapoitoa Basi juwa kuwa unaweza ukapingwa kwa elimu nyingine usiyoiREFER....
Apart kwa ulichonukuu kuna IJMA WAL KIYAAS,wewe uling'ang'ana na huyo sheikh wako TU kwa kutulazimisha TUJING'ANG'ANIZE kwake....
Hakuna anae pinga kukosolewa kwa elimu na insafu.

Pili, hakuna Ijmaa wala Qiyaas katika lile jambo mzee, pale tunaongelea kitabu kilicho zungumzia damu ya ada ya wanawake,na nikasema ni kitabu kizuri na shaykh ameandika jambo kwa mujibu wa Qur'aan na Sunnah, na kwa munasaba wa kuwajua wanawake ni kuwa shaykh anawajua vyema kuliko wanavyojijua wao kwa sababu shaykh ametumia nukuu toka kwa yule ambao amewaumba,sasa unapo ongelea mambo "Ijmaa na Qiyaas" nitakuuliza katika nini ? Kwamba hedhi siyo ada ya wanawake au vipi ? Sasa tuliza akili na ujikite katika kile kinachozungumziwa katika hoja husika.

Sasa shaykh aliandika story au dini mule ndani kijana ?

Sasa embu niambie wewe, habaru za wanawake na ada zao huwa unarejea katika kitabu gani au kwa msomi gani ? Nacheka sana, unavyo ruka ruka.
Jurjani nimeshaonywa...nafikiri BUSARA ichukue mkondo wake...
Unapoongelea ELIMU ujue Ni bahari...."Lau Kama lbaharu midada likalimati,lanafidal bahru Kabla an tanfada kalimatu rabbi..."
Hakuna anae pinga ya kuwa elimu ni bahari, sasa weka elimu yako ambayo inaenda kinyume na Qur'aan na Hadithi katika jambo hilo. Sasa usiishie kusema elimu ni bahari bila kukosoa hoja yangu kwa kutumia hiyo elimu unayo sema wewe. Hizi ni daliki za kuishiwa hoja na huna hoja katika hili zaidi ya ujinga na matamanio ya nafsi tu.
 
Asante kwa hii nadhani wanaume wasome maana ya Feminism, maana wanaichukulia feminism movement kinyume ya lengo la hyo movement.
Yaani kanisaidia,Hata mm nilikuwa ninawasikiliza feminists kwa sikio moja tu...
 
Asante kwa hii nadhani wanaume wasome maana ya Feminism, maana wanaichukulia feminism movement kinyume ya lengo la hyo movement.
Wanawake sijui mna akili gani, yaani mnayo yadai ni kinyume na mnachokitenda.

Tuliposema ya kuwa hamtaki haki sawa kiuhalisia ni kuwa mnataka kufanana kwa haki, sababu haki sawa ni kinyume na mnacho kidai.

Hakuna mwanaume rijali na timamu anae hofia kuangushwa na mwanamke, sababu asili haibadiliki bibie. Sasa muelewe ya kuwa sisi hatuhofii nyie mtuangeushe sababu hilo haliwezekani, bali sisi tunalia na kuharibika kwa jamii na nyinyi kurudishwa zama za ujinga kifikra na kiutendaji.

Bila shaka mtakuwa mmeelewa.
 
Hakuna sehu uliyo ni challange mzee, onyesha tu.

Pili, huwa hatulei ujinga, ndiyo maana nataka ujihukumu mwenyewe kwa kuabdika mambo ya uongo.

Tatu, nilikwambia ya kuwa Shaykh mule hakuandika maoni yake zaidi ya Hadithi na Qur'aan, sasa unaposema shaykh ni Wahabi na unashindwa kuthibitisha hilo, huu ni ujinga. Sasa usitafute kichaka kwa kukimbia hoja kwa madau umekubali nasaha.

Nne, wewe huwezi kunithibitishia ya kuwa siyo Mshia sababu mna msingi wenu katika dini yenu unaoitwa Taqiyyah, ya kwamba mnaficha imani zenu na kudhihirisha imani nyingine.

Hakuna anae pinga kukosolewa kwa elimu na insafu.

Pili, hakuna Ijmaa wala Qiyaas katika lile jambo mzee, pale tunaongelea kitabu kilicho zungumzia damu ya ada ya wanawake,na nikasema ni kitabu kizuri na shaykh ameandika jambo kwa mujibu wa Qur'aan na Sunnah, na kwa munasaba wa kuwajua wanawake ni kuwa shaykh anawajua vyema kuliko wanavyojijua wao kwa sababu shaykh ametumia nukuu toka kwa yule ambao amewaumba,sasa unapo ongelea mambo "Ijmaa na Qiyaas" nitakuuliza katika nini ? Kwamba hedhi siyo ada ya wanawake au vipi ? Sasa tuliza akili na ujikite katika kile kinachozungumziwa katika hoja husika.

Sasa shaykh aliandika story au dini mule ndani kijana ?

Sasa embu niambie wewe, habaru za wanawake na ada zao huwa unarejea katika kitabu gani au kwa msomi gani ? Nacheka sana, unavyo ruka ruka.

Hakuna anae pinga ya kuwa elimu ni bahari, sasa weka elimu yako ambayo inaenda kinyume na Qur'aan na Hadithi katika jambo hilo. Sasa usiishie kusema elimu ni bahari bila kukosoa hoja yangu kwa kutumia hiyo elimu unayo sema wewe. Hizi ni daliki za kuishiwa hoja na huna hoja katika hili zaidi ya ujinga na matamanio ya nafsi tu.

Kubwa kuliko vyote!!; QURAN HAINA HADITHI!! Imejitisheleza mwanzo mwisho!!

Mengine juu yako!
 
Marahabaa dadangu mie.......

Yaani nakuelewa Sana unavyotupiga kabali damu ikashindwa kufika kwenye CEREBRAL CORTEX...[emoji16][emoji16][emoji16]

Keep it up,inshaalahu aamin TUTAZINDUKA tukitaka....Mana unanikumbusha kuwa INNAL BATWILA KANA ZAHUKA(batili Ni Yenye KUONDOKA).

MaashaAllah!!

Umesema “mtazinduka mkitaka “!!!

Hapo ndipo ilipo hoja yetu kuu!!
 
Kubwa kuliko vyote!!; QURAN HAINA HADITHI!! Imejitisheleza mwanzo mwisho!!

Mengine juu yako!
Jambo ambalo hulijui ni bora ukalikalia kimya.

Qur'aan na Hadithi zinategemeana, na hakikai kimoja bila ya kingine.

Jana nilikuuliza swali ambalo nilijua huwezi kulijibu na nilifanya hivyo kuonyesha ujinga wako. Nilikuuliza Qur'aan imekufikiaje leo hii au umeijuaje ?

Mtume maisha yake yote baada ya kupewa utume alikuwa anaielezea Qur'aan na kuifasiri, sasa unaweza kunionyesha katika Qur'aan namna ya kusali au namna ya kuosha maiti na kuzika ?

Sasa ndiyo maana nikasema wewe si muislamu na hujui kama wewe si muislamu.
 
Wanawake sijui mna akili gani, yaani mnayo yadai ni kinyume na mnachokitenda.

Tuliposema ya kuwa hamtaki haki sawa kiuhalisia ni kuwa mnataka kufanana kwa haki, sababu haki sawa ni kinyume na mnacho kidai.

Hakuna mwanaume rijali na timamu anae hofia kuangushwa na mwanamke, sababu asili haibadiliki bibie. Sasa muelewe ya kuwa sisi hatuhofii nyie mtuangeushe sababu hilo haliwezekani, bali sisi tunalia na kuharibika kwa jamii na nyinyi kurudishwa zama za ujinga kifikra na kiutendaji.

Bila shaka mtakuwa mmeelewa.
Nimejibu kuhusu feminism wewe unaleta hoja za akili hapa ili iweje na akili wewe unaipimaje?
Kwanza sisi tumeanzisha movements zetu wanawake nyie wanaume ndio mnalilia humu bila hata kuelewa lengo lake kuhusu kwetu.
By the way sisi tunahangaika na maisha, kuondoa umaskini, nyie ndo kila kukicha humu mwaanzisha nyuzi kuhusu wanawake insonyesha Ni jinsi gani hamtaki mabadiliko, sie twasonga mbele haturudi nyuma Wala hatushindani.
Umesema pia kuhusu mwanaume rijali na Mimi nasema kuwa mwanaume sio kusimamisha tu maana Kama kudinda hata mbuzi ana ndinda, tembo ng'ombe, pia sikuhizi Kuna vibrators na zenyewe zinasimamisha na kufikisha wanawake vizuri tu kuliko wanaume wanaolia nguvu za kiume kwahyo ni hivo vitu tuviite mwanaume rijali?
LMAO chineke[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom