Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Mwanafalsafa mmoja alipata kunena "ukinipa KAZI ya kuhesabu nyota angani,nitaikamilisha haraka,Bali ukinikabidhi jukumu la kuhesabu machizi juu ya MGONGO wa ardhi,sitamaliza".
Sasa hii kauli haisemi isipokuwa mtu ambaye hana akili timamu, hivi kuna mtu anae weza kuhesabu nyota na akazimaliza ? Na wewe unatumia hii kauli kujengea hoja ?

Yaani mnapelekwa na mawazo ya watu ba si uhalisia.
 
Hahaha naona bado mnapambana na jurjini sijui jurjani😀 huyu mtu ni mbishi halafu hoja zake za ajabu amekomaa nazo eti watu wajibu hoja zisizo eleweka.

Wanawake waliochini ya himaya yake kazi wanayo.
Tena wanawake wenye raha zaidi ya hawa sijaona aisee. Sababu wenyewe wamekaa wanaletewa na kulea familia na kusimamia amana za mume wao, yaani wanafurahia maumbile yao.
 
Utanielewaje nawe Ni deluded?!!
Nacheka sana, thibitisha hili. Kama maswali na uthibitisho huna, endelea kusema. Tunataka hoja.

Nikirudi nakuja kuendelea kunukuu habari za wakubwa wetu,walio tuzidi maarifa na umri.
 
Hata uislamu haujamkataza mwanamke kufanya kazi.. @jurjan
 
Wallahi
Sasa hii kauli haisemi isipokuwa mtu ambaye hana akili timamu, hivi kuna mtu anae weza kuhesabu nyota na akazimaliza ? Na wewe unatumia hii kauli kujengea hoja ?

Yaani mnapelekwa na mawazo ya watu ba si uhalisia.

Wallahi nimecheka mpaka mtoto kashtuka...
Nilikwambia Jurjani ww ni mwepesi...nilikueleza kuwa ww hauko smart upstairs zaidi ya dada Coach Slamah Hamad loooh....

Iko hivi....waliozama katika elimu Tofauti Kuna Mambo ya FALSAFA na NAHAU....

Na hiyo uliyonukuu Ni mojawapo,alhamdulillah unazd kudhihirisha IMMATURITY yako.....

Kweli wahabi mMazwazwa...
 
Kwaiyo hapo wachache watakao soma... Kwa manufaa ya wengine hawatakiwi kuwa wanawake?
 
Kama tungekuwa tuko uwanjani, hili lingekuwa goli la saba nimefunga kwa uzembe wako.

Hakuna watu wajinga kama Wanafalsafa. Kuhusu hawa watu usiniguse kabisa, sababu nawajua nje ndani siyo kwa kusikia bali kwa kuwasoma. Kauli uliyoisema haina uhalisia sababu muongeaji ameyaweka pamoja mambo mawili yasiyowezekana, na akafanya ghishi kwa kujaalia lisilo wezekana kuwa linawezekana kwa urahisi.

Hakuna Nahau ya hivyo, bali hayo ni mawazo ya mtu ambayo ulitakiwa uyahakiki kwanza kisha uyatumie.

Sasa katika Elimu za kujifaragua nazo unaitaja Falsafa, aisee kazi ipo. Kwanza thibitisha ukweli wa kauli yako.
 
Kwaiyo hapo wachache watakao soma... Kwa manufaa ya wengine hawatakiwi kuwa wanawake?
Unaweza kutuonyesha ulazima wa kuwepo hao wanawake au hata wewe uwepo ?

Je kutokuwepo kwao kuta athiri vipi natija ya hizo fani ?
 
N
Nacheka sana, thibitisha hili. Kama maswali na uthibitisho huna, endelea kusema. Tunataka hoja.

Nikirudi nakuja kuendelea kunukuu habari za wakubwa wetu,walio tuzidi maarifa na umri.
Hata Sikimbii....

Nnauthibitisho bayana kuwa mwenzetu wee ni DELUDED....

Skiza...huko tulipoanza mjadala,uliwazodoa Wanawake kusoma elimu za UPASUAJI,rocket science,aerounatic engineering,pilots....kwa kigezo kuwa wanatakiwa WAKALISHWE NDANI.....
Nikakueleza kuwa pale UAE,wakati mwanasayansi wa kike anapaa angani na chombo Cha masafa ya anga za mbali,Wenzake WANAOTAWA pale Saudia Miji ya Damaam,Khobar,Riyadh bado wanapambana kuendesha MAGARI.....kwa CHUSHO ulilojibu,nitaachaje kukusema kuwa wewe ni DELUDED ?!!!!!!!
 
Kama tungekuwa tuko uwanjani, hili lingekuwa goli la saba nimefunga kwa uzembe wako.

Hakuna watu wajinga kama Wanafalsafa. Kuhusu hawa watu usiniguse kabisa, sababu nawajua nje ndani siyo kwa kusikia bali kwa kuwasoma. Kauli uliyoisema haina uhalisia sababu muongeaji ameyaweka pamoja mambo mawili yasiyowezekana, na akafanya ghishi kwa kujaalia lisilo wezekana kuwa linawezekana kwa urahisi.

Hakuna Nahau ya hivyo, bali hayo ni mawazo ya mtu ambayo ulitakiwa uyahakiki kwanza kisha uyatumie.

Sasa katika Elimu za kujifaragua nazo unaitaja Falsafa, aisee kazi ipo. Kwanza thibitisha ukweli wa kauli yako.
Daaaaah 😂😂😂😂😂

Kwani FALSAFA Ni Nini?!!!

Utachekwaa.....

Ilihali Shaykh Wako Mkubwa Imam wa Masjid il Haram,Makka,Muadhama SUDEIS amesomea SHAHADA TATU ZA DINI na kupewa UDOKTA....
Kwani Yule Ni dakari Mpasuaji?!!!

Kumbe kweli we LINDWANYE...tooooh
 
Kwani FALSAFA Ni Nini?!!!
Soma kitabu hiki ukitaka, kuijua Falsafa na Wanafalsafa.
"The Incoherence of the Philosophers" cha Abul Hamid al Ghazali.

Ilihali Shaykh Wako Mkubwa Imam wa Masjid il Haram,Makka,Muadhama SUDEIS amesomea SHAHADA TATU ZA DINI na kupewa UDOKTA....
Sudeis siyo sheikh mkubwa, na kwangu mimi huyu si shaykh wetu zaidi ya yeye kuwa ni Imaam wa msikiti mtukufu.

Mashaykh zetu wanajulikana mno, ila Sudeis ana mikhalafa mingi na amekosolewa mno, sasa kuniambia ya kuwa ni Shaykh, kiukweli nazidi kukuona huna unalo lijua katika hili unalo liongelea.

Ungewataja kama kina Shaykh Uthaymeen, Al Fawzani, Muqbil, Rabee, Ubaid al Jaabir, al Albaniy, as Suhaymiy, al Bukhariy, Ash Shanqiitiy na wengine wengi, kuwataja siwamalizi.
 
Tofauti kati ya Mwanaume na Mwanamke

Nimeamua kunukuu, sababu sitaki kupunguza wala kuongeza katika uhalisia, kadhalika siwezi kuwatangulia wakubwa zangu katika kile kilicho bora walicho tuandikia.

Nanukuu.....

"Kwa ukweli kabisa, maendeleo ya sayansi ya karne ya 20 yamethibitisha wazi wazi kuwepo kwa tofauti kati ya mwanaume na mwanamke. Kuwepo kwao sio uwasilishaji mbaya wa kijicho, bali ni ukweli wa kisayansi, uliotokana na uchunguzi na majaribio.

Hata hivyo tofauti hizi hazipo ili kuthibitisha ni jinsia gani ni bora kuliko nyingine. Sheria ya maumbile imeziweka tofauti hizi ili mahusiano ya ndoa yawe imara zaidi na kuufanya msingi wa muungano kati ya mume na mke uwe mkubwa, imara na bora zaidi. Maumbile yalitaka kugawa haki za kifamilia na majukumu yake baina yao kwa mikono yake (maumbile) yenyewe. Sheria ya maumbile umezifanya tofauti kati ya mwanaume na mwanamke sawa na tofauti ya viungo mbali mbali vya mwili. Imetoa nafasi mbali mbali kwa macho, masikio, mikono, nyayo na uti wa mgongo. Lakini haimaanishi kuwa imefanya dhulma na ubaguzi dhidi ya kiungo chochote." (Mwisho wa kunukuu) "
 
Soma kitabu hiki ukitaka, kuijua Falsafa na Wanafalsafa.
"The Incoherence of the Philosophers" cha Abul Hamid al Ghazali.

Sudeis siyo sheikh mkubwa, na kwangu mimi huyu si shaykh wetu zaidi ya yeye kuwa ni Imaam wa msikiti mtukufu.

Mashaykh zetu wanajulikana mno, ila Sudeis ana mikhalafa mingi na amekosolewa mno, sasa kuniambia ya kuwa ni Shaykh, kiukweli nazidi kukuona huna unalo lijua katika hili unalo liongelea.

Ungewataja kama kina Shaykh Uthaymeen, Al Fawzani, Muqbil, Rabee, Ubaid al Jaabir, al Albaniy, as Suhaymiy, al Bukhariy, Ash Shanqiitiy na wengine wengi, kuwataja siwamalizi.
Hauko timamu...

Nimekuuliza kuhusu FALSAFA kinyume CHAKE,nawe umenielekeza nikasome...😁😁daah...

UnaMDOGOSHA Shaykh SUDEIS?!!!
Kwani YEYE Ni wahabi gani asiyefata rejea za mashaykh wakubwa wa kiwahabi?!!!!

Mtu kateuliwa mpaka kuwa imam wa msikiti Bora zaidi ulimwenguni Tena waliomteua Ni shura ya mawahabi wakubwa pale Saudia kwa mabwana Zenu halafu mndengereko wewe unakuja KUMDOGOSHA labda kwa kuwa una mahaba na Shaykh Uthaymeen....😁😁

Halafu ndani ya kila madhehebu Kuna vijikundi vidogo vidogo vinavyokinzana.....
Waliompa dhamana Sudeis hawana mtazamo mmoja...wako vikundi Tofauti ndani ya kundi lenu moja la WAHABI.....
Sikutegemea utajibu KIWEPESI namna hiyo.....
 
Nimekuuliza kuhusu FALSAFA kinyume CHAKE,nawe umenielekeza nikasome...😁😁daah...
Nimekupa jibu lililo tosheleza, kijana.

Chukua maana ya Falsafa, hii hapa Falsafa ni jaribio la kuelewa na kueleza Ulimwengu kwa kutumia akili inayofuata hoja za mantiki. Ndiyo maana kina Demokritus wa Abdera toka kambi ya Waionia waliona chanzo asili ni Atoumu, kina Aristoto wakapita na mawazo yao, almuhimu kiasili walijikita katika kuelezea maumbile kwa kutumia akili zao na si uhalisia.
 
UnaMDOGOSHA Shaykh SUDEIS?!!!
Kwani YEYE Ni wahabi gani asiyefata rejea za mashaykh wakubwa wa kiwahabi?!!!!
Tangu juzi nimekuomba ushahidi wa uwepo wa Uwahabi, ukashindwa lakini naona unaendelea kutumia neno ambalo kulithibitisha uwepo wake unashindwa.

Nilikuuliza Uwahabi ni nini ? Ni dhehebu au ni nini ? Je Uislamu unasemaje juu ya madhehebu ?

Sasa kujadiliana jambo na mtu ambaye anatumia neno kwalo hawezi kulijengea hoja na kulitetea, ni kupoteza muda.

Allah ndiyo amemdogosha kwa kujiingiza katika mambo yasiyo faa, kama alivyo wadogosha wanawake wa leo kwa kujitakia.

Hivi naomba unisaidie, hivi historia inasemaje juu ya Uwahabi, yaani ilikuwaje mpaka Uwahabi ukawepo, je Wahabi ni kina nani hasa ? Na kina nani huwa wanawaita Wahabi kuwa ni Wahabi ?
 
Mtu kateuliwa mpaka kuwa imam wa msikiti Bora zaidi ulimwenguni Tena waliomteua Ni shura ya mawahabi wakubwa pale Saudia kwa mabwana Zenu halafu mndengereko wewe unakuja KUMDOGOSHA labda kwa kuwa una mahaba na Shaykh Uthaymeen....😁😁
Kuteuliwa hii si hoja, sababu huangaliwa aliteuliwa kipindi yupo katika mikhalafa au bado ?

Lakini, je unaweza kunitajia masheikh hata wawili waliokuwepo katika hiyo shura ?

Lakini, jalia hilo lipo, swali la msingi Sudeis ni nani na anafanya mikhalafa gani ?
 
Nimekupa jibu lililo tosheleza, kijana.

Chukua maana ya Falsafa, hii hapa Falsafa ni jaribio la kuelewa na kueleza Ulimwengu kwa kutumia akili inayofuata hoja za mantiki. Ndiyo maana kina Demokritus wa Abdera toka kambi ya Waionia waliona chanzo asili ni Atoumu, kina Aristoto wakapita na mawazo yao, almuhimu kiasili walijikita katika kuelezea maumbile kwa kutumia akili zao na si uhalisia.
Unakimbilia wapi na kunijibu Vipi Kuwa UMENIPA JIBU lililojitosheleza ?!!!!!!
Wewe mwenyewe umekuwa mjibu na HAKIMU...kweli hamnazo!!

Na hii inaonyesha Ni jinsi gn ulivyokosa elimu ya MIJADALA na uwezo wake zaidi ya kulazimisha wengine Mambo UNAYOAMINI na UYAJUAYO binafsi.....

Niende kwenye tafsiri yako ya FALSAFA ambayo umenijibu baada ya kukulazimisha UNIPATIE...well,umesema mwenyewe "hoja za mantiki"...
Je hiyo haifundishwi ndani ya mitaala ya dini ya kiislam?!!Nini Maana ya IJMA WAL KIYAAS?!!!

Unajua Jurjani Mimi Ni kijana mkubwa,sasa km mwenzangu una miaka 25 kushuka chini,ni Bora nikakuacha uendelee mwenyewe....Kwani hata Mimi nilipokuwa na AGE hiyo nilikuwa na pupa ya kutaka kufundisha wengine kitu KIPYA NILICHOJIFUNZA.....
 
Ac
Tangu juzi nimekuomba ushahidi wa uwepo wa Uwahabi, ukashindwa lakini naona unaendelea kutumia neno ambalo kulithibitisha uwepo wake unashindwa.

Nilikuuliza Uwahabi ni nini ? Ni dhehebu au ni nini ? Je Uislamu unasemaje juu ya madhehebu ?

Sasa kujadiliana jambo na mtu ambaye anatumia neno kwalo hawezi kulijengea hoja na kulitetea, ni kupoteza muda.

Allah ndiyo amemdogosha kwa kujiingiza katika mambo yasiyo faa, kama alivyo wadogosha wanawake wa leo kwa kujitakia.

Hivi naomba unisaidie, hivi historia inasemaje juu ya Uwahabi, yaani ilikuwaje mpaka Uwahabi ukawepo, je Wahabi ni kina nani hasa ? Na kina nani huwa wanawaita Wahabi kuwa ni Wahabi ?
Acha Kwenda mbele na kurudi nyuma.....mashia wameitwa hivyo baada ya kuwa Ni wafuasi wa imam Ali RA kwa hoja zao wenyewe.....

Mawahabi wameitwa hivyo baada ya kuwa wafuasi wa Mohammad ibn Wahhab wa kule Najd....Haina Maana alikuja na dini yake...la hasha yy Ni muislam ambaye alikuwa katika kuhitilafiana na WAISLAM wengine waliokuwa na mtazamo wao....

Usisahau nilikupa rejea ya AKHTAR RIZVI akiwachambua mawahabi,kilichotokea Ulinituhumu Mimi kuwa Ni MSHIA....😁😁😁daah nyinyi na mashia sijui Vita YENU itaisha lini?!!!Mna Mambo ya Kushangaza kwelikweli....

Sudeis amefanya LIPI la wewe kuifuta ELIMU YAKE kichwani?!!!

Hivi ikitokea Profesa wa Uhandisi ameiba mashine na kuiuza halafu akajulikana,ndio UPROFESA wake utakoma?!!!
 
Back
Top Bottom