Sasa kama unakubali hili, kwanini unakataa ya kuwa hii si Elimu mpya katika Uislamu ?
Elimu zote nyingine hizi machimbuko yake ni katika vyanzo mama vya Uislamu ambavyo ni Qur'aan na Hadithi.
Kwahiyo katika hivyo visa ndiyo kumeelezewa Elimu ya Mantiki au ? Kijana hili nilijua tu hutaliweza kama yalivyo kushinda yale mengine.
Aya gani hiyo uliyo iquote ? Niwekee tena niisome.
Pili, elimu kuwa bahari haimaanishi ya kuwa jambo unatakiwa ujifunze, kuna mambo mengi kutokujifunza ni bora zaidi, kama hii Elimu ya Falsasa,Muziki,Falaki,Mantiki na mfano wa hizo.