Safi.Nonsense!
Kusoma kupi una maanisha ?Haya sasa unasema wewe, nilikuuliza swali ambalo hukulijibu, nilikuuliza kusoma ni ibada au si ibada ? Nikaona ukaanza kuleta
Sasa wewe unasemaje mufti.Hili ni tatizo lingine la kukosa umakini juu ya mada na kukurupuka, huwezi kuuliza swali hili, isipokuwa wewe hauko makini, hapa tunaangalia madhara ya kile ambacho wanaishi nacho wanawake wa kileo, na huu msingi upo humu.
Madhara yako mengi, kimwili na kiroho (Kidini).
Kwa hiyo unakubali kuwa kuharibika kwa baadhi ya wanawake wanaosomea udaktari hakufanyi kwa wengine iwe haramu kusomea kwa kuharibika kwa wachache hawa ?Usiwe unarudia mambo ambayo yako wazi tayari, nani amesema uharamu utakuwa kwa mwingine kwa muda huo ?
Hata huyu mwanawachuoni angekuwepo basi ningemhoji kama ambavyo nakuhoji wewe.Mwanachuoni wa usuli na Mufasiri, aitwae Muhammad al Amiinash Shanqiitwiy al Jakaniy (Allah amrahamu) ana maelezo mazuri sana katika kuelezea hiyo Kaida uliyo iweka hapa,
Kwa hiyo unataka kusema kuwa mazingira yakiwa mabaya ya kutafutia elimu mwanaume tu ndiye anayeruhusiwa kutafuta elimu hiyo ?Madhara yanaanzia katika namna ya mazingira ya upatikanaji wa hizo Elimu
Naanzia hapa, unahoji kitoto sana. Nani amekwambia baya kwa mwanamke ni zuri kwa mwanaume ? Isipokuwa yale yaliyi bainishwa.Kwa hiyo unataka kusema kuwa mazingira yakiwa mabaya ya kutafutia elimu mwanaume tu ndiye anayeruhusiwa kutafuta elimu hiyo ?
Hayo mazingira mabaya ni yapi ?
Nacheka sana unapo jitutumua kwenye hakuna. Huna uwezo wa kuhoji mbele ya dalili na marejeo, tofautisha kati ya kuhoji na kuuliza maswali, Wanazuoni huulizwa maswali na hawahojiwi, na jifunze kuyaweka maneno mahala pake. Mtu huwezi kutumia hata tamko "kuhoji", utawezaje kuliweka hilo mahala pake.Hata huyu mwanawachuoni angekuwepo basi ningemhoji kama ambavyo nakuhoji wewe.
Hakuna swali nililo kimbia kijana, unachotakiwa utulize akili na uongeze umakini.Sasa usikimbie maswali kwa kuweka kauli za ulamaa ambazo hazijajibu maswala yangu.
Ina maana hukujua unachokijibu huko awali ?Kusoma kupi una maanisha ?
Uchawi ?
Maneno ya Allah na Mtume ?
Au unakusudia kusoma nini ?
Una tatizo kubwa sana la kutotumia maneno mahala pake, na unatakiwa uwe makini katika hilo.Sasa wewe unasemaje mufti.
Nilikuuliza unionyeshe haja ya mwanamke kusomea urubani, hukuonyesha hili. Je asiposoma urubani ndege hazitarushwa au asiposomea utabibu watu hawatatibiwa ?Iko wapi dalili inayomkataza mwanamke kusomea udaktari ama urubani ?
Nionyeshe haja ya huyo mwanamke kusoma hiyo fani ya udaktari.Kwa hiyo unakubali kuwa kuharibika kwa baadhi ya wanawake wanaosomea udaktari hakufanyi kwa wengine iwe haramu kusomea kwa kuharibika kwa wachache hawa ?
Kwa hiyo hii ndo hoja ya kuwa haifai mwanamke kusomea hizo fani kweli ?Nilikuuliza unionyeshe haja ya mwanamke kusomea urubani, hukuonyesha hili. Je asiposoma urubani ndege hazitarushwa au asiposomea utabibu watu hawatatibiwa ?
Haja ipo kwa sababu..Nionyeshe haja ya huyo mwanamke kusoma hiyo fani ya udaktari.
Sasa unadhani ukiweka kauli ya ibn baazi Allah amrehemu ndo itakuwa mwisho wangu wa kuhoji ?Kama kuna shule ambayo hairuhusu michanganyiko baina ya watoto wa kiume na watoto wa kike, inaruhu
Kwa hiyo wanaume wanaruhusiwa kuchanganyika na wanawake ila wanawake tu ndo hawaruhusiwi kuchanganyika na wanaume ?Sasa nionyeshe katika nchi yetu hii ni wapi mazingira hayo yapo ?
Kwenye hiyo michanganyiko mabalaa yanayokusudiwa si ni zinaa n.k.Lakini, imaam Ibn al Qiyyim al Jawziyah, katika chake (Jina kidogo limenitoka, nikilikumbuka kwa ukamilifu wake nitaweka hapa) akasema Shaykh, miongoni mwa sababu zinazo leta mabalaa na wabaa ni kuruhusu michanganyiko ya jinsia mbili tofauti na hili halina shaka ndani yake, na mwenye kupinga hili atakuwa hajui au mpotoshaji mwenye kufata matamanio ya nafsi yake.
Kwa hiyo unakubali kuwa kama haifai mwanamke kusoma kwa zama hizi kutokana na mazingira basi na mwanaume pia haifai kusoma kwa sababu kama ni baya basi baya kwa wote ?Naanzia hapa, unahoji kitoto sana. Nani amekwambia baya kwa mwanamke ni zuri kwa mwanaume ? Isipokuwa yale yaliyi bainishwa.
Hizo athari si zinafanywa na wanawake na wanaume.sasa mbona akatazwe mwanamke tu wakati hizo athari zinatokea kwa kutekeleza wote wawili mwanamke na mwanaume.Unajua athari za mchanganyiko kati ya mwanamke na mwanaume ? Sasa kuweka wazi mambo yaliyo wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Okey.Nacheka sana unapo jitutumua kwenye hakuna. Huna uwezo wa kuhoji mbele ya dalili na marejeo, tofautisha kati ya kuhoji na kuuliza maswali, Wanazuoni huulizwa maswali na hawahojiwi, na jifunze kuyaweka maneno mahala pake. Mtu huwezi kutumia hata tamko "kuhoji", utawezaje kuliweka hilo mahala pake.
Jibu nukta baada ys nukta comment ziko wazi huko nimeendelea kukuuliza.Hakuna swali nililo kimbia kijana, unachotakiwa utulize akili na uongeze umakini.
Onyesha kauli gani niliyo iweka ya mwanachuoni, haijibu maswali yako.
Unajitutumua sana aisee ila ndo hivyo tu,mambo mazito haya.Naanzia hapa, unahoji kitoto sana. Nani amekwambia baya kwa mwanamke ni zuri kwa mwanaume ? Isipokuwa yale yaliyi bainishwa.
Unajua athari za mchanganyiko kati ya mwanamke na mwanaume ? Sasa kuweka wazi mambo yaliyo wazi ni matumizi mabaya ya akili.
Nacheka sana unapo jitutumua kwenye hakuna. Huna uwezo wa kuhoji mbele ya dalili na marejeo, tofautisha kati ya kuhoji na kuuliza maswali, Wanazuoni huulizwa maswali na hawahojiwi, na jifunze kuyaweka maneno mahala pake. Mtu huwezi kutumia hata tamko "kuhoji", utawezaje kuliweka hilo mahala pake.
Hakuna swali nililo kimbia kijana, unachotakiwa utulize akili na uongeze umakini.
Onyesha kauli gani niliyo iweka ya mwanachuoni, haijibu maswali yako.
Nacheka sana unapo jitutumua kwenye hakuna. Huna uwezo wa kuhoji mbele ya dalili na marejeo, tofautisha kati ya kuhoji na kuuliza maswali, Wanazuoni huulizwa maswali na hawahojiwi, na jifunze kuyaweka maneno mahala pake. Mtu huwezi kutumia hata tamko "kuhoji", utawezaje kuliweka hilo mahala pake.
Allah akubaarik ndugu.Imam Malik aliombwa na Khalifa Abu Jaafar Al Mansuur aandike kitabu na kisha Khalifa akamuahidi atakifanya kitumike kwa Waislam wote wafuate mwenendo wa Imam Malik. Lakini Imam Maalik alimwambiaje?
Kuna watu wa sehemu fulani na fulani nao wana dalili zao ambazo ni madhubuti vilevile kuna mambo tumetofautiana nao. Kwa hiyo kuwalazimisha wafuate mwenendo wangu mimi ni kuwakosea heshima kwa sababu dalili zao wanazitoa kwenye quran na sunnah vilevile. Ndicho alichojibu Imam Malik.
Ajabu iliyoje kwako wewe? Msimamo wa mwana wa zuoni unayemfuata wewe ndiye unaouona madhubuti na ndiyo uliyosahihi kabisa ya wengine ni ukanjanja. Haitoshi unaiharamisha vilevile.
Na ajabu iliyoje unayosema mwana wa zuoni haojiwi? Ama ufahamu kwamba kuna swali linalobeba hoja? Kinachotakiwa ni nidhamu ya kuuliza ama ya kuhoji. Kwa sababu swali lililobeba hoja linahoji kwa sababu anayehoji naye ana uthibitisho wa kauli uliyoitoa kama muafaka kuhusu suala fulani.
Ama umesahau yule mama aliyemuuliza swali Khalifa Umar Ibn Al Khatwaab inakuaje anawapangia wanawake kiasi cha mahari ya kuolewa wao. Akatoa na aya kwenye Quran kuonyesha kuwa Mungu anasema wanawake ndiyo wenyewe wanaopanga mahari. Hili si swali peke yake bali ni swali lililobeba hoja. Kwa maana ni swali lililobeba uthibitisho wa kile kilichotolewa muafaka. Khalifa Umar Ibn Al Khatwaab baada ya kumsikiliza yule mama kwa swali lililo na hoja alijibu huyo mama yupo sahihi na mimi Umar nimekosea.
Muamala wa kusoma na mustakabali wa kuyaelekea mambo ya kielimu unayokwenda nao ni mwenendo wa baadhi ya waislamu watu wanaojiita Answar Sunnah na kwa jina jengine mnajiita Salafi. Mnasoma elimu ya mabadiliko ya ukawaida hamsomi elimu ya mabadiliko ya kiufahamu. Matokeo yake mnaitikadishwa kuwa msimamo wa mambo upo hivi tu na wengine wote mnawaharamisha. Hamuiendei elimu kwa kuielewa bali mnaiendea elimu kwa kukitetea kile mnachofundishwa.
Kuwa makini! Kuna hadithi Mtume swallallahu alayhi wa aalihi wasallam kaziweka wazi juu ya watu wenye mwenendo kama wa kwako, na Mtume kawazungumzia ni watu wenye muelekeo mbaya. Hizo dalili nakuona unazo. Kingine una kiburi, una majivuno. Nakusihi pamoja na kuisihi nafsi yangu tuwe makini.
Tumuombe Mungu atupatie elimu na atupatie ufahamu wa hiyo elimu. Nakutakia kheri.
Allah akubariki nawe pia ndugu yangu.Allah akubaarik ndugu.
Umeongea maneno mazima sana.
Umegusia mambo makubwa sana.
Na nilimuambia bwana zurri kuwa huo msimamo wake ndio ambao unawaponza masalafy wengi kukatana kila kukicha,magomvi hayaishi,kejeli wao kwa wao mpaka unashangaa hawa jamaa vipi hawa.
Leo hakuna salafy ambaye amesalimika na mwenzake,huyu atamsema tule,yule atamsema yule mwingine na mwingine atamsema mwingine basi tafrani tupu kwa hawa ndgu.
Wanaziendea hadithi pasi na ufahamu,kuharibu kwaao ni kukubwa sana kuliko kutengeneza.
Wasaudia si dini ya haki inawaruhusu au?[emoji846][emoji1787][emoji847]Hivi kwanini uumizwe na Mambo ya wanawake, dunia imechange you have to accept it mengine wewe Kama mwanaume huwezi kuelewa mpaka uwe mwanamke, usiwe Kama wasaudia wanaume wazima Wana discuss Mambo ya hedhi ya wanawake bila wanawake wenyewe kuwepo na kuelezea Mambo yao ya hedhi.
In short wanaume insecure tuacheni wanawake na Mambo yetu nyie Nani wakutupangia mtukome kabisa.
Umeandika maneno mazima sana ambayo kila mtu akiyasoma atapata faida na kuzidiwa na ubainifu.Allah akubariki nawe pia ndugu yangu.
Akuzidishie elimu, akuzidishie hekima, akuzidishie kheri nyingi zaidi.
Ulichikiandika kipo sahihi akhy. Kwa mwenye kutafakari pengine kwake ungekuwa ni mwito wa kutafakari.
Sheikh wangu aliniambia mwenye elimu inabidi aishi kama elimu yenyewe kwa maana matunda ya elimu, ni kama samaki ndani ya maji. Uhai wake ndipo ulipo na mwenye elimu uhai wake ni elimu. Maana elimu ni kama Jua linaangaza na dunia nzima inanufaika kutokana na mwanga wake. Lakini jua halinufaiki na dunia. Katika suala la elimu Mtume swallallahu alayhi wasallam alikuwa ni mpole, mnyenyekevu na alikuwa na huruma sana.
Mtume hakuwa ni mwenye kumlaani mtu, hakuwa mwenye kujikweza kujionyesha kuwa ana elimu kuliko waliyomzunguka na alijadiliana na kuamiliana na watu wa aina tofauti kwa lugha ya mahaba! Hakuwa na chuki. Aliwaelimisha watu na si kuwakosoa. Alikuwa anafundisha.
Kuna siku aalim wa Sheikh wangua liniambia kila kitu kina miiko yake na kina taratibu zake za kuziendea. Elimu nayo inataratibu zake na miiko yake; mfano ni Imam Shafii R.A alivopeteza uwezo wake wa hifdhi akaenda kwa mwalimu wake Imam Maalik R.A na kumpa hizo habaria. Mwalimu wake akamwambia elimu ni nuru itokayo kwa Allah, macho nayo yana nuru itokayo kwa Allah. Ukitizama mambo ya ajabu ile nuru Mungu anaiondoa machoni. Matokeo yake nuru itokayo kwa Allah ambayo ni elimu utashindwa kuisoma.
Akaniambia elimu haipo kwenye vitabu bali imo vifuani mwa watu. Ukikosa radhi ya mwalimu wako unakosa baraka. Utapata elimu ambayo haina baraka na mwisho wa siku utaharibu mambo. Akanisihi tena kuwa makini na kuwasema sema wana wa zuoni kwa ubaya kwamba yule ana nini!? Yule hana elimu ama kumsema mtu wa namna yoyote kwa sababu kuna wengine ni vipenzi vya Mungu.
Na Mungu anatangaza yeyote atakayemghasi kipenzi chake basi ametangaza vita na Mungu. Akaniambia hata kama ulikuwa na elimu na ni mfanya ibada ibada yako inaweza ikawa haina twaaa. Usidharau watu hii dini ni ya Mungu basi kuwa na heshima na viumbe vyake.
Kuna Sheikh mmoja anaitwa Shaji (jina la pili limenitoka). Sheikh akaniambia alikuwa anamzungumzia vibaya Imam Ghazali mfano wa umma wa leo tunavyozungumziana kwa ubaya, kutiana ukaafir na mambo mengine kisa haendani na madhehebu yako. Sheik akaniambia Shaji alivyolala akamuota Mtume swallallahu alayhi wa aalihi wa sallam akiwa amesimama na sahaba yake Umar lakini pembeni yupo Imam Ghazali.
Imam Ghazali akamshtakia Mtume kuwa Sheikh Shaji anamtukana na yeye hajui amefanya nini?! Mtume akamuamrisha Umar amtie bakora. Shaji kushtuka usingizini maumivu ya bakora anayo na alama pia. Shaji akatoa na kitabu akituambia tusitukanane, tusizungumziane kwa ubaya haujui unayemzungumzia kwa ubaya ana daraja gani kwa Mungu.
Sisemi niliusiwa ni ya sahihi zaidi ila katika haya niliyousiwa ndugu zetu Salafi sinalengo baya kwa hili nitakaloliandika na wala sina maana mimi ni bora na Mungu aniepishe na hiyo royo ya kujiona bora ila ninachokiona kwa Salafi hayo niliyousiwa ndiyo nisiyafanye wao wanayafanya na niliyousiwa niyafanye wao hawayafanyi. Wanakosa adabu ya elimu. Ndiyo maana kwao ni rahisi kuntamkia mtu kwa ubaya mwisho wa siku wanavuruga watu na wana vurugana wenyewe kwa wenyewe.
Masalafi wengi sana wanaamini kuwa chao ndo sahihi na kufuata kisichokuwa chao basi ni dhwalaala.Allah akubariki nawe pia ndugu yangu.

Sasa niambie ulazima wa jambo ambalo linakiuka asili ya mwanamke ni upi ?Kwa hiyo hii ndo hoja ya kuwa haifai mwanamke kusomea hizo fani kweli ?
Kwa hiyo kuendelea kwa jambo fulani bila uwepo wa mwanamke ni dalili kuwa jambo hilo mwanamke haifai kulifanya ni haramu ati kwa kuwa hata bila yeye linafanyika ?
Msingi ni aya ya 33 katika sura ya 33.Huu msingi umeutoa katika dalili gani ?
Maana ya dharura ni hii mzee. Au wewe una mafhumu gani juu ya dharura ?Yaani leo iwe ni haramu kwa mwanamke kuendesha gari ati kwa kuwa hata asipoendesha gari bado litazidi kuendeshwa tu ?
Kijana ngoja hili nilihitimishe kwa mtindo huu, maana huna hoja. Kuna nukta zifuatazo :Kana kwamba mwanamke kila kazi atakayofanya aangalie kwamba bila yeye kazi itafanyika na kama itafanyika bila yeye basi iwe haramu kufanya ?
Yaani unataka kuharamisha mwanamke kufanya kazi kwa ajili ya mahitaji yake mwenyewe sio ?
Aliyekuambia kwamba mwanamke haruhusiwi kufanya kazi kwa maslahi yake binafsi na kwamba lazima iwe ya ummah peke yake nani ?