Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Swali kwa Wanawake wa kileo: Nini kilichowatoa majumbani na kuanza kuingia mitaani na maofisini kutafuta hela?

Hata leo hii mtoto wa kiume ni haramu kuchanganyika na mtoto wa kike, na kufanya hivyi madhara yake ni makubwa sana, sadw tumekatazwa kuangamiza nafsi zetu.
Twende kidogokidogo...Sasa kwann unapinga watoto wa kike wasibobee kuwatibu wenzao ktka shida ya maradhi Yao?!!!
 
Una Utoto mwingi Sana..kumbuka tulikotoka....Majuzi ulipinga mtoto wa kike asisome...Leo unasema kutibiwa Ni DHARURA?!!!
Yaani matibabu Ni sawa na dharura ya kula nguruwe pale itokeapo?!!!

Inaonekana huna mke wewe na Wala dada zako huwa hawaumwi......
Jenga hoa na vunja hoja kwa elimu. Hoja ni kutibiwa na mwanaume siyo kutibiwa tu.
 
Twende kidogokidogo...Sasa kwann unapinga watoto wa kike wasibobee kuwatibu wenzao ktka shida ya maradhi Yao?!!!
Onyesha haja ya wao kubobea mzee, hili swali linakushinda nini ?
 
Umakini unahitajika sana. Ulisema Elimu ya mantiki ni katika Elimu za kiislamu na zinafundishwa,nikakwambia Mantiki ni Elu mpya na si fani za Uislamu, nikalithibitisha hili lakini wewe umeshindwa kuthibitisha madai yako.

Rejea nilizo kupa ni ya zile Elimu ulizo zitaja, nikamwambia hizi ni fani ambazo hazikuwepo lakini machimbuko yake ni Qur'aan na Hadithi.

Sasa unaposema ni chanzo cha Elimu, huku ni kutoka nje ya mada ni unatumia "Straw Man Argument" kutengeneza hoja ambayo sijaisema ili kudhoofisha hoja yangu, hapa kwangu hili halina nafasi mzee. Chanzo cha Elimu ni Allah aliye juu.

Ila kuhusu Elimu za Uislamu na zinazo fungamana na Uislamu kama vile Fani za Lugha ya Kiarabu, Usul al Fiqh, Qawaid al Fiqh, Mustwalahul Hadith, Usul Tafsir hizi machimbuko yake ni qur'aan na Hadithi. Sasa niambie wewe Unaesema Elimu ya mantiki si mpya, tuambie chimbuko lake ni wapi ?
Umerudia mulemule niliposema kuwa elimu Ni bahari....na hutoka kwa mwenyewe......

Umekazana na Fani tunazorejea ndani ya Al Furqan...kana kwamba elimu nyingne zisizoelezwa humo hazifai......Na hapa ndipo kilipo kichaka chenu....

Tatizo lako unataka kushindana hoja ili UTANGAZWE mshindi,nao Ni upogo katika mijadala tunduizi....
 
Nacheka sana, hili kadhalika limekushinda.

Bado jambo gani lingine la kujadili.

Nipo ...
 
Onyesha haja ya wao kubobea mzee, hili swali linakushinda nini ?
Wewe Deluded....nilipokwambia hvyo ulikataa ila it's true....
Wanabobea kuwatibu wanawake wenzao katika Magonjwa Yao ya kike....acha uzwazwa
 
Wewe Deluded....nilipokwambia hvyo ulikataa ila it's true....
Wanabobea kuwatibu wanawake wenzao katika Magonjwa Yao ya kike....acha uzwazwa
Naelekea kuhitimisha huu uzi, watu hamna hoja,maswali mnayoulizwa hamjibu.
 
Nacheka sana, hili kadhalika limekushinda.

Bado jambo gani lingine la kujadili.

Nipo ...
Sishangai kupenda mashindano na kutaka USHINDI....

Ulimdogosha mpaka Shaykh wenu wa kiwahabi Sudeis,hushindwi KUMDOGOSHA yeyote....
 
Daaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwani FALSAFA Ni Nini?!!!

Utachekwaa.....

Ilihali Shaykh Wako Mkubwa Imam wa Masjid il Haram,Makka,Muadhama SUDEIS amesomea SHAHADA TATU ZA DINI na kupewa UDOKTA....
Kwani Yule Ni dakari Mpasuaji?!!!

Kumbe kweli we LINDWANYE...tooooh

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Unapata wapi ARI ya kunielekeza ilipochukuliwa ilihali ELIMU YENYEWE haijaanza ndani ya Quran na Hadith usemazo......

Quran imetupa baadhi ya visa vya elimu huko nyuma,ni vingi mno na vingine Allah hakutufunulia ndani mwake Wala kumpa nabii yeyote...

Niliquote Aya kuhusu elimu kuwa Ni BAHARI....
Unarukaruka mwisho utavunjika nyonga ushindwe kuwapa huduma Shemeji zangu watatu....

[emoji23][emoji23][emoji23]ati atavunjika nini? [emoji1787][emoji1787]
 
“””””Nacheka sana, naona umelivagaa kijana, Elimu ya dini ndiyo faradhi kwa kila muislamu, ila elimu za mazingira siyo lazima kila mtu asome kijana. “”””””

Hii sentensi yako imethibitisha “Upungufu “ wako ulipo!!

Damn man you’re toooooo weak!!

Ila Alhamdulilah, Muweza wa vyote atamtoa mpinzani wa haki toka viunga vya kiuno chako!! (Mwanao wa kumzaa!)
 
Kushekucha alhamdulillahi lladhiy ahyana....
Hao wazee WANAOABUDU nanihinoo..nashangaa anaipuuza CENTER BOLT ya gari[emoji3]

Alhamdulilah!

[emoji23][emoji23]ukute muda huu anakunjuka kwa bi mdogo akimaliza ndio akapige goti kwa kuwahi adhaan! [emoji23][emoji23][emoji23]

Asthaghafirullah!
 
Alhamdulilah!

[emoji23][emoji23]ukute muda huu anakunjuka kwa bi mdogo akimaliza ndio akapige goti kwa kuwahi adhaan! [emoji23][emoji23][emoji23]

Asthaghafirullah!
😂😂Hao kwa mabibi hatareee....Yuko mmoja alilalama kuwa Mungu Angeruhusu kumi,na si rubaa!! Loooh salaalee
 
Hivi kwanini uumizwe na Mambo ya wanawake, dunia imechange you have to accept it mengine wewe Kama mwanaume huwezi kuelewa mpaka uwe mwanamke, usiwe Kama wasaudia wanaume wazima Wana discuss Mambo ya hedhi ya wanawake bila wanawake wenyewe kuwepo na kuelezea Mambo yao ya hedhi.
In short wanaume insecure tuacheni wanawake na Mambo yetu nyie Nani wakutupangia mtukome kabisa
Ni kama kile kisa cha jahazi mmoja kulitoboa na wengine kukaa kimya
 
Nini maana ya dharura?

Jambo ambalo haja yake imepitiliza au ambalo kisheria huruhusiwi kulifanya na kufanyika kwake inabidi kuvunja sheria au ada na kuondoa vizuizi vya kutofanyika kwake.
 
“””””Nacheka sana, naona umelivagaa kijana, Elimu ya dini ndiyo faradhi kwa kila muislamu, ila elimu za mazingira siyo lazima kila mtu asome kijana. “”””””

Hii sentensi yako imethibitisha “Upungufu “ wako ulipo!!

Damn man you’re toooooo weak!!

Ila Alhamdulilah, Muweza wa vyote atamtoa mpinzani wa haki toka viunga vya kiuno chako!! (Mwanao wa kumzaa!)
Kushindwa kuonyesha udhaifu ulipo, kunathibitisha ya kuwa wewe ndiyo dhaifu mno.
 
Back
Top Bottom