Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Hoja nataka ithibati kuonyesha ya kuwa Iran ni taifa la Kiislamu, maana wao wana watuhumu Saudia kwa kuwa wanawafanyia khiyana na taifa lao. Umesahau hoja ni nini hapa ?
Jurjani acha kufanya muhali.....Ukikimbilia huko hata Pakistan,Brunei wanayaita mataifa ya kiislam...Wale Mazwazwa wa Taliban nao waliita Ni mataifa ya kiislam...hoja wanazo wao know vle Saudia inavyojiita Ni wasimamizi wa watu wa Hijaz ilihali Ni wafalme wa Ukoo mmoja lakini WAMEJIMILIKISHA kila linalowahusu waislam na TURATHI ZAO bila KUCHAGULIWA bila kupendekezwa na waumini.....

Usituhamishe mjadala katika SIASA ZA MATAIFA HAYO...

Mada yetu kuu Ni WANAWAKE...
 
Naona jambo ulilo lileta wewe, limekushinda kulitetea unaniambia nirudi kwenye mada.

Hayo uliyoyataja yana Uislamu, ila Iranu ndiyo nataka uonyeshe Uislamu wao, ambao Wahabi wanawafanyis fitina hao Irani ya akina Ali Khamenei ? Usikimbie hoja kijana.
 
N
Sasa nakuuliza Uislamu unakataza kushirikiana na Makafiri katika mambo ya kimuamala ?

Kijana unaegemea wapi ? Naona unaruka ruka tu, huna hoja.
Binadamu tunatambua tushirikiane katika miamalat.....

Nikuulize wewe Ni kwanini Saudia miaka nenda RUDI haitaki kushirikiana na ISRAEL katika hyo miamalat!?!!!
 
hoja wanazo wao know vle Saudia inavyojiita Ni wasimamizi wa watu wa Hijaz ilihali Ni wafalme wa Ukoo mmoja lakini WAMEJIMILIKISHA kila linalowahusu waislam na TURATHI ZAO bila KUCHAGULIWA bila kupendekezwa na waumini.....
Sasa shida yako ni ukoo kutawala au shida yako ni nini ? Uislamu unakataza ukoo kutawala ? Jenga hoja kielimu usiruke ruke.
 
N
Binadamu tunatambua tushirikiane katika miamalat.....

Nikuulize wewe Ni kwanini Saudia miaka nenda RUDI haitaki kushirikiana na ISRAEL katika hyo miamalat!?!!!
Jibu swali nililo kuuliza, Suala la Saudia na Israeli kutokushurikiana watakuwa na sababu zao binafsi, ila tunaongelea hoja yako ya kushirikiana kwa mujibu wa Uislamu, je Uislamu unaruhusu au unakataza ? Kama unaruhusu sasa hutakiwi kuwalaumu Wasaudia kushirikiana na Wamarekani na kuwalazimisha au kuhoji kwanini hawashirikiani na Israeli, haya ni mambo binafsi, ila hujakatazwa kushirikiana nae.
 
Naona jambo ulilo lileta wewe, limekushinda kulitetea unaniambia nirudi kwenye mada.

Hayo uliyoyataja yana Uislamu, ila Iranu ndiyo nataka uonyeshe Uislamu wao, ambao Wahabi wanawafanyis fitina hao Irani ya akina Ali Khamenei ? Usikimbie hoja kijana.
Jurjani Iran na hao mabwana zako Al Saud wanasigana KISIASA....siasa zilizoanza mbali huko...ndani yake wanaingiza DINI,ndani yake wanaingiza UKABILA,NASABU,upersia,uarabu...

So kwangu Haina AFYA ya kusigania vitu vya watu..wa mbali huko,km Mambo ya SIASA anzisha THREAD nije kuzizungumzia za CCM kwani ninazijua ninazipenda na Zina maslahi nami km raia wa nchi hii....

Turud kwenye mada ya WANAWAKE
 
Kwaiyo hapo wachache watakao soma... Kwa manufaa ya wengine hawatakiwi kuwa wanawake?
Amesahau ya kwamba Umar Ibn Al Khatwaab katika matembezi yake siku moja akasikia mama na bintiye wakiwekana sawa kuhusu biashara yao ya kuuza maziwa? Mama wa binti alimwgiza mwanae achanganye maziwa na maji ili wapate faida zaidi? Yule binti alikataa na kumsihi mama yake kuwa Mungu anashuhudia haya?

Umar alifurahishwa sana. Akawataka wanae wa kiume mkojawapo akamuoe huyo binti. Kwa kupitia hayo baada ya mwanae mmoja kumuoa katika kizazi chao akapatikana Khalifa bora wa umma ambaye naye ni Umar Ibn Abdul aziz.

Ikiwa kama mwanamke haruhusiwi kufanya kazi kabisa Umar r.a si angeliamuru huyo mama na bintiye wasifanye biashara kabisa? Lakini mbona hali haikuwa hivyo?

Ukifika hospitali hutaki mwanamke wako ashikwe na dkt. mwanaume utasema haramu yafaa ashikwe na mwanamke mwenzake na huku unakataza mwanamke ajishughulishe na masuala ya kazi.
 
Halafu unazd kunionyesha Ulivyokuwa wa ajabu....eti Elimu ya Mantiki imechukuliwa UKRISTONI...mbona mtukufu wa darja aliwasalimisha maswahaba kwa mfalme Najjash kule Ethiopia?unataka kunena kuwa SAFARI ILE YA KWENDA HABASH ETHIOPIA kwa WAKRISTO,Allah hakumfunulia mtume Muhammad?!!!
Sasa kijana nionyeshe Elimu ya Mantiki imechukuliwa toka wapi ? Ukionyesha kama imechukuliwa toka kwenye Qur'aan au Hadithi, huu uzi nitaomba ufutwe, na wewe utakuwa shahidi.

Soma Historia na soma vitabu, kiasili muasisi wa Elimu ya Mantiki ni Aristoto, yeye alianza na zile "Ten Categories(Ashara maaqalaat). Kijana soma haya mambo maarufu sana lakini ajabu huyaelewi.

Wasome Muutazila na Wasome Maashaira, kisha linganisha na baadhi ya Itikadi za Makafiri juu ya sifa za muumba ndioo utaona namaanisha nini.
 
Mzizi ULIKUWA ndio huo UISLAM...kuwataja binadamu KOSA?!!UISLAM unadeal na wanyama?!!!
Acha sanaa kijana, binadamu wapo waislamu na kinyume chake.

Msingi wa swali ni Uislamu, achana na habari za binadamu, maana haoa tunaongelea sheria.
 
Jibu swali nililo kuuliza, Suala la Saudia na Israeli kutokushurikiana watakuwa na sababu zao binafsi, ila tunaongelea hoja yako ya kushirikiana kwa mujibu wa Uislamu, je Uislamu unaruhusu au unakataza ? Kama unaruhusu sasa hutakiwi kuwalaumu Wasaudia kushirikiana na Wamarekani na kuwalazimisha au kuhoji kwanini hawashirikiani na Israeli, haya ni mambo binafsi, ila hujakatazwa kushirikiana nae.
Kumbe ndivyo,ww kinakusokonya nn uzikatae tuhuma za hao Iran kuwa kitaifa Wanahujumiwa na Al Saud?!!!

Nayo hayo Ni yao,kwann mmatumbi wee upinge?!!
 
Amesahau ya kwamba Umar Ibn Al Khatwaab katika matembezi yake siku moja akasikia mama na bintiye wakiwekana sawa kuhusu biashara yao ya kuuza maziwa? Mama wa binti alimwgiza mwanae achanganye maziwa na maji ili wapate faida zaidi? Yule binti alikataa na kumsihi mama yake kuwa Mungu anashuhudia haya?

Umar alifurahishwa sana. Akawataka wanae wa kiume mkojawapo akamuoe huyo binti. Kwa kupitia hayo baada ya mwanae mmoja kumuoa katika kizazi chao akapatikana Khalifa bora wa umma ambaye naye ni Umar Ibn Abdul aziz.

Ikiwa kama mwanamke haruhusiwi kufanya kazi kabisa Umar r.a si angeliamuru huyo mama na bintiye wasifanye biashara kabisa? Lakini mbona hali haikuwa hivyo?

Ukifika hospitali hutaki mwanamke wako ashikwe na dkt. mwanaume utasema haramu yafaa ashikwe na mwanamke mwenzake na huku unakataza mwanamke ajishughulishe na masuala ya kazi.
Vijana acheni ujanja ujanja, mbona hamuelezi hizo biashara walikuwa wanazifanyaje ?

Kuna binti mmoja, huko juu alidai ya kuwa mama Khadija alikuwa anafanya biashara na mtume, basi kwa ujinga wake akajua ya kuwa alikuwa anachangamana na kuruka mitaa, wakati alipoolewa akakaa nyumbani na mtume akawa anatumwa na mkewe juu ya biashara hizo. Sasa kwa kutusaidia tunaomba utuambie biashara za huyo mamma na binti yake,walikuwa wanaifanyaje ?

Wanawake wanafanya biashara na kumiliki mali, ila si kwa namna ya wanawake hawa wanavyofanha, na hili tuliwaambia tangu mwanzoni mwa hii mada.
 
Kumbe ndivyo,ww kinakusokonya nn uzikatae tuhuma za hao Iran kuwa kitaifa Wanahujumiwa na Al Saud?!!!

Nayo hayo Ni yao,kwann mmatumbi wee upinge?!!
Kijana nataka unionyeshe Uislamu wa taifa la Irani ?

Pili, elimu ya dini haibagui, ndiyo maana leo hii ukekienda Madina unamkuta muafrika toka eneo la Fulani/Fulata huko Magharibi ya Afrika (Siera Leone, Niger, Mali, Burkina Faso) anamfundisha muarabu kinasaba lugha ya Kiarabu. Kwahiyo mmatumbi mimi ujasiri wa kukosoa naupata kupitia elimu.
 
Sasa kijana nionyeshe Elimu ya Mantiki imechukuliwa toka wapi ? Ukionyesha kama imechukuliwa toka kwenye Qur'aan au Hadithi, huu uzi nitaomba ufutwe, na wewe utakuwa shahidi.

Soma Historia na soma vitabu, kiasili muasisi wa Elimu ya Mantiki ni Aristoto, yeye alianza na zile "Ten Categories(Ashara maaqalaat). Kijana soma haya mambo maarufu sana lakini ajabu huyaelewi.

Wasome Muutazila na Wasome Maashaira, kisha linganisha na baadhi ya Itikadi za Makafiri juu ya sifa za muumba ndioo utaona namaanisha nini.
Unapata wapi ARI ya kunielekeza ilipochukuliwa ilihali ELIMU YENYEWE haijaanza ndani ya Quran na Hadith usemazo......

Quran imetupa baadhi ya visa vya elimu huko nyuma,ni vingi mno na vingine Allah hakutufunulia ndani mwake Wala kumpa nabii yeyote...

Niliquote Aya kuhusu elimu kuwa Ni BAHARI....
Unarukaruka mwisho utavunjika nyonga ushindwe kuwapa huduma Shemeji zangu watatu....
 
Amesahau ya kwamba Umar Ibn Al Khatwaab katika matembezi yake siku moja akasikia mama na bintiye wakiwekana sawa kuhusu biashara yao ya kuuza maziwa? Mama wa binti alimwgiza mwanae achanganye maziwa na maji ili wapate faida zaidi? Yule binti alikataa na kumsihi mama yake kuwa Mungu anashuhudia haya?

Umar alifurahishwa sana. Akawataka wanae wa kiume mkojawapo akamuoe huyo binti. Kwa kupitia hayo baada ya mwanae mmoja kumuoa katika kizazi chao akapatikana Khalifa bora wa umma ambaye naye ni Umar Ibn Abdul aziz.

Ikiwa kama mwanamke haruhusiwi kufanya kazi kabisa Umar r.a si angeliamuru huyo mama na bintiye wasifanye biashara kabisa? Lakini mbona hali haikuwa hivyo?

Ukifika hospitali hutaki mwanamke wako ashikwe na dkt. mwanaume utasema haramu yafaa ashikwe na mwanamke mwenzake na huku unakataza mwanamke ajishughulishe na masuala ya kazi.
😍👍👍👍👍
 
Unapata wapi ARI ya kunielekeza ilipochukuliwa ilihali ELIMU YENYEWE haijaanza ndani ya Quran na Hadith usemazo......
Sasa kama unakubali hili, kwanini unakataa ya kuwa hii si Elimu mpya katika Uislamu ?

Elimu zote nyingine hizi machimbuko yake ni katika vyanzo mama vya Uislamu ambavyo ni Qur'aan na Hadithi.
Quran imetupa baadhi ya visa vya elimu huko nyuma,ni vingi mno na vingine Allah hakutufunulia ndani mwake Wala kumpa nabii yeyote...
Kwahiyo katika hivyo visa ndiyo kumeelezewa Elimu ya Mantiki au ? Kijana hili nilijua tu hutaliweza kama yalivyo kushinda yale mengine.
Niliquote Aya kuhusu elimu kuwa Ni BAHARI....
Unarukaruka mwisho utavunjika nyonga ushindwe kuwapa huduma Shemeji zangu watatu....
Aya gani hiyo uliyo iquote ? Niwekee tena niisome.

Pili, elimu kuwa bahari haimaanishi ya kuwa jambo unatakiwa ujifunze, kuna mambo mengi kutokujifunza ni bora zaidi, kama hii Elimu ya Falsasa,Muziki,Falaki,Mantiki na mfano wa hizo.
 
N
Kijana nataka unionyeshe Uislamu wa taifa la Irani ?

Pili, elimu ya dini haibagui, ndiyo maana leo hii ukekienda Madina unamkuta muafrika toka eneo la Fulani/Fulata huko Magharibi ya Afrika (Siera Leone, Niger, Mali, Burkina Faso) anamfundisha muarabu kinasaba lugha ya Kiarabu. Kwahiyo mmatumbi mimi ujasiri wa kukosoa naupata kupitia elimu.
Nimekuita mmatumbi kwa kule kuchagua kwako UPANDE wa hayo mataifa tajwa....na hapo juu nimeshakuwekea nchi zaidi ya moja zinazojiita za kiislam...nikakueleza kuwa Iran nayo Ni hvyo...ttzo unataka uwapinge,kwa Siasa kinzani na Saudia....

Mm niulize siasa za CCM zenye maslahi nami km raia wa TZ
 
Ukifika hospitali hutaki mwanamke wako ashikwe na dkt. mwanaume utasema haramu yafaa ashikwe na mwanamke mwenzake na huku unakataza mwanamke ajishughulishe na masuala ya kazi.
Hili ni suala la dharura, na dharura hukadiriwa kwa makadirio yake kijana.
 
N
Nimekuita mmatumbi kwa kule kuchagua kwako UPANDE wa hayo mataifa tajwa....na hapo juu nimeshakuwekea nchi zaidi ya moja zinazojiita za kiislam...nikakueleza kuwa Iran nayo Ni hvyo...ttzo unataka uwapinge,kwa Siasa kinzani na Saudia....

Mm niulize siasa za CCM zenye maslahi nami km raia wa TZ
Jambo limekushinda hili.

Sasa nakukumbusha tu ya kuwa, usije tena kuandika mambo usiyo kuwa na elimu, utaumia kama unavyoumia muda huu.
 
Back
Top Bottom